Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

143335995.jpg


143336083.jpg
 
Usikurupuke mkuu....

Kwani Ramires ni Raia wa nchi gani?....

Huku mtaani kwetu kuna kamsemo kwamba 'Wabrazil huwa hawadanganyi' kwamba magoli yao huwa hayana zengwe...Kama hili la Ramires.....Ni goli tamu kuliko hata hayo ya Barca....


3ramires.jpg

Ramires - Wikipedia, the free encyclopedia

mi nashangaa huyu jamaa ni mbongo mzaramo nimesoma nae Visiga primary school,anaitwa Ramadhani Razi au Rama Razi!nashangaa eti leo ni Mbrazil anaitwa Ramirez

karibuni kijiwe cha gahwa hapa!
 
Kuna hatari kwa nyodo na chenga nyingi kutawagharimu sana Barca.
Mimi ningependa Barca wafunge tupate "Clásico" nyengine wao na R. Madrid.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom