Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mosses mkopo wake umeisha Inter amerudi darajani, je atapata namba mbele ya James?
Sioni Victor Mosses akipata nafasi yoyote kwa Lampard kutokana aina ya uchezaji mpira wa Lamps kwa Mosses itakua kazi sana. Alipata namba kwa Conte coz mfumo wa 3-5-2 ndio ulimfavor sana na ndio ulitupa ubingwa chini ya Conte. Sasa Lampard yeye huwa anapenda sana mabeki wa pembeni waanzie chini ndio maana hata Alonso tunamuona mzigo anapata shida sana kwa Lampard.
Labda atumike kama back up ya winger za Julia coz michuano mingi labda atumike game za mwanzo za FA carabao n.k
 
Essien joins Danish side
The BBC reports former Chelsea midfielder Michael Essien has joined Danish side FC Nordsjaelland as an assistant coach.
 
1599811137806.png


Wigan supporters are aiming to raise £750,000 to support the club this season and are close to their target after the contribution from the Nigeria international, who joined Chelsea from the Latics in 2012.

‘Wow – what can we say? When Victor got in touch to say he wanted to help by donating such a substantial amount, I just couldn’t believe what I was hearing – it’s such an incredible gesture,’ said Wigan Athletic Supporters' Club chairperson Caroline Molyneux.

‘Victor wanted to make the donation and remain anonymous but we simply had to make sure he gets the recognition he deserves. Victor’s contribution has taken us past £650,000 and to within £100,000 of our next target of £750,000.

‘We are so thankful to Victor for his support. He is an excellent footballer, a true role model and someone we always enjoyed watching at the DW Stadium – he will always be welcome back here, even more so now!’

Moses himself has urged others to help save the financially stricken club.

‘Wigan Athletic will always have a special place in my heart,’ he tweeted.

‘I have so many incredible memories from my time there and the people of Wigan and everyone associated with the club have always been so good to me and my family. We must do all we can to protect the future of this great club.’
 
Inavyoelekea hawa ndio tutakuwa nao msimu ujao, inaweza ikatokea Emerson na Fikayo Tomori wakaondoka ila not confirmed

1 Kepa Arrizabalaga
2 Antonio Rudiger
3 Marcos Alonso
4 Andreas Christensen
5 Jorginho
6 Thiago Silva
7 N’Golo Kante
8 Ross Barkley
9 Tammy Abraham
10 Christian Pulisic
11 Timo Werner
12 Ruben Loftus-Cheek
13 Willy Caballero
14 Fikayo Tomori
15 Kurt Zouma
17 Mateo Kovacic
18 Olivier Giroud
19 Mason Mount
20 Callum Hudson-Odoi
21 Ben Chilwell
22 Hakim Ziyech
23 Billy Gilmour
24 Reece James
28 Cesar Azpilicueta
29 Kai Havertz
33 Emerson
 
Sioni Victor Mosses akipata nafasi yoyote kwa Lampard kutokana aina ya uchezaji mpira wa Lamps kwa Mosses itakua kazi sana. Alipata namba kwa Conte coz mfumo wa 3-5-2 ndio ulimfavor sana na ndio ulitupa ubingwa chini ya Conte. Sasa Lampard yeye huwa anapenda sana mabeki wa pembeni waanzie chini ndio maana hata Alonso tunamuona mzigo anapata shida sana kwa Lampard.
Nasemea atumike kama winga Wa kulia na sio beki coz michuano mingi naona tumtumie michuano ya carabao au FA hatua z mwanzo au awe backup in case of any injuries
 
Nasemea atumike kama winga Wa kulia na sio beki coz michuano mingi naona tumtumie michuano ya carabao au FA hatua z mwanzo au awe backup in case of any injuries
Sawa anaweza kutumika lakini kwenye mfumo gani atafit? Kwa sababu Lampard anapenda zaidi kutumia aidha 4-3-3 au 4-2-3-1 hapo ina maana katika mifumo yote hiyo anaweza kupangwa ila bado tusione potential ya Mosses.
 
Hivi mfumo wa 4 - 2 - 3 -1 na 4 - 3 - 3 upi ni mfumo bora? Au inategemeana na mechi husika?

