Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila huwa mnafufuka inapokuja MIcky Mouse Cup ya FA
Sasa wewe kuiita FA cup ni micky mouse utakuwa na matatizo kichwani,hivi tukiondoa FA cup hapo Chelwowo si mtabaki na makombe 7 tu trophy cabinet.[emoji3]
 
Game ya arsenal inabid tuwe vizuri kwenye defenc na kiungo
Auba sio wakupewa chnce ukimuachilia tu tutajikuta tunalia ni heri tuingie kama underdog kuliko kuingia na uhakika wa kushinda ya sije kutokea kama ya 2017 wakati wa conte
 

Kwa kweli Timu yangu ya Chelsea kwenye suala la kombe huwa naliamini sana hususani anaposaka kombe la kumalizia msimu. Mara chache sana huwa tunatoka kapa yaani bila kunyanyua kwapa.

Lakini mechi ya kesho itakuwa na challenge kubwa ukizingatia Arsenal hawana chochote kwenye ligi wapo top 10, hawapo Uefa champion wala Uropa champion. So watapigana vikali ili atleast wapate kombe la FA.

Lakini pia Chelsea kwenye Makombe ya Final huwa hanaga uzembe wala harembi akishaliona kombe limesimamishwa pale mbele[emoji23][emoji23][emoji23].

Pia ukizingatia kuwa ndilo kombe pekee anawaza kuingia nalo Stamford bridge so itakuwa mechi ya kibabe sana. Kila la kheri Chelsea in FA Cup
 
Na lugha yenu pendwa ya katika miaka kumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo hiki kitimu kimeanzishwa 2010?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1616]

Mkuu anaposema ndani ya miaka 10 anamanisha club iliyofanikiwa kwa Current success within 10 yrs. kuanzia 2010 up to dates.[emoji23][emoji23]
 
Chelsea hii ya mombasa ht tukicheza 9 ndani Still hamtoki[emoji3]

Mkuu ingekuwa ivo basi ungenifunga home and a way. Lakini unakumbuka ulichokipata. Kuanzia BAkU nikakutungua 4 oklock naamini ulisahau hii, nikakutungua tena Emirate kwako kabisa goli 3 bila kukosea ukaja Stamford Bridge nikakuchakaza within a year[emoji23][emoji23][emoji23]. Au hapo mlikuwa mnacheza 15 uwanjani?
 
Hii mechi huwezi fananisha na ile First round kipindi tunakutana Arteta ana wiki mbili hapo Gunners,najiamini hii mechi nakupasua kivyovyote vile.
 
Hii ndio inaitwa linear thinking!
 
Hata Drogba hawakumpa miaka mitatu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…