Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,362
- 77,192
Sielewi jamaa kaona wapi 4 4 2Sky wanasema ni 4-2-3-1
Sielewi jamaa kaona wapi 4 4 2Sky wanasema ni 4-2-3-1
Mnaongozwa mbiliBest wishes the blues [emoji838][emoji838][emoji838]
Timo anafungua akaunti ya mabao leo
Ni mbiliAZIZA leo kapigwa benchi kaanza mjomba KOBELO ambaye naye kisha chezea kidude,Tammy na Warner wanashindana kukosa magoli.
😀
Mnaongozwa tatuBest wishes the blues [emoji838][emoji838][emoji838]
Timo anafungua akaunti ya mabao leo
Wes brom tunaongoza
nilikuwa sijaamini (imenibidi nikimbilie google)