Dah tusubirie press conference ya kocha kuelekea mechi ya jumapili.

Ila sidhani kama chilwell na thiago watapangwa kwa muda mfupi/wiki hii kuanza kutrain.

Ziyech bado hajaanza mazoezi

Pulisic 50/50.
Dah hii game imekuja mapema sana ukizingatia hatukuwa na pre season games nyingi+ majeruhi....all in all blue is the colour naimani na lads.... ktbffh
 
Jumapili Lampard asirudie kosa la kumpanga Harvetz kama winga. Tunataka kumuona anacheza nyuma ya striker/CAM
Na pia km chilwell ndo hvyo 50/50 ....tucheze tu 3-4-3 formation inayomsuit Alonso vizuri...maana game ya jtatu DG tariq lamptey alikuwa anateleza tu upande Wa Alonso mithiri ya winga ...
 
Haya matusi lazima tuelewe kuna watu siyo wazima kiakili ukiona wameanza kutukana unaachana nao tu.
Screenshot_20200830-142411_1598952494220.jpg

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ninaanza kuwaelewa vizuri akina Dully, kuna watu hapa ni screen tu zinawaficha lakini wangejitokeza ni hovyo sana, hawezi kuchangia bila kutukana, hawezi kumpinga shabiki mwingine bila tusi, Na hivi hivi kwenye majukwaa mengine mnaleta aibu
Mimi kusema tu Giroud atolewe kama swap deal ya kumpata Mendy basi wao mitusi utafikiri mimi nina mamlaka ya kumtoa Giroud na ni wazo tu. Wao wanaona Giroud ni wa muhimu sawa sikatai lakini mimi nimeona kipa wa muhimu zaidi,
Samahani kwa wana Chelsea wenzangu, Mimi mtu akinijia kichwa kichwa na mimi hivyo hivyo. Hakuna mtu mwenye hati miliki ya mawazo na jukwaa hili. Kama mtu anajua kuliko wengine humu na hataki mawazo mbadala asepe. Huu ni ujinga mtupu kuendekeza wala unga humu kwenye mwamvuli wa ushabiki
 
Watu wana wasiwasi inawezekana Super Frank yuoo humu anachungulia tu, kama Ole anavyochungulia kule kwa manyumbu
1600182285895.jpg
 
Back
Top Bottom