mbona drogba kama kishachoka?naona anatembea tuu uwanjani.
Haya sasa ndo tunakuja kuoneshwa soka...
bado kimoja kipindi cha pili...shenzy kabisa hawa 'chenga twawala'Mko mbele jamani acheni kufyata mikia amkeni.
Bora nusu shari kuliko shari kamili.
mimi nishaanza kusema kocha si amtoe,siku ukimuona drogba anadondoka dondoka ujue lazime azame nyavun...
Ila ni furaha ya muda mfupi tuu!Kashatembea nyavuni lile jamaa unaweza kuliona linazubaazubaa tu lakini lina madhara.
mimi nishaanza kusema kocha si amtoe,