Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kipindi cha Sarri, Conte, Mourinho. Willian katuyumbisha sana hakua na consistency ya performance

Sent using Jamii Forums mobile app
What if tatizo lilikuwa kocha boss? Lampard hakuweza kubadili kikosi kwa sababu ya ban lakini kikosi kilekile kikafanya vizuri.
Wakati mwingine tatizo ni kocha. May be combination ya wachezaji haiko mzeni au hata mahusiano binafsi kama ilivyokuwa kwa CHO
 
Hakuna ujuaji kwa marina
Willian alitaka mkataba wa miaka 3 na marina alimpa mkataba wa miaka 2
Jamaa akakataa kusain

Sera ya klab huwa ni mkataba wa mwaka 1

Wakina lamps,dd,jt hawa wote walikuwa wanapewa mwaka 1
Willian ni nani mpk apewe miaka 3
Mwingine anakuja kumtuhumu kuwa jamaa ni mvivu
 
Southern Highland Willian Ni mchezaji mzuri Sana ukimtoa Kovacic wilian ndio mchezaji alionesha performance ya juu Sana Chelsea season nzima ndio maana Lampard akataka abaki sio kweli eti ameonesha performance mwishoni mwa season Kama ulivyosema nakumbuka pia ule msimu ambao Hazard na wenzake walivyodrop performance Willian alituokoa naakachaguliwa best player wa Team ebu jaribu kumpa heshima yake.Team kubwa Kama Chelsea ilitakiwa iwe na watu wa maana kwenye benchi akitoka huyu anaingia huyu mfano Leo tungekuwa na Willian na Ziyech competition ingekuwa Bora Sana kiasi ambacho ingepandisha viwango Mara dufu tofauti na sasa unaona kabisa Ziyech Hana mshindani.
Stefano Mtangoo
Unazungumzia 2016 ilikuwa muda wa kusaini mkataba mwingine na kwa sababu alocheza vizuri alipewa mkataba wa miaka 4 hadi 2020. Willian ni mchezajo wa hovyo sana wanaomsifia hawakiwahi kimfuatilia kwa karibu. someni hata reactions za mashabiki wengine. Willian need superstar mwishoni mwa mkataba. akishasaini anakuwa sub tu. we hujiulizi kwa nini sehemu kibwa ya mkataba wake alikiwa akitokea Sub?
miaka yote aloyocheza Chelsea Willian angecheza kama mwaka huu angekuwa level ya akina Hazard ya double digits (10+) kwenye goals na assists. Angekuwa maarufu sana na Chelsea wasingemuachia. Ila Marina na jopo lake wanajua fika k uwa willian anataka mkataba mkubwa ili baadaue aje kiaeka kwenye suplus list. asingepata hata sub bora kaondoka. Naomba niwahakikoshoe kuwa kwenue jopo lililoafiki Willoan asepe na Lampard yupo. Alochoongea kwenye media ni diplomasia tu ili asiwagawe wachezajo.
 
Basi acha tukubali kutokubaliana. Inaonekana tu binafsi humkubali Willian for whatever reason.
Ameshasogea kwa majirani, tuendelee na waliobakia!
Hii ni kauli ya kikomavu, jąmaa ana ile ya sizitaki mbichi hizi, wakati kashindwa kurukia mkungu
giphy.gif
 
Mimi no mshabiki mzuri sana wa Willian ila nimefurahi ameondoka ili apishe nafasi kwa wageni na akina Odoi. akimaliza mwaka na akipewa muda wa kitosha Odoi atakiwa fire zaidi ya Willian.
Tatizo kibwa la Willian anacheza akitaka, Asipotaka ni mbovu kwenda mbele. Kama huamini mfuatilie Arsenal sasa
Odoi alikuwa anacheza mbona kipindi Willian yupo? Uzuri wa Lampard ukifanya vizuri mazoezini uwezekano wa kucheza mkubwa.
Arsenal si kaenda juzi tu? na hakukuwa na pre season. Ina maana hicho alichochangia hujakiona?

Fullham match 3 Assists, 3-0 was a good start. Kwamba atafanya vyema ama la ni mapema sana!
 
