juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Kwani odoi kaanza kucheza liniKwa kufanya hivyo anamkosea heshima Pedro kwani huyo odoi yupo Chelsea Huu msimu wa ngapi? Je unaamini kuja kwa Ziyech na kubaki kwa Willian ndio kutamfanya odoi apate time playing? Pedro ameperform vizuri Sana tangu aje Chelsea na kashinda makombe na still yupo vizuri mpaka leo Kuna aja gani kumpiga benchi mpaka game za mwisho?
Ameanza msim uliopita wakati wa sarri tena game za ueropa mpk ikafikia watu wengi wakataka aanze game za league siku anaanza ndio anapata injury iliyomfanya kiwango chake kishuke
Injury iliyomfanya akae almost 6 months
Tangia arudi sio yule odoi wa sarri ambaye bayern walikuwa wanamtaka
Pedro akiendelea kucheza unategemea odoi atapata nafasi jibu ni hapana
Kuja kwa ziyech odoi stil atapata nafasi either kuanza game za carabao, au kuingia kama sub
Ni mda wa kuandaa tim itakayokaa pamoja mda mrefu ndio maana sahiv ukiangalia target zetu zote na wachezaj tunaowasajili hakuna mchezaji wa miaka 28 anayetakiwa wengi ni 27 kushuka chini
Lampard anataka kujenga ufalme wake kupitia player wake ye mwenyewe usishangae baada ya kuanzia msim wa 2021/22 tukawa na 9 player katika first eleven wakawa ni usajili wa dirisha hili la 2020/21 na dirisha la 2021/22