Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna wachezaji tunawachukulia easy sana ila muda tu utasema yote.

1.Mason Mount
2.Hudson Odoi
3.Tammy Abraham

Hii ni potential sana ila si tunawaona oya oya tu. Ipo siku tutasema wenyewe
Ongeza na Tomori, atakuja kuwa bonge la CB
 
Hujui mpira ww kaà kimya kwa hyo ww kipimo cha mchezaji mzuri wakimtaka hzo tmu ulizozitaja ndio unajua mzuri hah Acha kulala ww mpira hauchezwi chumbani unachezwa wazi KAI NI FUNDI WA MPIRA SUBILI UONE .... KANGA MAJI WW
Wachezaji wote wazuri dunian wanacheza timu hizo ???


Team kumuhitaji mchezaji kuna factors nyingi
 
Hivi unakumbuka zile sub za Solomon Kalou, Frank Malouda, Ramires?

Brother usifanye sub kujaza nafasi, wewe unawaza sub za kujaza nafasi.

Fanya sub ya kiufundi, kupata kilicho bora zaidi kuboresha game. Angalia man city benchi lao la sub mpaka vilabu epl vimepiga kura sub 5 ziondolewe man city angeua mtu.

Chelsea kwa sasa hatuna sub za maana bali tuna wachezaji wa kujaza nafasi;-

Barkely
Mount
Cheek
Tammy
Joginho
Odoi

Tena ikiwezekana tunatakiwa tusign angalau winga mbili (Kushoto Na kulia) kwa mkopo kabla dirisha halijafungwa.
Tafadhali soma uelewe, tactical arrangement inaweza kufanya wachezaji wazuri wakacheza na kutoshea kwenye sub za mawinga bila kuwataja akina Barkley. Narudia nilisema Werner asipocheza striker akacheza Giroud sub za winga zinaongezeka bila Odoi kwa sababu
  1. Werner mwenyewe ni winga,
  2. Mount ni winga,
  3. Piulisic ni winga,
  4. Ziyech ni winga,
  5. Havertz ni winga
Au na hao ni kujaza nafasi???
 
Kuwachezesha wachezaji kwenye wrong position madhara yake tuliyaona kwa Kante. Mount ni Mildfilder, Harvetz ni central Mildfilder
Hizo nafasi wanazicheza precisely, mfano tena Mount anacheza position zote za mbele vizuri sana isipokuwa striker na defensive MF
Ziyech anacheza vizuri CAM kama anavyocheza Winga wa kulia, Havertz anacheza zote mpaka striker na maono ya Havertz ni kuja kucheza wide winga wa kushoto namba 10. Werner alishasema hapo awali anapenda kucheza mpira maana yake anapenda kucheza winga wa kushoto au CAM. Hizi sio wrong position kwa hao wachezaji. Na huko nyuma nilishawahi kusema advanyage ya huu usajili hasa wa Werner, Ziyech na Havertz ni wanatupa flexibility. Narudia kutoa maoni yangu Odoi asipopewa muda wa kutosha ni heri apelekwe mkopo ili akapate muda mwingi huko na baadaye tuweze kumfaidi talents zake. Akiwekwa benchi atasepa na tutamkosa kabisa
 
Screenshot_20200911-213908_1599891221924.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom