Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard uwezo wake wa ukocha ni mdogo sana, tactics zake duni sana, arteta amemzidi Lampard kwa kila kitu. Arteta ni mzuri kiukocha kabla hata hajasajiliwa wachezaji wazuri. Chelsea imemaliza top 4 kwa ubovu wa timu pinzani. Kuna kipindi Chelsea inafungwa Mechi 5 still ipo top 4. Kwa wachezaji waliosajiliwa, Chelsea inahitaji kocha mkubwa mwenye uwezo mkubwa, Lamaprd level yake ni derby country fc
Kwa ubovu huo wa timu pinzani kwa nini Arsenal imemaliza nafasi ya 8? Kwanini Everton na Wolves walishindwa kuingia top four?

Chelsea ndio aliizuia Wolves na Man U kuchukua EL?

Njoo na hoja nzito tuongee siyo huu utumbo
 
Hapa watu kama sisi wapenzi wa mpira ndio tutakuelewa tu, lakn wale mashabiki maandazi hawato kuelewa ata kidogo.

Kila siku nitaendelea kusema na sito choka kusema kwamba LAMPARD hafai na hastahili kuifundisha klabu kubwa kama Chelsea. Mbinu zake bado hazijaimprove, inabidi apate timu ndogo huko apate uzoefu na akomae ki mbinu kisha ndio akabiziwe timu kubwa. Kwa sasa Lampard bado sana.

Isingekuwa Leeds United kupanda daraja basi Marcelo Bielsa alikuwa anatufaa sana si huyu Lampard.
Wewe unaongozwa na chuki soma hoja zake na wewe uchambue usifuate mkumbo tu.
 
Katika hawa makocha watatu Ole, Lampard na Arteta. Arteta amewaacha mbali sana ole na Lamp kitactics, game plan. Arteta anashinda mechi kimbinu ubora wa wachezaji unakuja baadae. Lampard anategemea ubora wa wachezaji, uwezo binafsi wa mchezaji. Uchezaji wa 1half hauna tofauti na 2nd half. Uchezaji wa kabla ya kufungwa hauna tofauti na uchezaji baada ya kufungwa. Timu haina morale, poor organization, poor game plan, poor tactics, poor coach.
Huyo Arteta tutamjudge baada ya msimu huu hayo makombe aliyochukua yatatupa majibu msimu huu unapoisha.

Lamps ndani ya msimu huu hajafanya sajili na ndio msimu wake wa kwanza PL amemaliza top four huyo Arteta na Sosha wapo PL misimu mingapi sijui sa ivi lakini anayeongoza kupigwa vijembe ni Lamps. Kwanini?

Hofu imetanda hawajui watamzuia vipi msimu ujao.
 
Kai Havertz hakuudhuria fitness test na Leverkusen na kocha wake Peter Bosz amekiri kuwa hategemei tena kumuona Kai mazoezini na Leverkusen

"Leon Bailey also wasn’t there. Unfortunately our squad isn’t set yet.

"I don’t expect Volland and Havertz to train with us again.

"It’s possible more players will transfer and we definitely still have to add some players."

Said Bosz
View attachment 1554219
Tumvute Harvert mara moja. Anarekodi nzuri ya kutupia
 
Hawa ndio vichwa ngumu wanaoongelewa.

Linapokuja suala la kocha kutokuwa mzuri, hatuangalii kama bodi ya timu imempenda au la.

Leo zipigwe kura kwa mashabiki wa Chelsea duniani kote kuamua kama Lampard anafaa kuimanage timu kama Chelsea mpaka muda huu, tegemea 70% ya majibu kuwa HAPANA!

Ni kiasi cha muda tu, mtaanza kuzozana wenyewe kwa wenyewe humu.
Mkuu usimuite mwenzako kichwa ngumu ikiwa wewe mwenyewe unatoa uharo tu. Yaan wingi wa kura ndio unaamua kocha ni mzuri au mbaya utakua uko sawa kiakili wewe?

Kocha anaangaliwa perfomance yake ni kwa vipi anaongoza timu, mbinu zake mwisho wa siku matokeo aliyopata baada ya muda fulani. Sasa wewe unafata za wengi wape si utapotea kaka mkubwa.!!!
 
Huyo Arteta tutamjudge baada ya msimu huu hayo makombe aliyochukua yatatupa majibu msimu huu unapoisha.

Lamps ndani ya msimu huu hajafanya sajili na ndio msimu wake wa kwanza PL amemaliza top four huyo Arteta na Sosha wapo PL misimu mingapi sijui sa ivi lakini anayeongoza kupigwa vijembe ni Lamps. Kwanini?

Hofu imetanda hawajui watamzuia vipi msimu ujao.
Lampard ndio kwanza anaingia kwenye msim wake wa 3 tangu awe kocha na washaaanza kupata wasiwasi kazi kumuombea mabaya maana tangu anakuwa kocha wetu walisema hivi hivi sasa msim huu amekuwa kafanya usajili wanaanza kumuombea afukuzwe
 
Hawa ndio vichwa ngumu wanaoongelewa.

