Tunakuona mpiga ramli tu mwenye maumivu.Mkuu Willian alikua hastahili kucheza Chelsea, ni moja kati ya wachezaji nimefurahi mno kuondoka kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni mpiga ramli mzuri sana, Leo anamponda willian , alikuja kwetu kule akaapa Partey hawezi kuja ArsenalTunakuona mpiga ramli tu mwenye maumivu.
#No Thomas No partey[emoji837]
Yeah man goli zake zilitusave sana kwenye ile restart ya ligi na mpk sasa mi naona anastahili kuanzaUkweli kuhusu Giroud
Katika umri wa 32 -34, Giroud ameshinda kombe la dunia, Europa League, Europa League Golden Boot, FA Cup, kuichezea Ufaransa kwa mara ya 100, Mchezaji wa pili kwa kuifungia Ufaransa magoli kwa muda wote, Ndio sababu kuu Chelsea imefunzu UCL
Wapiga ramli huwa ni kwa ajili ya mambo yajayo. Sasa tunamuongelea mchezaji kwa mambo aliyofanya akiwa darajani ivyo ni wakati uliopita.Tunakuona mpiga ramli tu mwenye maumivu.
#No Thomas No partey[emoji837]
Simpondi Willian kisa ameondoka Chelsea. Kama mtafuatilia vizuri nimeanza kumkosoa kitambo toka akiwa darajani.Huyu jamaa ni mpiga ramli mzuri sana, Leo anamponda willian , alikuja kwetu kule akaapa Partey hawezi kuja Arsenal
Huyu dogo bora ameondoka. Yani sijawahi kumuelewa.