Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vipi uchochoro Silva kashatua?
Mind you wababe tumeleta Kitasa kipya afu tunamaliza kwa Partey kisiki cha mpingo.
 
Nyie ci ndo mlijiweka msimu huu kuwa mtashiriki uefa mkatuambia tutashuka daraja
Sasa unadhan bila mamluki Unai Emery ,tungemaliza nafas ya 8?

Umeona sasa hivi tuna DNA ya klabu ,tumebeba kombe kwako
IMG_20200821_231304.jpg
 
Sasa Lampard kumchukua Silva si bora angemfata Terry tu aje kumaliza maana ana uzoefu na ligi,

Sasa babu silva mpaka aje kuzoea ligi atakuwa na miaka 40 ndio yatakuwa yaleyale, huku kina PEPE watamgeuzageuza kama chapati
We jamaa walimu wako walipata shida sana darasani.
 
Vipi uchochoro Silva kashatua?
Mind you wababe tumeleta Kitasa kipya afu tunamaliza kwa Partey kisiki cha mpingo.
sisi tunasajili wazee na bado shughuli hamuiwezi.

Hivi unawafahamu wababe wewe? Acha vituko njoo hapa nikupe experience huna unalojua wewe!
 
Tulikuwa na kocha wa ovyo mamluki

Sasa hivi tuna kocha mwenye DNA ya klabu
Mkuu kwa heahima na taadhima naomba msikimbie jukwaa walau mpaka December. Nakuomba tafadhali uendelee kuwepo hapa hapa wala usije na ID nyingine.

Kwasababu tunawajua nyie na katimu kenu.
 
Mkuu kwa heahima na taadhima naomba msikimbie jukwaa walau mpaka December. Nakuomba tafadhali uendelee kuwepo hapa hapa wala usije na ID nyingine.

Kwasababu tunawajua nyie na katimu kenu.
Amka usingizini wewe, Unai Emery hayupo tena,sasa hivi kocha ni Mikel Arteta mziki mnene, ujipange kuipata hata draw nxt season
 
"This will be the last match for Thiago Silva as a Paris Saint-Germain player. He's ready to leave and he's in talks with Chelsea for a two-year contract."

@FabrizioRomano with the latest on Thiago Silva!

https://t.co/Ka1lEGUqB4
 
Msimu huu mutabeba ubingwa mkuu. Msimamo utakuwa hivi

1.Arsenal
2.Liverpool/Man City
3.Man City/Liverpool
4.Man u
5.Wolves
6.
7.
8
9.
10.Chelsea

Haya nyie mutakuwa mabingwa..hongereni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom