Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa mara mlikuwa mnamuhitaji, mara amewakatalia kusign mkataba, mara sisi tumeingia kingi
Kabla ya kuziruhusu hizi comment zako zireview kwanza mkuu, unajiaibisha...

Yaani kama mtu uliyekabwa unabaki kurusharusha miguu..

Chelsea lives matter...

London still red
Narudia tulimuhitaji kwa mkataba wa miaka miwili sio mitatu, huyo mzee anastahili kupewa mbili au moja, mbona Giroud tunaendelea naye lakini kwa moja moja tu, Silva akija ni mmoja tu na sio zaidi. Nyie mmeingia mkenge mda mfupi ujao mtatuelewa tu!!!
 
Haahaaaa nakumbuka Watu wengi waliwatabiria top 4 baada ya sajili zao za luiz na kipepe....
Hawahitambui hawa, kama wagonjwa wanahitaji kuishi kwa matumaini, ndio maana wamejazana kwenye majukwaa ya timu kubwa kama Chelsea. Chelsea ingekuwa katimu ka kawaida wasingeonekana hao. Tuendelee kuwapa matumaini tu
 
Msimu huu mutabeba ubingwa mkuu. Msimamo utakuwa hivi

1.Arsenal
2.Liverpool/Man City
3.Man City/Liverpool
4.Man u
5.Wolves
6.
7.
8
9.
10.Chelsea

Haya nyie mutakuwa mabingwa..hongereni sana
Kufuru, hii timu ya waadhirika ndio iwe ya kwanza, "over my dead body"
 
Sasa mara mlikuwa mnamuhitaji, mara amewakatalia kusign mkataba, mara sisi tumeingia kingi
Kabla ya kuziruhusu hizi comment zako zireview kwanza mkuu, unajiaibisha...

Yaani kama mtu uliyekabwa unabaki kurusharusha miguu..

Chelsea lives matter...

London still red
Mkuu hivyo vi imoji vya kucheka vimezidi. Viwili vinatosha kueleza hisia zako unafanya tunaanza kufikiria vingine.
 
Baada ya performance nzuri ya jana aliyoonyesha babu Thiago Silva, mashabiki wa Chelsea wawehuka na kudai asajiliwe haraka sana
1598235669135.png
 

Nicolò Schira

@NicoSchira

Done deal! Ben #Chilwell to #Chelsea from #Leicester. 5-year contract. Then #Blues want to close Kai #Havertz. M.Granovskaia will raise the bid from €80M (add-ons included) to €90M (bonuses included). #Leverkusen ask always €100M to sell him, but Kai are pushing to join #CFC

Nicolò Schira

@NicoSchira
Ben #Chilwell is getting closer to #Chelsea from #Leicester. They will pay €52M. For the left-back ready a contract until 2025. Then #Blues will sell #EmersonPalmieri: #Inter still interested in him. The italo-brazilian would like to return in Serie A. #transfers #CFC #LCFC
 
"This will be the last match for Thiago Silva as a Paris Saint-Germain player. He's ready to leave and he's in talks with Chelsea for a two-year contract."

@FabrizioRomano with the latest on Thiago Silva!




https://t.co/Ka1lEGUqB4

Nasikia Chelsea walitaka kumpa miaka 5 ila jamaa akakataa kasema anataka miwili kwanza ili aangalie upepo....

Viajuza fc
 
Arse8 wamehamishia kabisa makazi yao huku..

Kweli Chelsea ni timu kubwa haikakuki midomoni mwao.

#CFC London is BLUE
Cheltako haija/haito wahi kuwa timu kubwa,
Ni takataka tu kama takataka zingine,
Bora ya QPR

 
Narudia tulimuhitaji kwa mkataba wa miaka miwili sio mitatu, huyo mzee anastahili kupewa mbili au moja, mbona Giroud tunaendelea naye lakini kwa moja moja tu, Silva akija ni mmoja tu na sio zaidi. Nyie mmeingia mkenge mda mfupi ujao mtatuelewa tu!!!


Kwahiyo kikongwe Silva si nasikia mnakibembeleza mkipe 5yrs!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom