Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Mi hayo majina nayasikiaga tu na ndio kichekesho kwangu hata sipajui.Tanangozi hahahaha umenikumbusha mbali bro 2014 hiyo.
Mi hayo majina nayasikiaga tu na ndio kichekesho kwangu hata sipajui.Tanangozi hahahaha umenikumbusha mbali bro 2014 hiyo.
Sipati picha combination ya kante na Rice pale katikati wote hao wakataji umeme wapinzani wataisoma number tutatengeneza solid team.Werner
Ziyech
Harvetz
Sarr
Thiago
Chilwell
Mendy
Rice your are next
shimba96 nilimchambua huyo Kipa humu humu jamvini itakuwa ukusoma weakness za Kepa ndio strength za huyo kipa Anajua kusaves mipira ya hatari ya long shots na short shots, Ni kipa kiongozi anajua kuongea na beki zake na sometimes kuwakemea wanapofanya makosa,Ni mzuri kwenye set pieces n.k Kacheza mechi 33 karuhusu magoal 34 pekee na ana cleensheet 13.VP huyu Mendy kwa kiwango chake unavyomuona atakuja kuanza 1st eleven au kumchallenge kepa?
Huyu dogo hakutakiwa kuondoka kabisa hata ndio ni mkopp. Lampard anategemea Pulisic au Ziyech wakipata majeraha itakuaje?Chelsea Considering Loan Move Away for Callum Hudson-Odoi
Exclusive - Chelsea have informed winger Callum Hudson-Odoi that he could be loaned out this season after the Blues secured the signing of Kai Havertz from Bayer Leverkusen.
Manager Frank Lampard has reinforced his attack this summer with the signings of Havertz, Timo Werner and Hakim Ziyech, all of whom can play in Hudson-Odoi's position and will be expecting regular starts.
View attachment 1566968
Hukusoma vizuri, nafasi ya Odoi ina wachezaji wengi na nadhani haitakosa sub nzuri. Mimi naona Odoi akienda kwenye timu itakayompa muda mwingi wa kucheza itakuwa na afya kwake na Chelsea kwa sababu tatizo kubwa la Odoi ni kupata muda wa Kucheza na ndio maana kabla ya majeruhi alipopewa muda mwingi alianza kuonyesha makali lakini majeruhi yakamrudisha nyuma. Odoi msimu mmoja tu wa mkopo unaweza kumfanya apate namba ChelseaItakuwa Very POOR decision, Odoi aondoke sub ya ZIYECH na PULISIC zitatoka wapi?
Pulisic prone to injuries
Ziyech mgeni itamchukua week kadhaa kuzoea mikiki ya EPL
Odoi, Mount lazima wakae standby.
January tunahitaji kumsign winga ya kushoto mbadala wa Pedro
ivi mount mnchuklia mchezaji mbovu duh kila mtu na macho yak ligi ya uingeleza ngumu Ila mount kajitaid kuperfom angkuw league nyingn uko leo hii ungetaman asajiliwe tena mim kwangu mount akzd kukua na kumaintain atakua mchezaji mzuriHivi unakumbuka zile sub za Solomon Kalou, Frank Malouda, Ramires?
Brother usifanye sub kujaza nafasi, wewe unawaza sub za kujaza nafasi.
Fanya sub ya kiufundi, kupata kilicho bora zaidi kuboresha game. Angalia man city benchi lao la sub mpaka vilabu epl vimepiga kura sub 5 ziondolewe man city angeua mtu.
Chelsea kwa sasa hatuna sub za maana bali tuna wachezaji wa kujaza nafasi;-
Barkely
Mount
Cheek
Tammy
Joginho
Odoi
Tena ikiwezekana tunatakiwa tusign angalau winga mbili (Kushoto Na kulia) kwa mkopo kabla dirisha halijafungwa.
Huyo Rice aje ssa yasiwe manenoSipati picha combination ya kante na Rice pale katikati wote hao wakataji umeme wapinzani wataisoma number tutatengeneza solid team.
Usimtoe kabisa atakupa point nyingi sana uyoHuyu jamaa yuko kwenye kikosi changu cha FPL ila napata mashaka, nataka nimtoe ili akae Havertz
Kuna wachezaji tunawachukulia easy sana ila muda tu utasema yote.ivi mount mnchuklia mchezaji mbovu duh kila mtu na macho yak ligi ya uingeleza ngumu Ila mount kajitaid kuperfom angkuw league nyingn uko leo hii ungetaman asajiliwe tena mim kwangu mount akzd kukua na kumaintain atakua mchezaji mzuri
Same to odoi odoi majeruhi ndo yalimrudish nyuma yni kusajiliwa winga wengine hio ni impossible uwez kusajil ivo msmu mmj winga wawal kwa same position
Players needs time to adopt new league tena uongez wachezaji wapya wengine io timu ita settle lin,!?
Building compitetive teams it's a process not a single season unatgemea timu itakua best
lembu si rahisi kwa game ya kwanza Chelsea ikapata ushindi mkubwa kwa sababu level ya fitness ya wachezaji itakuwa ndogo kwasababu ya short pre-season waliofanyaBrighton vs Chelsea prediction
Prediction: 0-4.
Betfair Exchange Odds: Brighton- 9/2, Chelsea- 4/6, Draw- 10/3
Nakuunga mkono kwa asilimia 💯Kuna wachezaji tunawachukulia easy sana ila muda tu utasema yote.
1.Mason Mount
2.Hudson Odoi
3.Tammy Abraham
Hii ni potential sana ila si tunawaona oya oya tu. Ipo siku tutasema wenyewe
Nyie Chelsea mnaota kweli kweli.Brighton vs Chelsea prediction
Prediction: 0-4.
Betfair Exchange Odds: Brighton- 9/2, Chelsea- 4/6, Draw- 10/3
Unasahau kuwa Kuna baadhi ya wachezaji hawakuwepo kwenye pre-seasonNyie Chelsea mnaota kweli kweli.
Yaani huyo Brighton mmetoka nae sare kwenye pre-season halafu kwenye ligi mnatarajia kuwafunga goli 4?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani hizo ni tetesi tuHuyu dogo hakutakiwa kuondoka kabisa hata ndio ni mkopp. Lampard anategemea Pulisic au Ziyech wakipata majeraha itakuaje?
Huwezi nunua winga wazuri ndani ya dirisha mojaBila sub za kueleweka kwa Ziyech, Pulisic na Kante tusahau ubingwa. Maeneo mengine at least sub zipo. Sina imani na hawa academic players waende kwanza kule dortmund wakapate experience.
Na kuna baadhi walikuwepo kwenye pre-season na hawatakuwepo kwenye PL Match, umesahau?Unasahau kuwa Kuna baadhi ya wachezaji hawakuwepo kwenye pre-season