Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimecheki mechi kati ya Ukraine na Germany jana, Rudiger katoa bonge la Assist kwa goli la kwanza
 
Wachezaji wa Chelsea na timu zao za Taifa
  1. E. Mendy - Senegal
  2. Kepa - Spain
  3. K. Zouma - France
  4. T. Silva - Brazil
  5. A. Christensen - Denmark
  6. A. Rudiger - German
  7. R. James - England
  8. C. Azpipilueta - Spain
  9. Ben chilwell - England
  10. N. Kante - France
  11. Kovacic - Croatia
  12. Jorginho - Italy
  13. M. Mount - England
  14. H. Odoi - England
  15. H. Ziyech - Morocco
  16. K. Havertz - German
  17. O. Giroud - France
  18. T. Abraham - England
  19. Timo Werner - German
Pulisic kahama Chelsea?
 
Jorginho could renew his contract with Chelsea. First contacts and possible meeting in the next few days. Chelsea and Jorginho are studying the moves to continue together. [TuttoMercatoWeb]
 
Naona unaanza taratibu kujirudi kwa Rudiger
Ndg yangu wewe unataka sasa utulazimishe tuanze kuwabagua wachezaji, sijwahi kumchukia mchezaji yeyote. Rudiger ni CB mzuri, Zouma yuko onfire, Silva haitaji kusemewa, yuko mzoefu, competition ndani ya Chelsea ndiyo tuliyotaka ili timu iwe competitive
Kwa kiwango alichonacho Zouma na Silva anajulikana Rudiger inabidi ajitume sana ili abreak thru. Huo ndio msimamo wangu na haukubase kumdharau au kumchukia Rudiger. Na nafikiri hata kocha msimamo wake nao ndio huo, mchezaji akifanya vizuri anapata namba, akifanya vibaya anatemwa.

Kesho Zouma akiboronga au Silva nitaungana na anayefanya vizuri. Kamwe siwezi mtetea mchezaji eti kwa sababu wakati fulani alikuwa onfire. Mimi namtaka mchezaji aliye onfire kwa sasa sio history
 
Msimu huu mpaka leo saa hii Zouma ana magoli mengi kuliko Werner na Havertz.

Siku lampard akimpanga Zouma kama CF na Werner akawa CB msishangae
 
Wewe uliniuzi ulivyosema Rudiger atolewe kwa mkopo na ukasema Rudiger amedrop kiwango ndio maana hata sub hawekwi
 
Nilionge kilichopo na hali halisi ndivyo ilivyokuwa hata Rudiger mwenye kabaki tu kwa sababu alishindwa kutoka
Any way
Tofauti ya Lampard na makocha wengine kama Sarri ni hana uvumilivu na mchezaji akidrop tu kidogo anamuweka pembeni kwanza adili na wanaochapa kazi. Najua Rudiger ilikuwa ni muda mfupi tu na pia niombe Mungu naye Lampard awe analifahamu hilo kuwa Rudiger sio wa kumuweka pembeni kama akina RLC
Hata Odoi aliboronga baada ya kurudi majeruhi lakini sasa anafanya vizuri
Tuko pamoja tunajenga nyumba moja ndg yangu
 
Msimu huu mpaka leo saa hii Zouma ana magoli mengi kuliko Werner na Havertz.

Siku lampard akimpanga Zouma kama CF na Werner akawa CB msishangae
Mpk sasa zouma ana goli nyingi kuliko Pierre auba na comrade kipepe....sitashangaa arteta akihitaji huduma yake January hapo
 
Hehehe Mfananishe na CF wa Arsenal kama mimi nilivyofananisha kwa CF wa Chelsea. Pierre ni RW na Pepe ni LW.
 
Acha kurukaruka mzee ..anaweza akaja na akacheza winger vilevile....naona hata salah mwenye goli 5 mpk sasa ni CF! ...na naona kwenye TV yako Werner na kai ktk game za Chelsea walicheza CF game nyingi........
 
Huhuhu Salah ana goli nyingi na haujui kwanini? Umewahi kusikia kuhusu false 9? Hehehe
 
Acha kurukaruka mzee ..anaweza akaja na akacheza winger vilevile....naona hata salah mwenye goli 5 mpk sasa ni CF! ...na naona kwenye TV yako Werner na kai ktk game za Chelsea walicheza CF game nyingi........
Upande huo huo aliowekwa Werner Aubameyang ana goli tayari
 
We si umeleta habari za CF mbona unakimbilia false 9 ?
Hehehe bob siyo kila CF kazi yake itakua kuscore. Kwakua haujui acha nikuambie kua kwenye False 9 scorers wanakua RW na Lw.

Nyinyi mnatumia false 9?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom