Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alafu anatokea pimbi mmoja anayeishi huku KWAMTIPULA eti anaenda kula pension, mimi nabaki kucheka kwa dhereu
Sasa unachokataa nini? Anaenda kula pension yule. Huwezi kuniambia Arteta atamuweka Kipepe nje amuanzishe Willian atakua anaumwa pepopunda. Willian anajua keshafika mwisho wake so anatafuta kwa kwenda kuhifadhi ungese wake.

Hivi hujiulizi mpaka ameamua kupunguza mshahara wake kwamba ana mapenzi sana na Arsenal? Anajua kwa uwezo wake hakuna watu wenye akili timamu watafikia kukubaliana na matakwa yake.

Anaenda kula pension.
 
Sasa unachokataa nini? Anaenda kula pension yule. Huwezi kuniambia Arteta atamuweka Kipepe nje amuanzishe Willian atakua anaumwa pepopunda. Willian anajua keshafika mwisho wake so anatafuta kwa kwenda kuhifadhi ungese wake.

Hivi hujiulizi mpaka ameamua kupunguza mshahara wake kwamba ana mapenzi sana na Arsenal? Anajua kwa uwezo wake hakuna watu wenye akili timamu watafikia kukubaliana na matakwa yake.

Anaenda kula pension.
What a Kipepe
 
Ulisema ww kama nani?

Tumsikilize Rudiger anayecheza nae ,


Rudiger:

Willian is like Hazard & I'll be sad if he leaves Chelsea


"He is a great guy and a really, really good footballer. He is calm and humble and it will be sad if I don’t see him again as a team-mate. He is not the type of player who talks that much.

"He does his thing on the pitch, just like Eden Hazard. By playing, he shows what he is about. He is a guy who dictates the game and not many players in the world have this type of quality.

"He is always training [hard] and practicing free-kicks after. He is someone who always wants to improve."



View attachment 1530557
Hivi wewe mtu unafanya naye kazi unaweza kuja kumponda kisa anahamia ofisini nyingine hata kama ni ndogo lakini lazima utamuongelea vizuri. The same apply kwa Rudiger kwa sababu anajua hakuna mchezaji aliye juu ya Club kwa hiyo hata yeye akizingua anaondoshwa tu.

Kitu usichokijua kila inapofika wakati wa kuongeza mkataba Willian huwa anajituma sana na ndio chanzo cha record hiyo. Tena hujaiweka vizuri ametengeneza nafasi nyingi kuliko timu nzima ya Arsenal.
 
Bora leo academy wakajifanyie mazoezi huko Alienz Arena

Willy Caballero

Reece James ------------Toni Rudiger ---------Kurt Zouma ----------Emerson Palmieri

Mateo Kovacic ------------N'Golo Kante ------------Ross Barkley

Callum Hudson-Odoi -------------Tammy Abraham ------------------Mason Mount.

Mi nadhani nafasi ya Tammy angecheza Armando Broja aanze kupata experience mapema.
 
Jamaa anamponda WILLIAN as if kama ni garasa

Wakati sisi pale Arsenal msimu huu hakuna aliyetengeneza nafasi za kufunga kumzidi WILLIAN ,ndio maana Arteta ameidhinisha usajiri wake , Maana amekuwa akilalamika hatuna creativity eneo la mwisho ,

Mm kwangu willian najua hatacheza dk zote, ila atatusaidia hata kwenye sub
Mkuu hatumpondi na wala siyo garasa. Amepewa mkataba amekataa si bora umuache aende!!
 
Hebu angalia back four inavyotia huruma.
Screenshot_20200808-204915_1596909003270.jpg
 
Mmmh
Ee6nc5TX0AAaoRp.jpeg
Screenshot_20200808-213156.png
 

Attachments

  • Ee6nc5TX0AAaoRp.jpeg
    Ee6nc5TX0AAaoRp.jpeg
    23.7 KB · Views: 4
Majirani mechi yenu hii 4 sio nyingi zinarudi sasa hivi tupo nyuma yenu................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom