Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1601134863335.png
 
Chelsea

XI: Caballero, James, Christensen, Thiago Silva, Alonso, Kante, Kovacic, Mount, Havertz, Abraham, Werner

Subs: Kepa, Azpilicueta, Tomori, Jorginho, Barkley, Hudson-Odoi, Giroud
 
Mbona sielewi au ni mimi tu
May be Lampard is more genius than all of us
Mbona kikosi kipo vizuri tu. Hapo sub baadae ni Tammy anaingia Giroud, then Alonso anaingia Cesar, wa mwisho ni Havertz au Mount anaingia Jorginho au Barkley.
 
Kepa kala benchi.

Formation ni 4 5 1.

Striker ni Tammy.

Werner amekua AMF na huku chenga hajui.

Tammy kurudishwa inamaanisha Werner kashindwa kudeliver.
 
Kepa kala benchi.

Formation ni 4 5 1.

Striker ni Tammy.

Werner amekua AMF na huku chenga hajui.

Tammy kurudishwa inamaanisha Werner kashindwa kudeliver.
Hiyo ni 4-4-2 blaza. Timo na Tammy wanasimama pamoja. Then nyuma yao kuna attacking mid wawilli na mabeki wana defensive mids wawili. Mfumo kubalancetimu huu lakini unaongeza ushambuliaji zaidi.
 
Hiyo ni 4-4-2 blaza. Timo na Tammy wanasimama pamoja. Then nyuma yao kuna attacking mid wawilli na mabeki wana defensive mids wawili. Mfumo kubalancetimu huu lakini unaongeza ushambuliaji zaidi.
Mzee kabla mechi haijaanza wanaonyeshwa position kila mtu atakapokaa.

Kama decoder yangu inanidanganya sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom