Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndio maana wakongwe hawaonekani. Utoto unekuwa mwingi sana, matusi na ujinga mwingine.

Ukirudi miaka kadhaa nyuma, majukwaa ya michezo yalikuwa funny, ila sasa hivi yanaudhi na kuna wakati yanatia kinyaa.

Kuna haja ya kurudisha zile ban za enzi zile

Cc: Paw Invisible Fang
Daah zile ban ziliwafundisha wengi sana kuna jamaa alikua anajiita Sergio kwenye majukwaa haya haya ya michezo tulikua tunapishana sana na ukipishana na naye ilikua ni mitusi kwemda mbele alikula ban ya maisha mpaka leo sijamuona tena.

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Daah zile ban ziliwafundisha wengi sana kuna jamaa alikua anajiita Sergio kwenye majukwaa haya haya ya michezo tulikua tunapishana sana na ukipishana na naye ilikua ni mitusi kwemda mbele alikula ban ya maisha mpaka leo sijamuona tena.

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Omba zisirudi, maana humu hatobaki mtu.. Wote wehu
 
Usajili wa Edouard Mendy kuja Chelsea, Mkataba rasmi wafikiwa kati ya Chelsea na Rennes, Kinachosubiriwa ni kusaini makaratasi tu na Chelsea kumtangaza muda wowote kuanzia sasa.
1600407375804.png
 
JUMAPILI NA LIVER

4-2-3-1

-------------------------GIROUD-------------------------

WERNER----- HAVERTZ ------- MOUNT

KOVACIC ------- KANTE

AZPILICUETA -- ZOUMA ---CHRISTENSEN -- JAMES

-------------------------KEPA-------------------------​
Yeah hapa liverpool achomoki.
 
MANCHESTER UNITED MANAGERS SINCE 1986
1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4.Giggs
5.Jose Mourinho
6.Ole
TOTAL premier league trophy =20

ARSENAL MANAGERS SINCE 1986
1.Gerge Graham
2.Bruce Rioch
3.Arsene Wenger
4.Unai Emery
5.Arterta
TOTAL premier league trophy = 13

CHELSEA MANAGERS SINCE 1986
1.Bobby Campbell
2.Jan Borterfield
3.David Webb
4.Glenn Hoddle
5.Ruud Gullit
6.Gianluca Vialli
7.Ray Wilkins
8.Claudio Ranieri
9.Jose Mourinho
10.Avran Grant
11.Felip Scolari
12.Ray Wilkins
13.Guus Hidink
14.Carlos Ancelotti
15.Andrew Villas Boas
16.Robert Di Matteo
17.Rafael Benitez
18.Jose Mourinho
19.Guus Hidink
20.Antonio Conte
21.Sarri
22.Lampard
23.Paul Ngei
24.Fred Kubai
25.Achieng Oneko
26.Jomo Kenyatta
27.Kung'u Karumba
28.Bildad Kagia
29.Mwene Mutapa
30.King Lobengula
31.Mekatilili Wamenza
32.Jehova Wanyonyi
33.Lwanda Magere
34.Samoure Toure
35.Otto Von Bismarck
36.Vasco Da Gama
37.Christopher Columbus
38.Mahatma Gandhi
39.David Livingston
TOTAL premier league trophy = *6*
 
Je wajua ??
.
Kipa wa Chelsea Kepa Arrizabalaga ameokoa mashuti matano (5) tu kati ya mashuti 19 yaliyolenga lango lao.

Pazia
 
Liverpool anaenda kuwapigeni 5 tena

Lampard. Confirms no Chilwell, Pulisic, Ziyech or Thiago Silva for Liverpool.

Chelsea 0 Liverpool 5
 
Kikosi dhidi ya Liverpool

-Giroud-
Werner-Havertz-Odoi
Kova-Kante
Azpilicueta-Zouma-Christensen-James
-Kepa-

Naona ni bora wasianze pamoja Havert na Mount kutokana na wote kujikuta wanaingiliana majukumu. Halafu pia jukumu la ukabaji akiwepo Kova akisaidiana na Kante inaweza saidia punguza pressure ya mashambulizi ya kina Salah. Liver wanakawaida ya kuanzia mashambulizi kutokea pembeni hasa kwa fullback wao TAA na Robertson kitu ambacho Azpi na James wanaweza kudhibiti. Kwa hiyo ni bora sisi tushike kiungo kwa maana ya mwanzo wa sisi kushambulia tucheze kati huku fullback wakizubaishana nasema ivyo kwa saba midfield ya sasa ya Liver ni kama sponge tu hawawezi kutuzidi kama tutaamua kuwakamata. Wijnaldum anaiwaza Barca, Alcantara hawezi cheza hii mechi, Chamberlain majeruhi, waliobaki hapo labda Keita lakini Fabinho atabaki kuishangaa ile price tag €80.00m ikifanya yake

Liver wanakaa kama Lampard atafanikiwa kudhibiti wings na Fullback kupanda panda. Otherwise hakuna rangi tutaacha kuona
 
Huyu lampard nae anazingua.. Pulisic last weekalisema yupo fit..

Ligi zinataka kuanza tukaambiwa hayupo fit..
 
Conference ya FL ni majanga tuu, kuna timu inakuja kuchukua point 3 pale darajani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom