OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Kama kwa kikosi kile cha academy tulifanya yote haya basi sasa mbele ya Ngola Kante,Timo,Ziyech na Pulisic kila goti litapigwa..Chelsea msimu uliopita pamoja na forward butu na defense mbovu lakini imefanya vizuri sana.
Sasa wamekuja mafundi wa kutengeneza nafasi, ku-assists, kupiga mashuti golini na kufunga.
- Tumefunga mabao 69 ya tatu (nyuma ya Mancity 102 na Liverpool 85)
- Tumetengeneza nafasi 74 ya tatu (nyuma ya Mancity 108 na Liverpool 88 )
- Tumeshinda mechi 20 ya tatu (nyuma ya Liverpool 32 na Mancity 26 )
- Tumepiga pasi 23,244 ya tatu (nyuma ya Mancity 26,329 na Liverpool 23,872 )
- Tumepiga mashuti golini 625 ya pili nyuma ya Mancity 745
Ndio maana hao arsenyeto na mahawara zao wanaweweseka sana.
Tunaye Timo, Ziyech, Havertz na bado wako akina Pulisic, Mount, Mzee mzima Giroud, Kijana anayekuja kwa kasi Odoi bila kumsahau Tammy Abraham
Katikati wako Kante na Kova bila kumsahau Gilmour na Jo
Nyuma wapo akina Chilwell, Thiago na Zouma/Rudiger
Kweli watatuweza hao??????????
Hahahah dah hizi dharau mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fujo na kejeli mmeanzisha nyie wenyewe hasa mliposhinda FA leo hii wewe ndio unasema tumeanzisha sisi?
Mla ndizi hakumbuki, muokota maganda ndio jukumu lake. Kombe la FA liliwapa wazimu sana nawaza mngechukua EPL sijui ingekuaje!View attachment 1559798
YANI BAADA YA KUSHINDA MICKEY MOUSE CUP YAKAANZA KUSUMBUA LEO YANATUGEUZIA KIBAO ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fujo na kejeli mmeanzisha nyie wenyewe hasa mliposhinda FA leo hii wewe ndio unasema tumeanzisha sisi?
Mla ndizi hakumbuki, muokota maganda ndio jukumu lake. Kombe la FA liliwapa wazimu sana nawaza mngechukua EPL sijui ingekuaje!View attachment 1559798
Sasa uyo ni rijali mwanaume kamili yuko na mkeweUnamfananisha na huyu ?View attachment 1559582
Hivi ni vitu vya kawaida wewe mmatumbi unajua nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559584
Ongezea na huyu mwambaKama kwa kikosi kile cha academy tulifanya yote haya basi sasa mbele ya Ngola Kante,Timo,Ziyech na Pulisic kila goti litapigwa..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huyo mama marina noma...anajua kunegotiate sana hata KWA chilwell aliwashusha mpk £45m + 5m add onsKai Havertz sio mchezaji ghali wa siku zote Chelsea
Pesa iliyolipwa ni Paundi mil 62 na paundi mil 8 zitalipwa kama addons
Kepa atabakia kuwa mchezaji ghali wa siku zote Chelsea
View attachment 1560233
"This is according to the Telegraph, who claim the initial fee is actually closer to £62m with a further £8m in add-ons – rather than the previously believed £72m initial fee and £20m in add-ons"
Hamna mchezaji humo , mtamkataa humu
Huku ndo kuna wachezajiHamna mchezaji humo , mtamkataa humu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa mbon povu sana kulikon we tuache na timu yetuHii timu ya ajabu sana mnapigwa $100 kwa galasa lile
Hivi ulishapata mchongo au bado unadanga?
Mchongo gani tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ulishapata mchongo au bado unadanga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1560371
Usisahau na hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ulishapata mchongo au bado unadanga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1560371
Chelsea kapigwa final nyingi na Arsenal unalijua hiloUsisahau na hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1560381
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Halafu kweli hivi wewe ulipataga kazi niliona unalalamika au bado joblessMchongo gani tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1560380
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ya mwaka huu juz hapa mwez wa 8 umesahauUsisahau na hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1560381
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Arsenal naye kapigwa hapa nadhani unalijua hiloChelsea kapigwa final nyingi na Arsenal unalijua hilo