Sidhani kama ukicheza na timu kama liverpool utatumia 4-2-3-1 naona kama katikati pembeni utaacha gaps kwa Anold na Robertson kuserereka.
Mara nyingi mfumo unategemea wachezaji wanafit wapi. Mfano Alonso anafit 3-4-3 ya Wing-back wa kushoto zaidi ya 4-3-3 ya LB, kuna key players ambao wanacheza vizuri kwenye mfumo fulani, kocha ndie anatakiwa kujua key players wake wanafit mfumo upi
Pia defense yetu inakuwa more protected kwenye 3-4-3 kuliko kwenye 4-3-3 kwa sababu 3-4-3 inakuwa na mabeki watano badala ya wanne
 
Kwa nini Alonso hachezi vizuri kwenye 4-3-3
Anajisahau anapopanda kwenda mbele na hivyo eneo lake kutumiak kama uchochoro wa kumimina mashambulizi kwenye 3-4-3 hata akijisahau unakuta nyuma kuna mabeki wengi tayari
 
Mirror wanadai Giroud amekubali mkataba wa miaka miwili na Junvetus kama njia ya kukwepa kusugua benchi Chelsea baada ya Werenr na Haverts kuja darajani. Endapo Juventus watakosa saini ya Luiz Suarez basi Giroud atakuwa ndie alternative wa Suarez
 
Sawa kwanini siku hizi mfumo wa 4-4-2 hautumiki sana barani ulaya. Mfumo huu umekosa wachezaji sahihi?
Nadhani sababu ni kuwa 4-4-2 hautumii mawinga (Natural Wingers) badala yake viungo wengi (central MF wawili na viungo wa pembeni au wide wingers wawili) na striker wawili
Timu nyingi unakuta ina natural wingers wengi na striker wa kuaminika mmoja
Hivyo kuwa na wachezaji wa 4-4-2 unakuwa na timu ambayo sio flexible kwa sababu mifumo mizuri yenye kuwatumia winga ndio ziko nyingi
 
Sawa kwanini siku hizi mfumo wa 4-4-2 hautumiki sana barani ulaya. Mfumo huu umekosa wachezaji sahihi?
Pia nadhani upepo wa makocha wengi kupenda possesive football inawalazimisha kutumia mifumo mingine hasa 4-3-3 au derivatives zake
 
Nadhani sababu ni kuwa 4-4-2 hautumii mawinga (Natural Wingers) badala yake viungo wengi (central MF wawili na viungo wa pembeni au wide wingers wawili) na striker wawili
Timu nyingi unakuta ina natural wingers wengi na striker wa kuaminika mmoja
Hivyo kuwa na wachezaji wa 4-4-2 unakuwa na timu ambayo sio flexible kwa sababu mifumo mizuri yenye kuwatumia winga ndio ziko nyingi
Yeah pia mifumo ya kisasa kumeibuka pia inside forwards kwenye front 3 za mfumo Wa 433 ....kwahyo ma fullbacks wanaplay part pia km mawinga...MF liverpool
 
Hii timu ya ajabu sana unatoa mihela mingi kwa mchezaji wa kawaida kama havertz management haijielewi
 
Sawa kwanini siku hizi mfumo wa 4-4-2 hautumiki sana barani ulaya. Mfumo huu umekosa wachezaji sahihi?
Kuna sehemu jamaa wamemchambua Furgusson na MOU kama ndio pioneer wa hii mifumo ya 442 na 433
Alex aliwatumia Paul Scholes na Roy Keane viungo wa katikati na mawinga (wide wingers Ryna Giggs na David Beckham) huku akiwatumia strikers wawili ambao ni Andy Cole na Dwight Yorke. Hii ilimletea mafanikio makubwa tangu 1998 hadi alipostahafu
Kwa upande mwingine MOU alipokuja darajani mwaka 2004 alipindua formation kutoka 442 kwenda 433
Kwenye 433 Mou alimtumia Makelele kama DM na Lampard na Geremi Joe Cole, Damien Duff, and Arjen Robben na Drogba katikati akicheza nafasi ya striker. Uwezo pia wa MOU kubadili formation kwenda 4-1-4-1 na bado matokeo yakawa yale yale. Nilichogundua kwa MOU sio tu formation ndio iliyoleta matunda mazuri bali aina ya wachezaji waliojaza hizo nafasi. Mfano Drogba aliweza kuwaweka busy mabeki wawili kwa mpigo na hivyo kuifanya timu ikicheza na wachezaji 11 uwanjani badala ya 10. Leo hii striker tulionao hawawezi kuwaweka busy wachezaji kama ilivyokuwa enzi za Drogba. Uwepo wa makelele na Esien km DM ilitosha kabisa kukata umeme na kuwalinda mabeki. Kule nyuma Chelsea imeweka rekodi ya siku zote ya cleansheet 25 kazi hiyo ikifanywa na akina Carvalho, John Terry, and Petr Cech kama GK

Mfano lineup ya Chelsea vs Barcelona round of 16 UEFA ya March 2005 hii hapa
Chelsea walishinda 4-2 on agreegate ilikuwa 5-4)
1-Petr Cech;
20-Paulo Ferreira --- 6-Ricardo Carvalho --- 26-John Terry --- 13-William Gallas;
10-Joe Cole --- 4-Claude Makelele --- 8-Frank Lampard
11-Damien Duff --- 9-Mateja Kezman --- 22-Eidur Gudjohnsen

Subs: Cudicini, Johnson, Smertin, Geremi, Parker, Huth, Tiago.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom