Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona hata tuliowasajili chini yake ni waingereza ..timo Werner, hakim ziyech, tunahusishwa ni thiago Silva huyu naye ni mwingereza bila kumsahau wonder kid tunayemtaka kwa hali na Mali ni muingereza ......kwann mnachuki na waingereza hvyo aisee?
Mzee Silva na Mzee Onyango wana kikao leo baada ya mechi,
Wanataka kujadili namna gani wataziepuka lundo la shikamoo huko mazoezini
 
Yani kwa sasa hivi mashabiki wa Arse8 wanavimba mtaani ukikutananao road kama wewe uko upande wa kushoto na yeye yuko kulia, anaeza kukufata na kukuliza kwanini unatembea kwenye Njia yangu
Pisha njia kenge wewe
1596737096246.jpg
 
Wanacheza namba tofauti, Willian yuko kwenye namba yenye wachezaji wengi, Kule nyuma kuna shida, Labda ungeuliza kwa nini Walimruhusu Luiz aondoke na sasa wanamsajili Thiago. THiago ni World Class defender. Takwimu zake zinapitwa na madifender wachache sana duniani. Ukiondoa umri wake kuna maeneo kama ya Marking, Tackling, Strengths, Heading, passing, Interception (Very very good), jumping, Composure ni mzuri sana na hayo ameneo ndiko Chelsea inakomiss. Akija Chelsea atakayempita kwenye hayo maeneo ni Kante pekee
Kwahiyo PSG hawataki hao world class defender?
Kusanya watoto wako uwadanganye,
Huyu babu anakuja kuchukua kiinua mgongo hapo cheltyakle
 
Sasa Lampard kumchukua Silva si bora angemfata Terry tu aje kumaliza maana ana uzoefu na ligi,

Sasa babu silva mpaka aje kuzoea ligi atakuwa na miaka 40 ndio yatakuwa yaleyale, huku kina PEPE watamgeuzageuza kama chapati
 
Sasa Lampard kumchukua Silva si bora angemfata Terry tu aje kumaliza maana ana uzoefu na ligi,

Sasa babu silva mpaka aje kuzoea ligi atakuwa na miaka 40 ndio yatakuwa yaleyale, huku kina PEPE watamgeuzageuza kama chapati
Huyo huyo aliyefunga goli 5 kwenye ligi au pepe yupi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom