Ama kweli we ni nyumbuMan utd flop of the season
*Lingard*
3 goals
2 assist.
Their player of the season
*Kovacic*
2 goals
3 assist.
And u are telling me this life is balance
Who is actually in charge of Chelsea awards?
Unashabikiaje timu iliyoanzishwa na Mou 2005 na uzee wako huo?View attachment 1555753

we mtoto mambo ya wakubwa huyawezi. Mnasimuliwa mno storiesZindukeni nyie mid table team kushinda FA Cup na CS imekua kero mngeshinda EL si JF ingefungwa kabisa.zinduka usingizini wewe
Cheltyako harakati za maisha zinaendaje hamm//mm//
Cheltako
Acheni ulimbukenge nyie. Mmeanza kushabikia Arsenane juzi kwa hiyo haya ndio makombe pekee mliyoyashuhudia mnaweza jivunia mbele yetu katika ushabiki wenu.Nyie Makalio FC![]()
Ficha aibu hii mbele ya football intellectuals. Unaweza jikuta unarambwa makofi yasiyo na rangi kwa utumbo kama huu. Siyo kila kitu cha ku copy & paste tumia ubongo wako kufikiri wewe.Man utd flop of the season
*Lingard*
3 goals
2 assist.
Their player of the season
*Kovacic*
2 goals
3 assist.
And u are telling me this life is balance
Who is actually in charge of Chelsea awards?
UsilieMashabiki wa arsenal mnazingua sidhani hata kweny jukwaa lenu huwa mnafinyiwa hivyo
Mara nyingi watu huwa wanakuja kwenye jukwaa lenu kama mmefungwa ila nyie mnazingua hakuna chchote mnachopost zaid ya ujinga humu
Mnazingua

Kama inauma, chomoaZindukeni nyie mid table team kushinda FA Cup na CS imekua kero mngeshinda EL si JF ingefungwa kabisa.
Huo ulimbukeni wa kukosa makombe muda mrefu kwa hiyo mnatuliza machungu maana ni miaka kadha wa kadha mbele huko.



Mashabiki wa arsenal mnazingua sidhani hata kweny jukwaa lenu huwa mnafinyiwa hivyo
Mara nyingi watu huwa wanakuja kwenye jukwaa lenu kama mmefungwa ila nyie mnazingua hakuna chchote mnachopost zaid ya ujinga humu
Mnazingua
Wewe kenge tulia hivo hivo ,We Arsenyeto kweli!! Yan mimi nijifanyie comparison na nyie?Hivi huoni hata aibu kusema ivyo mbele ya wanaume?
Mirembe inakuhitaji wewe. Si bure asee
Wewe kenge ,tupo Arsenal kitambo, hata kabla Chelsea haijaanzishwa mwaka 2005Acheni ulimbukenge nyie. Mmeanza kushabikia Arsenane juzi kwa hiyo haya ndio makombe pekee mliyoyashuhudia mnaweza jivunia mbele yetu katika ushabiki wenu.Ficha aibu hii mbele ya football intellectuals. Unaweza jikuta unarambwa makofi yasiyo na rangi kwa utumbo kama huu. Siyo kila kitu cha ku copy & paste tumia ubongo wako kufikiri wewe.
Unabishana na takwimu?Acheni ulimbukenge nyie. Mmeanza kushabikia Arsenane juzi kwa hiyo haya ndio makombe pekee mliyoyashuhudia mnaweza jivunia mbele yetu katika ushabiki wenu.Ficha aibu hii mbele ya football intellectuals. Unaweza jikuta unarambwa makofi yasiyo na rangi kwa utumbo kama huu. Siyo kila kitu cha ku copy & paste tumia ubongo wako kufikiri wewe.
Mnavyokujaga kule kwetu kuleta vurugu ,mnaonaga raha sana?Mashabiki wa arsenal mnazingua sidhani hata kweny jukwaa lenu huwa mnafinyiwa hivyo
Mara nyingi watu huwa wanakuja kwenye jukwaa lenu kama mmefungwa ila nyie mnazingua hakuna chchote mnachopost zaid ya ujinga humu
Mnazingua












Dah hadi kina mama wapo juu yaoWewe kenge tulia hivo hivo ,
Hata Timu ya wanawake ya Arsenal inawazidi, unapayuka nini hapaView attachment 1555933
Sawa amba ruti njoo nikupakateAcheni ulimbukenge nyie. Mmeanza kushabikia Arsenane juzi kwa hiyo haya ndio makombe pekee mliyoyashuhudia mnaweza jivunia mbele yetu katika ushabiki wenu.Ficha aibu hii mbele ya football intellectuals. Unaweza jikuta unarambwa makofi yasiyo na rangi kwa utumbo kama huu. Siyo kila kitu cha ku copy & paste tumia ubongo wako kufikiri wewe.


