Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msishangae kuwaona humu na majukwaa mengine wakipiga umbea na kutukana tukana ovyo mnatakiwa mtambue hapo ni sawa na kipofu kaona mwezi tena wengi wao ndio kwa mara kwanza wanashuhudia timu yao ikiongoza toka waanze kushabikia. Kikubwa tujue namna ya kuishi nao baada ya mwezi najua hali zao zitakuaje hatutaona humu wala huko kwao.
Screenshot_20200917-135205_1600340716718.jpg


Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Badala kutumia picha yenye Jersey ya Chelsea, umeona bora utumie hiyo ya mabaasha zako, sio?

Mashabiki wa Arsenal na Chelsea munazingua.

Ushauri wangu, acheni utoto, japokua munakula ugali wa kengele.
Mwanangu umeumia kinoma😂😂😂😂😂
 
Na wewe unatuabisha kila saa upo huku.
Wewe hápa unafanya nini mzee? Mm ni mwanaspoti, so notfcatn yyt ihusuyo spotı naruka nayo,
Then ni mgawanyo wa majukumu tu,wewe baki kule mimi kaz yangu kuhakikisha kwa wapinzani njaa haikauki, wewe ni mgeni siwezi kukulaumu,
Nawakabia kwenye final third kama torreira,

Ukiwapa space hawa wanazingua
 
Msishangae kuwaona humu na majukwaa mengine wakipiga umbea na kutukana tukana ovyo mnatakiwa mtambue hapo ni sawa na kipofu kaona mwezi tena wengi wao ndio kwa mara kwanza wanashuhudia timu yao ikiongoza toka waanze kushabikia. Kikubwa tujue namna ya kuishi nao baada ya mwezi najua hali zao zitakuaje hatutaona humu wala huko kwao.View attachment 1572319

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Pumba
 
Wakuuu vip mbona matusi yanatawala sana watu nafikili watu ambao cyo fans wa Chelsea watoke matusi cyo mazuri
Ndio maana wakongwe hawaonekani. Utoto unekuwa mwingi sana, matusi na ujinga mwingine.

Ukirudi miaka kadhaa nyuma, majukwaa ya michezo yalikuwa funny, ila sasa hivi yanaudhi na kuna wakati yanatia kinyaa.

Kuna haja ya kurudisha zile ban za enzi zile

Cc: Paw Invisible Fang
 
Virgil an Dijk, Alisson, Fabinho, Naby Keita, Sadio Mane and Mohamed Salah = £297m
Sisi tumetumia tu Paundi mil 224 uchawi umeanza, Liverpool wako kama Arsenal, wana wivu ya kufa mtu
Mbona unapaniki kiongozi tulia tulia muda utaongea tu
 
Wewe hápa unafanya nini mzee? Mm ni mwanaspoti, so notfcatn yyt ihusuyo spotı naruka nayo,
Then ni mgawanyo wa majukumu tu,wewe baki kule mimi kaz yangu kuhakikisha kwa wapinzani njaa haikauki, wewe ni mgeni siwezi kukulaumu,
Nawakabia kwenye final third kama torreira,

Ukiwapa space hawa wanazingua
Kwa hiyo wewe arsenyeto unawakikishia wazi unatumwa singeshindia mihigo upate kushiba kuliko kushindia jukwaa moja humu mbaka.we nzio wana kushaangaa sana
 
WERNER-----GIROUD ------- MOUNT

KOVACIC---- HARVETZ ------- KANTE

CHILWELL/AZIPU -- TOMORI -- ZOUMA -- JAMES

Werner & Mount wakabie juu kuwadisturb kipa na mabeki wa liver wafanye makosa kwenye kuanzishiana mpira na zaidi kuhakikisha Anold & Roberson hawapandi kushambulia.


Alonso asipangwe kabisa ni konokono Salah ana kasi sana lazima apatikane beki mzuri wa kumzuia, azipu au chilwell kama atakuwa fit.

Rudger hawezi kumzuia Salah may be Tomori ni mbishi, ana nguvu na anakaba kwa timing.

Salah + Anold vs Alonso + Rudger = GOALS

Salah + Anold vs Azipu/Chilwel + TOMORI = Berlin wall

Mungu saidia Kovacic awepo akichafue pale katikati.

Cheek, Joginho, Alonso watupishe hatutaki makirikiri kwenye hii mechi.

Sijajua kama Pulisic, Ziyech, Thiago, Chilwell watakuwa fit kucheza.

Msimu huu wachezaji wajitahidi sana kuirudisha hadhi ya Stanford bridge hakuna kuwazadia wageni POINT 3 kirahisi.
Mwana tafuta kibarua cha ukocha hapo kwa Marina, unaipangaga timu kuliko hata Lampard ila kwa bahati mbaya lazima mliwe hiyo J2
 
Wanangu wa The blues vipi weekend tutashinda au tutapigwa 5G tena?

#Coyg
 
MANCHESTER UNITED MANAGERS SINCE 1986
1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4.Giggs
5.Jose Mourinho
6.Ole
TOTAL premier league trophy =20

ARSENAL MANAGERS SINCE 1986
1.Gerge Graham
2.Bruce Rioch
3.Arsene Wenger
4.Unai Emery
5.Arterta
TOTAL premier league trophy = 13

CHELSEA MANAGERS SINCE 1986
1.Bobby Campbell
2.Jan Borterfield
3.David Webb
4.Glenn Hoddle
5.Ruud Gullit
6.Gianluca Vialli
7.Ray Wilkins
8.Claudio Ranieri
9.Jose Mourinho
10.Avran Grant
11.Felip Scolari
12.Ray Wilkins
13.Guus Hidink
14.Carlos Ancelotti
15.Andrew Villas Boas
16.Robert Di Matteo
17.Rafael Benitez
18.Jose Mourinho
19.Guus Hidink
20.Antonio Conte
21.Sarri
22.Lampard
23.Paul Ngei
24.Fred Kubai
25.Achieng Oneko
26.Jomo Kenyatta
27.Kung'u Karumba
28.Bildad Kagia
29.Mwene Mutapa
30.King Lobengula
31.Mekatilili Wamenza
32.Jehova Wanyonyi
33.Lwanda Magere
34.Samoure Toure
35.Otto Von Bismarck
36.Vasco Da Gama
37.Christopher Columbus
38.Mahatma Gandhi
39.David Livingston
TOTAL premier league trophy = *6*
Huna akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom