Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cash Money Forever huyo kipa Ni best than onana by far huyo scout wa Chelsea aliyemuona huyu kipa anywe Pepsi big nakuja kulipa huyo kipa ana vitu vingi ambavyo makipa wetu hawana pamoja na huyo onana Kama ifuatavyo

1.Vocal keeper

Ana uleadership ndani yake ana kemea defenders wake wakifanya makosa, anajua kupanga safu yake ya mabeki vizuri.Hii imemfanya kuwa best kwenye set pieces ikiwemo kusave mipira ya hatari ya set pieces, Kingine zaidi anajua kujiposition zaidi kitu ambacho Ni weakness ya Kepa.

2.Anajua kuokoa long shot

Ubora mwingine wa Edouard Mendy ana uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya mbali moja ya Kati ya shot nililoona kwa macho yangu ni wakati naangalia highlight za mechi za league one, nikaona moja ya mechi ilikuwa Kati ya Psg na Rennes huyo kipa alisave shuti Kali la maquinho la nyuzi 90.Na sio tu hiyo game nyingi amekuwa alisave mipira ya namna hiyo.

3.Ni mzuri V one

Ubora mwingine ana uwezo wa kucheza mipira ya ana kwa ana Kama kipa wa Bayern.

4.Ni calmess

Ni kipa mwenye kujiamini alafu sio mbutuaji mipira,Ni mzuri Sana kwenye miguu anaweza kutoa pass nzuri bila pressure kwenye maeneo ya hatari kutokana na ubora wa footage yake nzuri kiufupi Ni kipa mwenye utulivu akiwa na mpira.

NB: Kama Chelsea watamsajili Edouard Mendy kwa upande wangu utakuwa best signing kuliko zote huyu kipa Ni underrated Kama alivyo Ochoa sijui Ni kwasababu Ni mweusi au la? Huyu kipa ukimsajili hautamuhitaji kabisa oblak huyo onana Hana tofauti sana na kepa ila kwa huyu kipa kawapita vitu vingi Sana Kepa na onana.

Ollachuga Oc
lembu
mart66
idawa
Papaa Gx
Kwangu mimi ninampa rating kubwa Onana, amemzidi Mendy maeneo mengi ikiwemo umri, 24 by 28 ni umbali mkubwa
Mendy akisajiliwa atakuja kumpa chalenge Kepa ila Onana akisajiliwa anakuja kuwa No. 1 Keeper
Kwa mfano kwa rating za FIFA 20, Onana anakaribia 90% kwenye rating za goal keeping, Mendy yeye na umri ule mkubwa ndio anakaribia 80%
Kwenye mtandao wa Goal.com wameweka ranking za magolkipa bora kwenye top league kama ifuatavyo
1598832814278.png

Kama wangeendelea hapo Onana angekuwa wa 11 kwa sababu ana marks 85% na prospect ya 89% wakati mendy ana 78% na prospect ya 81%
1598833889717.png
 
Mr. Lampard use your coaching skill to bring the best for Chelsea, I think you have seen the seriousness of Mikel Arteta,He has got two trophies though are domestic better to have than nothing ...Use well your brain to digest and have gaming skills when things are not going well...Change tactics when you see will bring good results,,Tell you prayers to be serious when praying, remind them what it mean wearing a Chelsea Blue Jersey, encourage them,motivate them.. Fighting Spirit is need and working together as a team in defending and attacking is need like Bayern. Up Blues, blue is the colour 💙💙💙
 
Lampard wont survive Xmas n he will be sacked
Chelsea isnt improving in any way
The same old tactics
The same sideways passes
The same back passes
No sharpness
#Chelsea cant penetrate through the middle.
Sideways one way style.
No counter attacking play
Indeed Lampard will he sacked after December.
 
Kwangu mimi ninampa rating kubwa Onana, amemzidi Mendy maeneo mengi ikiwemo umri, 24 by 28 ni umbali mkubwa
Mendy akisajiliwa atakuja kumpa chalenge Kepa ila Onana akisajiliwa anakuja kuwa No. 1 Keeper
Kwa mfano kwa rating za FIFA 20, Onana anakaribia 90% kwenye rating za goal keeping, Mendy yeye na umri ule mkubwa ndio anakaribia 80%
Kwenye mtandao wa Goal.com wameweka ranking za magolkipa bora kwenye top league kama ifuatavyo
View attachment 1553729
Kama wangeendelea hapo Onana angekuwa wa 11 kwa sababu ana marks 85% na prospect ya 89% wakati mendy ana 78% na prospect ya 81%
View attachment 1553731
lembu Hayo Ni maoni ya mtu usipende Sana kuangalia hapa naangalia ubora wa mtu individual hiv unaamini kwenye Hiyo list yako de Gea wa sasa Ni Bora kuliko Manuel neuer? au enderson Ni Bora kuliko Manuel neuer? Narudia Tena Mendy Ni Bora Mara mbili ya huyo onana unaye muoverrate.Inawezekana umjui Mendy kutokana na Matatizo ya set pieces na kufungwa mipira ya mbali huyo kipa atakuwa Ni solution kwetu ebu jaribu kaangalie hata highlight za YouTube za Mendy alafu fananisha na huyo onana
Cash Money Forever
 
Kwa sababu hatuko kila siku na mchezaji tumuone anavyocheza, rating ya source yeyote iko biased hata hizi za Youtube kwa sababu inaweza kuwa aliyepost kapick ile scene au scenes ambazo yeye kafanya vizuri na ule upande aliofanya vibaya kamwe hutaona kwenye youtube. Na ndio maana rating ya Youtube au kumuona kwenyue mechi moja au mbili sio njia nzuri ya kusema mchezaji ni bora.
Na ndio maana kuna uzi mmoja kwenye Twitter mashabiki wengi walisema KEPA ni bora kuliko hao wote ni bora apewe nafasi tena ili akina Cech wamfundishe kwa sababu aliahidi

Tuachane na hao wote tumpe Kepa nafasi, tumpe mabeki wazuri, tumpe muda Cech amfundishe mbinu zaidi za kudaka, atakua golie mzuri
 
Lampard wont survive Xmas n he will be sacked
Chelsea isnt improving in any way
The same old tactics
The same sideways passes
The same back passes
No sharpness
#Chelsea cant penetrate through the middle.
Sideways one way style.
No counter attacking play
Indeed Lampard will he sacked after December.
Haya maneno yaliongelewa sinc anaappointiwa
 
Katika hawa makocha watatu Ole, Lampard na Arteta. Arteta amewaacha mbali sana ole na Lamp kitactics, game plan. Arteta anashinda mechi kimbinu ubora wa wachezaji unakuja baadae. Lampard anategemea ubora wa wachezaji, uwezo binafsi wa mchezaji. Uchezaji wa 1half hauna tofauti na 2nd half. Uchezaji wa kabla ya kufungwa hauna tofauti na uchezaji baada ya kufungwa. Timu haina morale, poor organization, poor game plan, poor tactics, poor coach.
Acheni dharaukati yako wewe na bodi ya club ya Chelseafc ni yupi anayemfahamu lampard kiundani zaidi hadi kufikia hatua ya kumpa Lampard timu hawakukurupuka siyo jambo rahisi kama unavyofikiri wewe,Kwanza Lampard ameridhi mikoba timu ikiwa ktk wakati mugumu sana ndomaana wachambuzi wengi waliitabilia Chelsea kumaliza ktk nafasi mbaya sana wengine mlifikia hatua yakusema inaweza kushuka daraja,lakini hadi mwisho wa msimu kila mtu ameona Lampard alicho kifanya,Leo hii mnarudi tenahapa na utabiri wenu uleule mlioshindwa hapo mwanzo.
 
Hawa ndio vichwa ngumu wanaoongelewa.

Linapokuja suala la kocha kutokuwa mzuri, hatuangalii kama bodi ya timu imempenda au la.

Leo zipigwe kura kwa mashabiki wa Chelsea duniani kote kuamua kama Lampard anafaa kuimanage timu kama Chelsea mpaka muda huu, tegemea 70% ya majibu kuwa HAPANA!

Ni kiasi cha muda tu, mtaanza kuzozana wenyewe kwa wenyewe humu.
 
Acheni dharaukati yako wewe na bodi ya club ya Chelseafc ni yupi anayemfahamu lampard kiundani zaidi hadi kufikia hatua ya kumpa Lampard timu hawakukurupuka siyo jambo rahisi kama unavyofikiri wewe,Kwanza Lampard ameridhi mikoba timu ikiwa ktk wakati mugumu sana ndomaana wachambuzi wengi waliitabilia Chelsea kumaliza ktk nafasi mbaya sana wengine mlifikia hatua yakusema inaweza kushuka daraja,lakini hadi mwisho wa msimu kila mtu ameona Lampard alicho kifanya,Leo hii mnarudi tenahapa na utabiri wenu uleule mlioshindwa hapo mwanzo.
Sure, wachezaji waliosajiliwa msimu huu ziyech, Werner, Chilwell, kai, thiago ndio kaburi la lamaprd.
 
Lampard uwezo wake wa ukocha ni mdogo sana, tactics zake duni sana, arteta amemzidi Lampard kwa kila kitu. Arteta ni mzuri kiukocha kabla hata hajasajiliwa wachezaji wazuri. Chelsea imemaliza top 4 kwa ubovu wa timu pinzani. Kuna kipindi Chelsea inafungwa Mechi 5 still ipo top 4. Kwa wachezaji waliosajiliwa, Chelsea inahitaji kocha mkubwa mwenye uwezo mkubwa, Lamaprd level yake ni derby country fc
Sawa bosi kwa nini tusikujaribu wewe
 
Cech, hakuna mtu anayesalimu amri kwa Kepa
'Nobody is giving up on Kepa' - Chelsea legend Cech says club will persevere with struggling Arrizabalaga
Cech - who played 11 years at Chelsea, winning four Premier League titles and a Champions League - understands Kepa failed to perform last campaign but insists the club retains faith he will a top class goalkeeper in the future.
 
Kai Havertz hakuudhuria fitness test na Leverkusen na kocha wake Peter Bosz amekiri kuwa hategemei tena kumuona Kai mazoezini na Leverkusen

"Leon Bailey also wasn’t there. Unfortunately our squad isn’t set yet.

"I don’t expect Volland and Havertz to train with us again.

"It’s possible more players will transfer and we definitely still have to add some players."

Said Bosz
1598876301759.png
 
View attachment 1554219
New Nicolas Pepe is coming
 
Kwa sababu hatuko kila siku na mchezaji tumuone anavyocheza, rating ya source yeyote iko biased hata hizi za Youtube kwa sababu inaweza kuwa aliyepost kapick ile scene au scenes ambazo yeye kafanya vizuri na ule upande aliofanya vibaya kamwe hutaona kwenye youtube. Na ndio maana rating ya Youtube au kumuona kwenyue mechi moja au mbili sio njia nzuri ya kusema mchezaji ni bora.
Na ndio maana kuna uzi mmoja kwenye Twitter mashabiki wengi walisema KEPA ni bora kuliko hao wote ni bora apewe nafasi tena ili akina Cech wamfundishe kwa sababu aliahidi

Tuachane na hao wote tumpe Kepa nafasi, tumpe mabeki wazuri, tumpe muda Cech amfundishe mbinu zaidi za kudaka, atakua golie mzuri
Wazee wakuibiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom