Elements zote za kushambulia kuanzia ball control, dribbling, passing, heading, finishing na shooting kwa ujumla, body physics, yuko vizuri sana. Sio mzuri kwenye ukabaji. Kizuri zaidi kwa Kai ni uwezo wa kupasua defence yeyote kama Hazard na wakikutana na Pulisic na Kovacic defence za hao wapiga domo zitanyanyaswa sana. Hata Abraham atakuwa mfungaji bora akiwemo Ziyech na Havertz. Of course bei yake kubwa sana nadhani kuna kitu Lampard kaon zaidi yetulembu Habari nzuri Sana swali je Kai Ni mzuri Sana wakuteneza nafasi nyingi za goals? Binafsi sijawahi kumuona akicheza so naomba unijibie swali langu
Ukitaka kuwin Champions League ondoka Arsenal. That is a rule.
Timu lina gundu lile kama nn.
Arse8 ni timu ndogo sana nasema tena ni timu ndogo atakombe la eufa ajawahi chukua wanalingia kombe la mbuzi😂😂😂😂😂hakika Landon is blues hawata elewa ni watoto tu haoUkitaka kuwin Champions League ondoka Arsenal. That is a rule.
Timu lina gundu lile kama nn.View attachment 1546734
Habar mbya ya asernal na man uBREAKING NEWS: Chelsea FINALLY agree £90m Kai Havertz deal with Bayer Leverkusen to bring the midfielder to London this week as they prepare final paperwork for their new record signing
View attachment 1546762
- Chelsea have finally agreed a fee with Bayer Leverkusen for Kai Havertz
- The German is on the verge of joining Chelsea in a deal worth £90m
- Havertz is set to fly to London this week to conclude the finer details
- He is expected to put pen to paper on a five-year contract at Stamford Bridge
Hilo suala la kukaba Halina umuhimu kutokana na position anayocheza.Asante Sana kwa maelezo yako mazuri ulionipa kwa namna ulivyoeleza unaona kabisa Ni bonge la mchezaji.I can't wait to see himElements zote za kushambulia kuanzia ball control, dribbling, passing, heading, finishing na shooting kwa ujumla, body physics, yuko vizuri sana. Sio mzuri kwenye ukabaji. Kizuri zaidi kwa Kai ni uwezo wa kupasua defence yeyote kama Hazard na wakikutana na Pulisic na Kovacic defence za hao wapiga domo zitanyanyaswa sana. Hata Abraham atakuwa mfungaji bora akiwemo Ziyech na Havertz. Of course bei yake kubwa sana nadhani kuna kitu Lampard kaon zaidi yetu
Lakini hamjawahi kuchukua UEFA,unabisha[emoji847]Hii Timu ni tawi la Arsenal lililopo pale London,ht mashabiki wengi wa hii timu ni mamluki waliokimbia Gunners.[emoji16]
Coyg[emoji837]
Walete walete haoPicha la kutisha
Lampard effect
Imagine trio hii afu jamaa zetu
Wana pepe ,auba ,na will vikongwe [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1546792
Hiyo sasa haitwi trio, bali QuadruplePicha la kutisha
Lampard effect
Imagine trio hii afu jamaa zetu
Wana pepe ,auba ,na will vikongwe [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1546792
Sasa Kuna arsenane mmoja alisema atarudi zama za invicible na trio yao hyoPicha la kutisha
Lampard effect
Imagine trio hii afu jamaa zetu
Wana pepe ,auba ,na will vikongwe [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1546792
Yale yale ya petr cech badae msije aanza kulaumu
Muda utaongea
Once blues always blues[emoji38][emoji38] Aisee Cech na Emery walikuwa ma agents wa Chelsea wametumwa kutuangamiza. Kipa dakika chache tu kwetu amekuja kufungwa magoli mengi zaidi kuliko career yake nzima. Chelsea wanatangaza kabisa kuwa Cech atarudi kuwa kiongozi Chelsea baada ya Europa Final alafu Emery anamweka golini [emoji38][emoji38]. Huyiu Willian hata akiwa spy angalau ni outfield player hawezi kutufungisha sana tusimshtukie. [emoji38]
@innocent dependent angalia DullyJr amejibu utumbo ukoAkikujibu nitag
Wamesema 72 mbona..BREAKING NEWS: Chelsea FINALLY agree £90m Kai Havertz deal with Bayer Leverkusen to bring the midfielder to London this week as they prepare final paperwork for their new record signing
View attachment 1546762
- Chelsea have finally agreed a fee with Bayer Leverkusen for Kai Havertz
- The German is on the verge of joining Chelsea in a deal worth £90m
- Havertz is set to fly to London this week to conclude the finer details
- He is expected to put pen to paper on a five-year contract at Stamford Bridge
Eti placenta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa Arse8 na manyumbu lazima tuwapasue Placenta
Ile gemu cech Alkuw hana mkosa kabisaa beki ndo walizingua Wanakaba kitoto why wasifungwe[emoji38][emoji38] Aisee Cech na Emery walikuwa ma agents wa Chelsea wametumwa kutuangamiza. Kipa dakika chache tu kwetu amekuja kufungwa magoli mengi zaidi kuliko career yake nzima. Chelsea wanatangaza kabisa kuwa Cech atarudi kuwa kiongozi Chelsea baada ya Europa Final alafu Emery anamweka golini [emoji38][emoji38]. Huyiu Willian hata akiwa spy angalau ni outfield player hawezi kutufungisha sana tusimshtukie. [emoji38]