Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Tutaona mengi SanaThe future is bright ahead of him. Wana blues wenzangu tuendelee kupiga mtori nyama bado chini.
Kai HavertzView attachment 1555278




Tutaona mengi SanaThe future is bright ahead of him. Wana blues wenzangu tuendelee kupiga mtori nyama bado chini.
Kai HavertzView attachment 1555278




OverratedThe future is bright ahead of him. Wana blues wenzangu tuendelee kupiga mtori nyama bado chini.
Kai HavertzView attachment 1555278
Chelsea na gwambina hawana tofauti yoyoteMid table mnajua kujifariji.




Haaaahaaaaaa hawa jamaa wanadhihirisha kabisa midtableTofauti yetu na wao sisi tulipochukua EL haikua kama wao walipochukua FA. Yapata mwezi sasa bado wanasherehekea.
Mid table![]()
Jamaa wanakelele utadhani wamechukua champions league.Nyie mid table mna kelele sana.
Who is Mid table team?Haaaahaaaaaa hawa jamaa wanadhihirisha kabisa midtable
Cheltako ni takatakaWho is Mid table team?View attachment 1555408View attachment 1555409
Haiondoi kuwa nyie ni mid table.
Jamaa wanakelele utadhani wamechukua champions league.
Nyie mnatia huruma aiseee yaani unashangilia ngao ya hisani
Arsenane ni mid table teamWho is Mid table team?View attachment 1555408View attachment 1555409
Msimu huu Sheffield ,wolves ,Burnley ,saint ,spurs wana jambo lao mtaenda namba 13, utazeeka bila kushiriki champions league ,kuchukua EPL ndio ndoto kabisaNyie takataka hivi humu mnajadili nini? Wanaume tushafungua account za mataji huko
Mwaka wa ngapi hii kale ka mziki ka champions league mnakasikia kwa jirani?endeleeni kupambana na wolves,Sheffield, everton na Leicester awacheki na kima wanakukabia chini chini hukoCheltako ni takataka
Pigaaa mbuzi haoTeam ya Arse8 ina umama ndani yake
Kwa Akili yako Unadhan Arteta angeanza toka mwanzo mngepona nyie Chelshit?Mwaka wa ngapi hii kale ka mziki ka champions league mnakasikia kwa jirani?endeleeni kupambana na wolves,Sheffield, everton na Leicester awacheki na kima wanakukabia chini chini huko
Tuna cement record and history, ww unafurahia nafasi ya 4Mid table mna mbwe mbwe. na kombe lenu hilo funiko la pilau.


