21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,303
- 2,853
Hivi Lampard ana bifu gani na Rudiger
Mbona hampangi akaachana nq hawa kina Christensen
Mbona hampangi akaachana nq hawa kina Christensen
Nawashangaa mnaposema hana 1st eleven na wakati karibia wachezaji wa muhimu wametoka hospital ulikua unafikiria angempanga nani hapo? Anapanga timu kulingana na wachezaji alionao na kwa jinsi alivyopanga jana sikuona shida yoyote. Pia kuhusu kupendelea waingereza sijui umefanya research gani kwa sababu Reece, Tammy walianzia bench, Mount alicheza akatoka kama angekua na upendeleo basi hao wote wangeanza 1st 11.He lacks tactics za ku-manage big team, kwanza mpaka sasa hajui first eleven yake. Anapanga timu kuwafurahisha waingereza au baadhi ya wachezaji wakati wamezidiwa kwa mbali sana na wachezaji waliopo benchi.
Pili mechi kama ya jana, umeshaona umepoteza uongoz wa magoli mara mbili (maana yake beki hazipo sawa). Ukaongeza goli la tatu, kilichomfanya dakika ya 80-90 asiingize beki mwingine ni nini?
Ukimtetea lampard kwa kikosi hiki basi utakua sio mfuatiliaji mzuri wa mpira. Mechi 5 ameshapoteza point 7 maana yake kwa wastani huo basi atapoteza points si chini ya 50 kwa msimu. Wakati msimu uliopita liverpool alipoteza points 15 tu ndio akawa bingwa.
Kwa uwekezaji wa wachezaji uliofanywa haitakiwi uwe na kocha wa majaribio kama lampard.
Huyu Reece James anapandisha mashambulizi na kumimina krosi/virumbirumbi vizuri sana, ila sasa ni mzito kushuka kuja kucover space timu ikishambuliwa,Kwa nini Lampard asimchezeshe Azpi kwenye RCB wa kulia na Reece achukue nafasi yake ya RB?. It is high time to getrid of Christensen kabisa aonekane tu Karabao CUp na FA mechi za mwanzoni
anachodai ni kua rudiger hamfurahishi mazoezin kwa hiyo anashndwa kumpanga 1st 11Hivi Lampard ana bifu gani na Rudiger
Mbona hampangi akaachana nq hawa kina Christensen
Nilisikia tetesi za yule beki wa BHA ambaye Timo alisema ni mbavu sana. Anaitwa Lewis Dunk jamaa liko vizuri sana sema sikumfuatilia aliishia wapiTena anayejua kiingereza maana naona Silva akifoka kwa Kifaransa hawamuelewi
Hapo kwenyr usajili nakupingaYes upo sawa kabisa, umesema 'future good coach'. Kwahiyo kwa sasa hawezi kutufikisha tunapotaka kwa uwekezaji uliofanyika. Trust me kama chelsea walikua wanahitaji future coach wasingesajili hivi... Hii maana yake wanahitaji kombe msimu huu.
Na simuoni huyo lampard kama atatupa kombe lolote
Nje ya mada, ningeambiwa nichague 'future coach' kati ya lampard na arteta basi ningemchagua arteta
HawakuwepoHao kina Mendy, Silva walikuwepo jana?
Kacheza mechi ngapi? Na vigezo gani umetumia kumwita butu?auba na nn yule [emoji28][emoji28][emoji28]
yan toka atie sain mkataba mpya amekua butu sanaa
Kweli kabisa•Wachezaj wapi wanafurahishwa or wanapendelewa
•Mount ni mchezaj mzuri tu, kujituma kwake ndio kunamfanya apangwe game ya wba team ilikuea iko hovyo ils nimount ndie aliyeirudisha team mchezoni
Kila mchezaj huwa na downs zao hawez cheza 30+ yuko kwa form haiwezekani
•Utajuaje first eleven wakat wachezaj wengine ni majeruhi na wachezaj wengin ni kama gar la mkaa, game hii wanacheza vizur game 3 zijazo wanacheza hovyo
Mimi niko kotekote kama Dani CeballosNaona umejificha huku. Unahitajika kwenu kule, Aowar keshatua na mjadala umepamba moto.
Ndio naiman na lampardMount anacheza namba ngapi?
Halafu point yako ni kwamba una imani lampard atakupa epl au uefa?
Huyu Antonio rudiger ni mchomeshaji, refer game ya ujerumaniHivi Lampard ana bifu gani na Rudiger
Mbona hampangi akaachana nq hawa kina Christensen
Mimi niko kotekote kama Dani Ceballos
game 5Kacheza mechi ngapi? Na vigezo gani umetumia kumwita butu?
Sawasawaanachodai ni kua rudiger hamfurahishi mazoezin kwa hiyo anashndwa kumpanga 1st 11
anachodai ni kua rudiger hamfurahishi mazoezin kwa hiyo anashndwa kumpanga 1st 11
Kuna forward anamaliza msimu na stats hizo[emoji1787]game 5
gol 1 ass 1
Mkuu makocha huwa tunawapa lawama lakini kiuhalisia hawastahili kwa kiasi ambacho sisi tunalaumu. Kila kocha anamfumo wake wa uchezaji vile anataka wachezaji wake wawe. So kazi yake ni kuwapa alichonacho wachezaji wakifuate na ndio maana kuna makocha wana wachezaji wao wanawapenda kwa sababu wanaona kabisa kupitia hao wanaweza kusaidia na wengine mchezaji anakua kama engine ya timu mfano muangalie Jorginho wa Sarri then muangalie huyu Jorginho wa Lampard, Sasa katika situation hiyo unamuona Lampard kama haeleweki ila anachojaribu kuwasaidia waweze kuuelewa mfumo wa uchezaji wake then hapo hapo wakati bado hajamaliza sisi mashabiki tunaanza kum pressure kwa kutaka ahamie plan B na wakati plan A bado haija tick.Game plan ya kuwin back balls hakuna yaani unakuta opponent anarun na mpira miguuni kwa watu wanamtazama tu, akuna pressing ya maana wala quick movement ya kunlock defence, matatizo ya set pieces bado hayana ufumbuzi kweli mabeki ni tatizo na hawana confidence ya kucheza high lines why kocha analazimisha mfumo usioendana na resources, yaan ukitaka umkingie kifua Lampard ni kutumia paund zaid ya mil 100 kuoverhaul na kuleta wachezaji wapya 5
Hata rudiger na yeye sio wa kumuamin kwa ss kama uliangalia game ya ujeruman na swiss utaelewaAcha aendelee kuwang'ang'ania hao kina Christensen watampa anachotaka
Nakubaliana na wewe broMkuu makocha huwa tunawapa lawama lakini kiuhalisia hawastahili kwa kiasi ambacho sisi tunalaumu. Kila kocha anamfumo wake wa uchezaji vile anataka wachezaji wake wawe. So kazi yake ni kuwapa alichonacho wachezaji wakifuate na ndio maana kuna makocha wana wachezaji wao wanawapenda kwa sababu wanaona kabisa kupitia hao wanaweza kusaidia na wengine mchezaji anakua kama engine ya timu mfano muangalie Jorginho wa Sarri then muangalie huyu Jorginho wa Lampard, Sasa katika situation hiyo unamuona Lampard kama haeleweki ila anachojaribu kuwasaidia waweze kuuelewa mfumo wa uchezaji wake then hapo hapo wakati bado hajamaliza sisi mashabiki tunaanza kum pressure kwa kutaka ahamie plan B na wakati plan A bado haija tick.
Lampard hajapata tu muda wa kutosha na anafanya kazi kwa pressure sana.