Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bora leo academy wakajifanyie mazoezi huko Alienz Arena

Willy Caballero

Reece James ------------Toni Rudiger ---------Kurt Zouma ----------Emerson Palmieri

Mateo Kovacic ------------N'Golo Kante ------------Ross Barkley

Callum Hudson-Odoi -------------Tammy Abraham ------------------Mason Mount.

 
Leo nategemea kuona Hat Trick kutoka kwa mwamba Lewandowski, pamoja na Brace kutoka kwa Serge Pascal Wawa ooiishhhh ni Serge Gnabry.
Mauaji ya Kimberly kutoka kwa Bavarians.
 
Msijesema hatukuwaambia
1596878513081.jpg
 
Nimefuatilia mjadala wa WILLAN hapa nashindwa kuelewa ubishani unatoka wapi? Kwani ni mara ya kwanza Chelsea kufanya biashara na Arsenal?

Mbona tumekuwa tukifanya biashara nzuri sana ya wachezaji:-

Ashley Cole,
Cech
Luiz (aliyetuua juzi kwa pasi zake ndefu kwa auba)

Mpira ni biashara na wachezaji wanatafuta maisha kufikia ndoto zao. Sioni dhambi willan kwenda Arsenal, Willan ni mchezaji mzuri naamini Arsenal mmefanya maamuzi mazuri kumchukua. Ataisaidia timu.

Arsenal inayo mshambuliaji hatare Auba

Willan + Auba = Many goals

Kilalaheri Willan.
Jamaa anamponda WILLIAN as if kama ni garasa

Wakati sisi pale Arsenal msimu huu hakuna aliyetengeneza nafasi za kufunga kumzidi WILLIAN ,ndio maana Arteta ameidhinisha usajiri wake , Maana amekuwa akilalamika hatuna creativity eneo la mwisho ,

Mm kwangu willian najua hatacheza dk zote, ila atatusaidia hata kwenye sub
 
Hatuna timu ya kupindua matokeo

Kipa - Ovyo
Mabeki - Takataka
Jognho - Mzigo, kiungo haina ubunifu
Washambuliaji - Danganya toto
Huyu mwamba mnasubiria nn?

Bayer Leverkusen sporting director Rudi Voller on Kai Havertz:

"He has a two-year contract. If anyone wants him on our terms, fine - otherwise he stays here another year.

"For an artist like him, there is no Covid discount." [Gazzetta dello Sport]
 
Bora leo academy wakajifanyie mazoezi huko Alienz Arena

Willy Caballero

Reece James ------------Toni Rudiger ---------Kurt Zouma ----------Emerson Palmieri

Mateo Kovacic ------------N'Golo Kante ------------Ross Barkley

Callum Hudson-Odoi -------------Tammy Abraham ------------------Mason Mount.

Kwa mpango huo ni wazi willian yuko njiani kutua emirates
 
Sarri afukuzwa ukocha Juve baada ya kushindwa kwenye 16 bora jana thidi ya Lyon. Angejua angebaki Chelsea.
Pochettino, Zidane, Inzaghi wanaweza kuridhi mikoba yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom