Cash Money Forever huyo kipa Ni best than onana by far huyo scout wa Chelsea aliyemuona huyu kipa anywe Pepsi big nakuja kulipa huyo kipa ana vitu vingi ambavyo makipa wetu hawana pamoja na huyo onana Kama ifuatavyo
1.Vocal keeper
Ana uleadership ndani yake ana kemea defenders wake wakifanya makosa, anajua kupanga safu yake ya mabeki vizuri.Hii imemfanya kuwa best kwenye set pieces ikiwemo kusave mipira ya hatari ya set pieces, Kingine zaidi anajua kujiposition zaidi kitu ambacho Ni weakness ya Kepa.
2.Anajua kuokoa long shot
Ubora mwingine wa Edouard Mendy ana uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya mbali moja ya Kati ya shot nililoona kwa macho yangu ni wakati naangalia highlight za mechi za league one, nikaona moja ya mechi ilikuwa Kati ya Psg na Rennes huyo kipa alisave shuti Kali la maquinho la nyuzi 90.Na sio tu hiyo game nyingi amekuwa alisave mipira ya namna hiyo.
3.Ni mzuri V one
Ubora mwingine ana uwezo wa kucheza mipira ya ana kwa ana Kama kipa wa Bayern.
4.Ni calmess
Ni kipa mwenye kujiamini alafu sio mbutuaji mipira,Ni mzuri Sana kwenye miguu anaweza kutoa pass nzuri bila pressure kwenye maeneo ya hatari kutokana na ubora wa footage yake nzuri kiufupi Ni kipa mwenye utulivu akiwa na mpira.
NB: Kama Chelsea watamsajili Edouard Mendy kwa upande wangu utakuwa best signing kuliko zote huyu kipa Ni underrated Kama alivyo Ochoa sijui Ni kwasababu Ni mweusi au la? Huyu kipa ukimsajili hautamuhitaji kabisa oblak huyo onana Hana tofauti sana na kepa ila kwa huyu kipa kawapita vitu vingi Sana Kepa na onana.
Ollachuga Oc
lembu
mart66
idawa
Papaa Gx