Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1598613515362.png
 
Msijidanganye nyiee.. Mnasajili viazi tu, sajili zenu zote ni mbovu!

Nasubiri mpigwe na hizo £90m kwa huyo Hawazi.
 
PULISIC - WERNER - ZIYECH

KOVACIC - KANTE - HARVETZ

CHILWELL - RUDGER - THAIGO- AZIPU

SUB:- Odoi, Giroud, Joginho, Zouma, Alonso, Mount, James.

JUKWAANI:- Tammy, Barkely, Christensen, Ermason, Barkely, Cheek, Batshuayi
Acha kujidanganya wewee! Kwa kikosi hiki hupati chochote msimu huu
 
CHANGAMOTO KWA LAMPARD

- Kwa sajili tulizofanya mpaka sasa za wachezaji bora kila idara LB, CB, CF, RW, ATM naamini msimu ujao timu yetu ina kila sababu ya:-

1. Kucheza mpira mzuri
2. Kutoa changamoto kwenye kuwania makombe

- Changamoto itabaki kwa kocha kuorganize wachezaji kila idara, kuja na mfumo + mbinu za kiufundi zaidi, iwe rahisi kwa timu kufunga na ngumu kufungwa.

- Zile kauli za msimu ulioisha zisiwepo tena kama tulichezea mpira sana, tumetengeneza nafasi nyingi sana lakini tumeshindwa kufunga.

- Naamini Lampard atakuja kivingine kimbinu

KILALAHERI LAMPARD.
kwa upande wangu nhisi mechi za mwanzo timu itakua Hain chemistry nzur has ukizingatia maaingizo mapya ni mengi hii ni changamoto
 
  • Thiago Silva - 510 apps, 32 goals
  • Maguire + Lindelöf - 715 apps, 31 goals
  • Ben Chilwell - 146 apps, 6 goals
  • Luke Shaw + Bissaka - 307 apps, 2 goals..
  • Timo Werner - 324 apps, 167 goals
  • Martial + Rashford - 512 apps, 158 goals
Tuendelee kuleta data au tuache?
Utawau wakaushie tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom