Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Unapata wapi ujasiri wa kusema mfungaji wenu bora wa msimu uloisha hafaiAisee Hii habari isiwe ya kweli tunamuhitaji sana Giroud kusadiana Werner kutupia magoli. Abraham hafai kabisa kuwa sub kwa sasa he just waste time and chances.