Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Safi sana Kalou.....
Barca 2-1 Chelsea.Mnaotazama Live twambieni matokeo mpaka sasa
Mnaotazama Live twambieni matokeo mpaka sasa
Mpaka sasa 2-1 , Barcelona mbele (aggr. 2-2).. japo Chelsea wana advantage ya away goal!!!...Upo hapo kamanda??
Barca walishaanza kushangilia bahata nzuri ikawa Offside...
Dah.....Barca wanashambulia wakuu
Barca wanashambulia....
Anao ano mpaka golini.....
Gooooooooooooooooooal...........................Offside
mungu wanyime furaha barc mwaka huu wametuonea sana
Dkk ya 85 bado 2-1 referee anakaribia kutoa penalty nyingine 🙂🙂
Mabeki wa Chelsea wanajitahidi sana.......
Pep Guardiola kadata...