mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
Wenyew wanajua ni mchezaji muhimu hawawez kubaliTuwape:-
Barkely + Cash
Bakayoko + Cash
Joginho
Msmu ulioish alizdiwa na ndidi t
Wenyew wanajua ni mchezaji muhimu hawawez kubaliTuwape:-
Barkely + Cash
Bakayoko + Cash
Joginho
Wivu huo kisa hamna pesa ya kufanya usajili kama chelsea
Huoni aibu unajisifu kuuziwa Kepa kwa £100m while watoto wa mjini tumeshusha kitasa kwa bei chee, first debut, first goal, man of the match.Wivu huo kisa hamna pesa ya kufanya usajili kama chelsea
London always blue
Unauhakika gani kama kepa tuliuziwa kwa £100mHuoni aibu unajisifu kuuziwa Kepa kwa £100m while watoto wa mjini tumeshusha kitasa kwa bei chee, first debut, first goal, man of the match.
Willian tumechukua free anatupa assists km zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Roho ya arsene wenger bado inatawala pale arsenalHuoni aibu unajisifu kuuziwa Kepa kwa £100m while watoto wa mjini tumeshusha kitasa kwa bei chee, first debut, first goal, man of the match.
Willian tumechukua free anatupa assists km zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwamba hujui kama hao wote 8 tumewasajili tayari?View attachment 1568132hy list iko sawa kweli ama tumesingiziwa mmoja.?
Nimeshahifadhi hili ktk kumbukumbu nzuri za "medulla oblongata" Mungu atujalie uzima ili ikuaibishe na kukufunza kutoropoka kabla hujafikiri kwa utabiri uchwara wa Chelsea FC sababu tu ya "roho ya kwanini".CHELSEA HAINGII TOP 4 MSIMU HUU!
Mtanitag msimu ukiisha!
Huyo Mbuyamba ndio nani.?Kwamba hujui kama hao wote 8 tumewasajili tayari?
lembu Xavier muyamba Ni Nani na amesajiliwa kutoka team gani?
lembu Xavier muyamba Ni Nani na amesajiliwa kutoka team gani?
Beki wa kati tumemsajili toka BarcelonaHuyo Mbuyamba ndio nani.?
CB kutoka Barcelona. Amepelekwa kwenye academylembu Xavier muyamba Ni Nani na amesajiliwa kutoka team gani?