Mkuu hzo assist 3 cjui zisikutishe...kuondoka kwa willian hata mwenyewe niliumia kutokana n jinsi gani alivyokuwa loyal kwa timu maana hapo nyuma ziliwahi kuja offer kutoka Bayern n barca kumtaka willian lkn alizipiga chini na unajua mapenzi y wabrazil mbele y timu km barca.....OK pia kupewa offer y miaka 2 inaonekana n jinsi gani club ilivyokubali kuvunja sheria na angalia hata kina drogba n jt walikula mwaka 1 tu kutokana n hyo Sera.....tukirudi kwenye takwimu z magoli n assist ...mkuu embu mchukue sterling, salah, mahrez afu and then uwalinganishe na Willian..afu kweli unataka kushindana n kina city n liver kweli???....msimu wake bora ni huu uliopita aliofunga goli 9 na assist 6 ktk mechi 36 afu unataka uclose gap dhidi y city kwa wachezaji wake wana hit goal double digits pmj n assist....christian pulisic mwenyewe kacheza game pungufu zaidi y willian kutokana n injury lkn kafunga goli 9 n assist 4 ! So kuondoka kwake ni pigo kwetu lkn in another way ni kwa ajili ya maisha ya young bloods kina odoi..acha ziyech arudi akupoze machungu coz yule mchezaji ana misimu 3 assist za double digits tu..na mwsho namalizia mkuu zile assist 3 zisikutishe
 
Ngoja aje kuzipiga hapo darajani ndio utaelewa
 
Mimi ni mshabiki mzuri sana wa Willian ila nimefurahi ameondoka ili apishe nafasi kwa wageni na akina Odoi. akimaliza mwaka na akipewa muda wa kitosha Odoi atakuwa onfire zaidi ya Willian.
Tatizo kibwa la Willian anacheza akitaka, Asipotaka ni mbovu kwenda mbele. Kama huamini mfuatilie Arsenal sasa
Mkuu wewe umesema na hili ndio tatizo kubwa la Willian. Yeye ataperform akijisikia siyo mnavyotaka nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What if tatizo lilikuwa kocha boss? Lampard hakuweza kubadili kikosi kwa sababu ya ban lakini kikosi kilekile kikafanya vizuri.
Wakati mwingine tatizo ni kocha. May be combination ya wachezaji haiko mzeni au hata mahusiano binafsi kama ilivyokuwa kwa CHO
Kama tatizo ni kocha inakuaje anafail kwa makocha wote watatu? Huoni tatizo hapo mkuu.

Nimemfuatilia Willian kitambo ndio maana nasema ivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia 2016 ilikuwa muda wa kusaini mkataba mwingine na kwa sababu alocheza vizuri alipewa mkataba wa miaka 4 hadi 2020. Willian ni mchezajo wa hovyo sana wanaomsifia hawakiwahi kimfuatilia kwa karibu. someni hata reactions za mashabiki wengine. Willian need superstar mwishoni mwa mkataba. akishasaini anakuwa sub tu. we hujiulizi kwa nini sehemu kibwa ya mkataba wake alikiwa akitokea Sub?
miaka yote aloyocheza Chelsea Willian angecheza kama mwaka huu angekuwa level ya akina Hazard ya double digits (10+) kwenye goals na assists. Angekuwa maarufu sana na Chelsea wasingemuachia. Ila Marina na jopo lake wanajua fika k uwa willian anataka mkataba mkubwa ili baadaue aje kiaeka kwenye suplus list. asingepata hata sub bora kaondoka. Naomba niwahakikoshoe kuwa kwenue jopo lililoafiki Willoan asepe na Lampard yupo. Alochoongea kwenye media ni diplomasia tu ili asiwagawe wachezajo.
Wewe ndio unamfuatilia Willian vizuri. Kuna kipindi alikua ananikera sana wakina Pedro wamemkuta lakini wanapata namba yeye anatokea bench na akiingia unaanza kujiuliza anafanya nn huyu mchezaji. Lakini ifike wakati wa kuongeza mkataba ndio utamjua Willian vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
willian bila kipind cha mkataba utamchukia ila ikfka kipnd anakarbia ongeza mkataba anakua moto sana ajitumagi yule mwamba
 
Southern Highland Willian Ni mchezaji mzuri Sana ukimtoa Kovacic wilian ndio mchezaji alionesha performance ya juu Sana Chelsea season nzima ndio maana Lampard akataka abaki sio kweli eti ameonesha performance mwishoni mwa season Kama ulivyosema nakumbuka pia ule msimu ambao Hazard na wenzake walivyodrop performance Willian alituokoa naakachaguliwa best player wa Team ebu jaribu kumpa heshima yake.Team kubwa Kama Chelsea ilitakiwa iwe na watu wa maana kwenye benchi akitoka huyu anaingia huyu mfano Leo tungekuwa na Willian na Ziyech competition ingekuwa Bora Sana kiasi ambacho ingepandisha viwango Mara dufu tofauti na sasa unaona kabisa Ziyech Hana mshindani.
Stefano Mtangoo
Tunajua unampenda sana Wilian lakini Kumbuka kuwa kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho kanuni za club ya Chelseafc haziruhusu kumpa mkataba mrefu mchezaji mwenye umri wa zaidi ya miaka30, uelewe hilo,ebu tuambie nimchezaji yupi wa Chelsea ambaye amewahi kupewa mkataba wa kuanzia miaka3 baada ya kuvuka miaka30.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom