Mkuu kama unaangalia mpira huu ninaouona, hakuna hata sehemu moja mtu kabebwaPamoja na kubebwa............Barca leo hawabebeki
Messi kakosa penati..........lol!
Mpira umeanza pale!! ubaoni 0-0
Usikurupuke mkuu....aliyekuambia huyo mbrazili nani.? Mara ngapi tumeshuhudia wabrazili wakijiangushu bila sababu. Rivaldo sio mbrazili alie chezewaga faulo ya mguu akamdanganya refa amepigwa kichwa.
Khaaaa nini tena hii
Hivi baselona ndo wenye nguo nyeupe km pamba ya mwanza watakona Leo
Hwa Barcelona wamezidi kumtegemea Refa sasa!>...
....Hahahahahah lol! Miguu baja ndio maana kakosa LOL!....lakini usihofu referee wenu atawapeni nyingine...mshindwe wenyewe.
...Wakiguswa kidogo tu wanajirusha utadhani wamepigwa rungu/kisu.
Naombea chealsea watoke,
Hahaha anatoa zimekuwa karanga ilikuwa halali bana. Nimeshaanza kuishiwa pumzi lol!!!
Hayo maneno asema kwa lugha ya kwao.duh! kumbe guardiola anabonga kiswahili!
Barca wanabebwa bana.....Mkuu kama unaangalia mpira huu ninaouona, hakuna hata sehemu moja mtu kabebwa
It was a red card and it was a penalty.... tuache ushabiki mandazi