Pole sana, naamini huko jela ulikokuwa kuna mengi uliyojifunza,Wana chelsea wenzangu mambo huku yanaendeleaje?
Nilipigwa natumikia ban ya siku 7, ndo nimetoka gerezani sasa
Ninaahidi sitamtukana mtu tena ila nitakuwa nikibonyeza kitufe cha Report chenye icon ya kengele kushoto kwako chini ya post yenye matusi. Kwa kufanya hivi ninawasaidia Mods wang'amue posts zenye matusi na hivyo kuweza kuwaadhibu wanaotukana
Naombeni kwa umoja wetu tufanye hivyo hivyo, sio tu matusi hata kwa hao wanaotuma spam kwenye uzi
NAWASILISHA
Hilî neno kiburushuti nalo ni tusi,Daah ndugu pole sana kuna watu huwa wanatia hasira sana kiasi kupelekea kufanya vitu ambavyo hata hukuwa na lengo kuvifanya.
Karibu tena darajani hawa viburushuti uendelee kuwazoea.
Shirikisha ubongoMkuu southern Highland hawa jamaa wanachonga sana naamini ipo siku watapotea humu.
Wana chelsea wenzangu mambo huku yanaendeleaje?
Nilipigwa natumikia ban ya siku 7, ndo nimetoka gerezani sasa
Ninaahidi sitamtukana mtu tena ila nitakuwa nikibonyeza kitufe cha Report chenye icon ya kengele kushoto kwako chini ya post yenye matusi. Kwa kufanya hivi ninawasaidia Mods wang'amue posts zenye matusi na hivyo kuweza kuwaadhibu wanaotukana
Naombeni kwa umoja wetu tufanye hivyo hivyo, sio tu matusi hata kwa hao wanaotuma spam kwenye uzi
NAWASILISHA
Chelsea msimu huu tuko poa sana.Mkuu sasa hapo kwenye mechi 2 za ligi yao wanashika hyo nafac ndo inamaanisha hyo ni nafac yao...? Au nyumbu kushika nafasi ya 16 huko ndo inamaanisha ni nafasi yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachojua Chelsea kashinda goli sita . ovaNafasi waliyomaliza msimu uliopita haina tofaut Yani nafasi zake humo humo tu hii hapa ni last season alivyomaliza [emoji116]View attachment 1578761
Klabu inayopigwa vita ni Chelsea sijui kwanini inawatesa kiasi hiki.
Wewe umetoa matusi mangapi humu? Kila siku unavyotuita matak... Unadhani ni nini?Hilî neno kiburushuti nalo ni tusi,
Suala sio kukaa kimya.Tatizo lenu nyie mkijibiwa mnasema tunapiga kelele. Kwa hiyo nyie muongee sisi tukae kimya?
Tunajitathmini baada ya timu yetu kucheza jana nyie mnakuja mnaponda, mmemsema Havertz tumepigwa jana kapiga Hat trick mnasema magoli mepesi mara mmecheza na timu mbovu. Sasa mnataka afanye nini? Hamjui kwamba kila kitu ni hatua kwa kucheza mechi ya jana kunazidi kumuongezea confidence.
Sasa mnachotaka ni sisi tukae kimya tusiwajibu siyo?
Katika maisha yąngu ya JF sijawahi mchongea mtu ąfungiwe, amini hivyo, ma sinaga kawaida ya kutukana piaWewe umetoa matusi mangapi humu? Kila siku unavyotuita matak... Unadhani ni nini?
Report nipigwe ban ufurahi
Kamuacha Nelson. Saka anacurve career yake vizuri, tuzo na mafanikio personal vinambeba. So hajaachwa kwa umbali mkubwa kama Nelso.Mkuu kwa hiyo kwa kumaliza unasema Kai ni mchezaji wa kawaida kabisa kama kina Nelson na Saka au hata humo haingii?
Yes kinahalalisha kabisa. Kai ameshika namba 4 katika wachezaji waliohusika na magoli ndani ya mwaka 2020. Yan ukimtoa Lewandowski, Messi na Ronaldo anafuatia Kai Havertz.Kamuacha Nelson. Saka anacurve career yake vizuri, tuzo na mafanikio personal vinambeba. So hajaachwa kwa umbali mkubwa kama Nelso.
Kiwango chake ulichokiona kwa Brighton na Liva kinahalalisha ile price tag?
Mkuu hujawahi kumchongea mtu afungiwe yawezekana unayafurahia matusi na kama unayafurahia basi nawe ni mmoja wapo unayetukana.Katika maisha yąngu ya JF sijawahi mchongea mtu ąfungiwe, amini hivyo, ma sinaga kawaida ya kutukana pia
Wacha maneno weka takwimu na vyanzo[emoji1787][emoji1787].Yes kinahalalisha kabisa. Kai ameshika namba 4 katika wachezaji waliohusika na magoli ndani ya mwaka 2020. Yan ukimtoa Lewandowski, Messi na Ronaldo anafuatia Kai Havertz.
Huyu dogo ni mchezaji mzuri sana sema engi price tag yake ndio inawapa wenge wakihisi hastahili kitu ambacho naweza kusema ni swala la muda tu.
Wewe wasema, na usinilishe maneno tafadhari! Sasa wanaoongoza kwa matusi na vifungo ni watu wenu wa jukwaa hili, na mara nýingi tu mnawashiana moto wenyewe kwa wenyewe,Mkuu hujawahi kumchongea mtu afungiwe yawezekana unayafurahia matusi na kama unayafurahia basi nawe ni mmoja wapo unayetukana.
Naamini performance yake itategemea na Lampard anataka connection iweje kwenye timu.Yes kinahalalisha kabisa. Kai ameshika namba 4 katika wachezaji waliohusika na magoli ndani ya mwaka 2020. Yan ukimtoa Lewandowski, Messi na Ronaldo anafuatia Kai Havertz.
Huyu dogo ni mchezaji mzuri sana sema engi price tag yake ndio inawapa wenge wakihisi hastahili kitu ambacho naweza kusema ni swala la muda tu.