Linapokuja suala la kocha kutokuwa mzuri, hatuangalii kama bodi ya timu imempenda au la.

Leo zipigwe kura kwa mashabiki wa Chelsea duniani kote kuamua kama Lampard anafaa kuimanage timu kama Chelsea mpaka muda huu, tegemea 70% ya majibu kuwa HAPANA!

Ni kiasi cha muda tu, mtaanza kuzozana wenyewe kwa wenyewe humu.
Kaanzishe hiyo poll halaf uangalie
Kasome tu hata hao wachezaji waliosajiliwa utaskia wanakwambja power aliyonao lamps kwenye transfer

Hiyo 70% itakuwa ni kinyume na ulichotabiri trust me
 
Kweli kabisa LAMPARD alipewa timu katika mazingira magumu kama:-

1. Hazard aliondoka
2. kuondoka Babu Sari (Kocha mpya kwa wachezaji)
3. Ban ya kutofanya usajili.
4. Uchanga wa Lampard Epl kama kocha

Tuseme ukweli Mungu anatuona, sidhani kama kuna shabiki yoyote wa Chelsea duniani alitegemea timu ingemaliza TOP 4, NEVER.

Mbio za kumaliza Top 4 zilikuja baada ya kuona tupo tupo top 4 muda mrefu, tukapata matumaini tunaweza maliza nafasi za juu.

Jamani Mnyonge mnyongeni haki yake tumpe. Kumaliza TOP 4 ni mafanikio makubwa sana kwetu kwa changamoto tulizopitia msimu huu.

Tumesajili wachezaji wapya msimu ujao ndio tutaanza kuupima ubora wa Lampard. Na hata hivyo tusitarajie sana ubingwa mi naona target iwe kumaliza ndani ya Top 2, Msimu ujao 21/22 tupambanie ubingwa.
Kweli anahitaji muda
 
Kwakweli mkuu yan mtu anaangalia mechi moja tena ya kirafiki anaanza judgements
 
Nimeona kauli ya mtu mmoja humu kwamba "uyo Arteta sijui ana misimu mingapi EPL"
✓ana nusu msimu na vikombe kadhaa vya kuvimbia mtaani
✓hakuwa na timu tangu mwanzo wa msimu na hajafanya sajili yeye

JamiiForums1136287452.jpg
 
Kweli kabisa LAMPARD alipewa timu katika mazingira magumu kama:-

1. Hazard aliondoka
2. kuondoka Babu Sari (Kocha mpya kwa wachezaji)
3. Ban ya kutofanya usajili.
4. Uchanga wa Lampard Epl kama kocha

Tuseme ukweli Mungu anatuona, sidhani kama kuna shabiki yoyote wa Chelsea duniani alitegemea timu ingemaliza TOP 4, NEVER.

Mbio za kumaliza Top 4 zilikuja baada ya kuona tupo tupo top 4 muda mrefu, tukapata matumaini tunaweza maliza nafasi za juu.

Jamani Mnyonge mnyongeni haki yake tumpe. Kumaliza TOP 4 ni mafanikio makubwa sana kwetu kwa changamoto tulizopitia msimu huu.

Tumesajili wachezaji wapya msimu ujao ndio tutaanza kuupima ubora wa Lampard. Na hata hivyo tusitarajie sana ubingwa mi naona target iwe kumaliza ndani ya Top 2, Msimu ujao 21/22 tupambanie ubingwa.
Yeah
Me msim huu sitegemei ubingwa kuanzia 2021-22 hapo ndio nategemea tutakuwa tayari kupigania ubingwa

Inabidi tumpate declan rice huku tukiendelea kupunguza hawa wakina barkley

Tuwe na team hata siku pulisic,ziyech werner wakiwa hapo hakuna tofauti kubwa
 
Kweli kabisa LAMPARD alipewa timu katika mazingira magumu kama:-

1. Hazard aliondoka
2. kuondoka Babu Sari (Kocha mpya kwa wachezaji)
3. Ban ya kutofanya usajili.
4. Uchanga wa Lampard Epl kama kocha

Tuseme ukweli Mungu anatuona, sidhani kama kuna shabiki yoyote wa Chelsea duniani alitegemea timu ingemaliza TOP 4, NEVER.

Mbio za kumaliza Top 4 zilikuja baada ya kuona tupo tupo top 4 muda mrefu, tukapata matumaini tunaweza maliza nafasi za juu.

Jamani Mnyonge mnyongeni haki yake tumpe. Kumaliza TOP 4 ni mafanikio makubwa sana kwetu kwa changamoto tulizopitia msimu huu.

Tumesajili wachezaji wapya msimu ujao ndio tutaanza kuupima ubora wa Lampard. Na hata hivyo tusitarajie sana ubingwa mi naona target iwe kumaliza ndani ya Top 2, Msimu ujao 21/22 tupambanie ubingwa.
Ila Mwamba you are so unfair, kwamba unauma na kupuliza
 
Umeongea point mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom