lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,692
- 25,907
Christensen ana spidi kuliko Rudiger, wote kwa nyakati tofauti wanakosa concertation uwanjani, Beki pekee aliyejitahidi japo bado hajafikia viwango no Zouma, Tomori ndio kwanza very risky, saa nyingine anasahau kama yuko uwanjani. Na ndio maana Lampard anapigania Declan Rice aje kuwa CBHiv kwa hizi beki zetu tia maji maji Rudiger wa kuuzwa kweli? Hiv huyo Christensen amemzidi Nini Rudiger?