castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,813
- 3,259
uyu jamaa adi mkono ni leftMalang Sarr First Words after Signing to Chelsea
"Blue is the colour! Happy and grateful to sign for Chelsea FC.
"Thanks for the love and support! Let's get to work and achieve big things together."
View attachment 1550176
Mwaka was ngapi huu hakuna EPL ?naamini mtavunja record yetu ya miaka 50 ,endelea kuwaza ya babu Silva wakati arsenal champions league qualifying imegoma mwaka wa NNE.Messi anakuja City,mpeni hii habari babu Silva maana akishapinduliwa Mara mbili tu lazma aende hospital,
Messi anakuja City,mpeni hii habari babu Silva maana akishapinduliwa Mara mbili tu lazma aende hospital,
Hii Chelsea itakuwa kufuru jamani
View attachment 1549914
Tutaanza msimu na hii lineup
View attachment 1549969
Hahaha dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachezaji wa muhimu hapo ni Mount, Joginho, Pulisic.
Tammy, Ermason, Batshuayi wangebaki quarantine kwa mwaka mzima.
Uyu takataka haoni kundule lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naam Tunawakubali kina saliba na holding na Gabriel maana hao ni world class kabisa watamzuia messi
Haiwezi kutokea hivi, sahau.Hii Chelsea itakuwa kufuru jamani
View attachment 1549914
Watu wa maleft huwaga hatari sana kwenye maeneo yao.uyu jamaa adi mkono ni left
Sioni hili deal likitokea kwa hiyo helaAdourd Mendy kanunuliwa Paundi 3.5 mwaka jana, mwaka huu kwa sababu Chelsea kampenda anauzwa Paundi 45m. Kweli tajiri akiingia sokoni vitu vyote hupanda bei zaidi ya mara 10
Rennes signed Mendy from Reims for just £3.6million in August 2019 and a £45m deal with Chelsea would mean his value has risen by over 10 times in one season.
Sioni hili deal likitokea kwa hiyo hela
Better utoe hiyo umchukue nick pope ambaye ashaprove ni gk mzuri
Naukiangalia target ya lamps ni nick pope na onanaSubiri kwanza, kwani bei ya Nick Pope ni kiasi gani?
Huyo Mendy hana maajabu yoyote yale.
Tumchukue OnanaNaukiangalia target ya lamps ni nick pope na onana
Oblack kwa mwaka huu ni ngumu kumpata