Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Narudia kusema bado Kipa tutaimba "blue is the colour ".
 
Giroud huyohuyo aliyewapatia kombe la Europa Chelsea na kuwaacha arsenal wakishinda vibao vya jamii.
Asa wewe kwa akili yako ya mbu unadhani kombe la Europa na kombe la FA lipi lina pesa nyingi?
 
Wengi wa wanaomponda huyu dogo ni aidha wameanza kumfuatilia msimu huu so hawana idea yoyote juu ya huyu dogo au hawamjui kabisa wamesikia kwenye media so nao wanafuata mkumbo.

Nakumbuka mwaka jana niliwahi kuweka bandiko kwenye page aidha ya Liverpool, Man Utd au Arsenal nikasema timu itakayo msajili huyu dogo itakua imelamba dume parefu kipindi hicho sisi tumepigwa pin usajili so kukawa na tetesi kati ya hizo timu kutoka EPL. Kumbe kusema nilikua najisemea mwenyewe na hatimaue sogo amekuja na ninawahakikishia wote wanaopiga vijembe ni aidha timu zao zilijaribu zikashindwa au wanaona wivu zilishindwa ku compete na Chelsea kwa uyu dogo.

Wazee kama nilivyosema mwaka jana tumelamba dume kwa usajili huu. Tuendelee tu kunywa supu nyama zipo chini.View attachment 1559121
Endelea hivyo hivyo kujidanganya.

Tukisema mmepigwa basi mmepigwa kweli.

We kama angekuwa mchezaji mzuri hao Man City, PSG, Bayern na Real Madrid walikuwa wapi mpaka wasimchukue.
 
Endelea hivyo hivyo kujidanganya.

Tukisema mmepigwa basi mmepigwa kweli.

We kama angekuwa mchezaji mzuri hao Man City, PSG, Bayern na Real Madrid walikuwa wapi mpaka wasimchukue.
Hujui mpira ww kaà kimya kwa hyo ww kipimo cha mchezaji mzuri wakimtaka hzo tmu ulizozitaja ndio unajua mzuri hah Acha kulala ww mpira hauchezwi chumbani unachezwa wazi KAI NI FUNDI WA MPIRA SUBILI UONE .... KANGA MAJI WW
 
Endelea hivyo hivyo kujidanganya.

Tukisema mmepigwa basi mmepigwa kweli.

We kama angekuwa mchezaji mzuri hao Man City, PSG, Bayern na Real Madrid walikuwa wapi mpaka wasimchukue.
Kasome taarifa kuhs hizo team nyingine
Madrid,Bayern kabla hujaongea
 
Hujui mpira ww kaà kimya kwa hyo ww kipimo cha mchezaji mzuri wakimtaka hzo tmu ulizozitaja ndio unajua mzuri hah Acha kulala ww mpira hauchezwi chumbani unachezwa wazi KAI NI FUNDI WA MPIRA SUBILI UONE .... KANGA MAJI WW
Wewe ndio hujui mpira unajazwa ujinga..

Huyo Havertz labda awe fundi ujenzi lakini hawezi kuwa fundi wa mpira.

Endelea na hiyo hiyo mentality yako, msimu huu ntajiona kwenye nafasi ya 6.

Chupi-za-buluu fc
 
Lampenalty
IMG_20200905_124710.jpg
 
Wewe ndio hujui mpira unajazwa ujinga..

Huyo Havertz labda awe fundi ujenzi lakini hawezi kuwa fundi wa mpira.

Endelea na hiyo hiyo mentality yako, msimu huu ntajiona kwenye nafasi ya 6.

Chupi-za-buluu fc
Nyie mmemaliza nafasi ya ngapi
 
IKO SIKU KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UTAKIRI YA KWAMBA BLUE IS THE COLOR AND LONDON IS BLUE NA HIVI VIRUSI VILIVYOTUINGILIA HATUTAVIONA TENA HUMU
kwa timu gani? Hao watoto wa Mombasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums245379495.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom