Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kepa alisajiliwa kwa 72M mwaka 2018 akawa kipa ghali zaidi duniani. Msimu wa 2018/19 alipata clean sheets 23 along the way akifanya amazing saves na one vs one za kutosha.

Alichangia chelsea kushika nafasi ya 3 epl, ubingwa wa uel na kushindania leagu cup.

Kisha kabla ya msimu wa 2019/20 kuanza akaachana na mpenzi wake, huyu mpenzi wake alikua naye kwa miaka 7, wote tunajua stress zinaweza kumfanya nini mtu wa kawaida. Hiki siyo kisingizio lakini hata wachezaji nao ni binadamu na kila mtu ana namna yake ya kudeal na hizi mambo.

Chelsea na bodi nzima inajua hilo ndiyo maana imeendelea kumuamini Kepa. Sisi wengine hatujali hilo tunachojali ni kutupa madongo tu which is not fair kama tutaongelea swala la ubinadamu.

Mendy kaja lakini hajaletwa kuchukua nafasi ya kwanza, nafasi ya kwanza ni reserved kwa Kepa amekuja kuleta ushindani tu wa hapa na pale na siyo kumpokonya namba.

Natumaini atarudi wenye right track. By the time acha Arsenal tuendelee kupambana.
 
Hehehe msimu mzima Hazard kuscore zaidi ya goli 15 ndiyo ulikua wa mwisho Chelsea. Mkawabambika Madrid maskini.

It's the league that counts. Lampard alisaini misimu 3 unahisi ataongezewa muda?
We jamaa msanii sqna. Kwanza swali hujajibu pili ushahamisha habari.
 
Hujatoa maoni kama mwanamichezo umetoa kiushabiki tu. Labda nikwambie Klopp alishindwa kumsajili Werner kwa sababu aliona bei ni kubwa na siyo kwamba mchezaji ni mbovu. Pia kwa mimi ninayemjua Timo vizuri hata hanipi shaka kabisa kwa sababu kwa mechi alizocheza zinajieleza kabisa ni kwa namna gani ni hatari kwa timu pinzani ndio maana hakosi kuanza kila siku.

Ingekua vizuri ukafanya tathimini ya bwana comrade K kuliko kumjadili Timo. Mnamuhofia sana siyo?
Unamjua kama nani? [emoji23][emoji23]
 
Tuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......

NINYI CHELSEA MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.

#COYG
#COYG
Duh mmeshabadili sasahv ...nyie kwenye Uzi wenu si mlikuwa mnaandika vichekesho vya kuwa mabingwa wa EPL baada ya kuwafunga fulham
 
Game ya kesho ya chelsea na Crystal Palace naona chelsea ikichezesha watu wapya atashinda kwa tabu au atasuluhu.

Ushindi wa Crystal utategemea mabeki na kipa ambaye lampard ataamua kumuweka golini.

Crystal wana tatizo lile lile. Ni timu inayojiona matawi tofauti na level yake so hua wanataka kucheza kama Bayern kumbe ni Crystal.
 
Afadhali aisee
20201002_201512.jpg
 
Game ya kesho ya chelsea na Crystal Palace naona chelsea ikichezesha watu wapya atashinda kwa tabu au atasuluhu.

Ushindi wa Crystal utategemea mabeki na kipa ambaye lampard ataamua kumuweka golini.

Crystal wana tatizo lile lile. Ni timu inayojiona matawi tofauti na level yake so hua wanataka kucheza kama Bayern kumbe ni Crystal.
Palace tutashinda ,zaha ana jambo lake
 
Game ya kesho ya chelsea na Crystal Palace naona chelsea ikichezesha watu wapya atashinda kwa tabu au atasuluhu.

Ushindi wa Crystal utategemea mabeki na kipa ambaye lampard ataamua kumuweka golini.

Crystal wana tatizo lile lile. Ni timu inayojiona matawi tofauti na level yake so hua wanataka kucheza kama Bayern kumbe ni Crystal.
Kesho tunashinda bila shida. Niliona game yao na Eveeton ni wagumu sana wanacheza kwa nguvu kutafuta matokeo, ila ubaya wao wanacheza kumtegemea mchezaji mmoja awape matokeo.
 
Chilwell has urged Chelsea fans to give time to the group to get together.
Chelsea start of the season inconsistency is due to new signings, injuries and no pre-season
 
[emoji860]Ian Wright’s thoughts on where Frank should play Kai:

‘I want him to put more emphasis on Havertz and give him more of the ball,’ Wright said on the Kelly and Wrighty show.

‘I saw him do one lay-off for the goal for Hudson-Odoi where you think to yourself that guy has got to be in the middle of the game because he’s going to make things happen because he’s so talented.
‘When you look at Chelsea and what they’ve got especially going forward, I think Kai Havertz is going to be somebody that we’re going to be raving about as soon as he finds his feet. Same with [Timo] Werner with how sharp he is

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom