DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Muulize Pep na Klopp watakupa ushuhudaHeeee Yaani muige huo mfumo wetu? Chelsea ni master wa huo mfumo, msidhubutu kabisa kutuiga mtakula hamsa.
Muulize Pep na Klopp watakupa ushuhudaHeeee Yaani muige huo mfumo wetu? Chelsea ni master wa huo mfumo, msidhubutu kabisa kutuiga mtakula hamsa.
Pep na klopp sio ChelseaMuulize Pep na Klopp watakupa ushuhuda
Tunaelewa adui hawezi kuombewa shibe hata siku moja....mtaelewa tu nyie nyumbu na bado wengine wanatua
Ugonjwa unaoumwa mganga wake keshakufa.Mbona hiyo VAR ni kama imei favour chelshit! Ina maana timu zingine hazionewi, chelshit ndiyo inaonewa? Mashabiki wa hili li timu mnaugua, man utd kuchukua nafasi ya 3, wakati tulishawatahadharisha mapema kuwa tunawatoa hapo. Je! Tungechukua ubingwa ingekuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Xhaka, Ceballos?Huwezi kutoka salama hapa mkuu,
Auba Laca Pepe
Tierney Xhaka Ceballos Niles
Holding Luiz Mustafi
Martinez
Katafute maturubai kabisa sina cha kupoteza.




Kuna msemo huwa unasema "Every Ruling Power Have Its Own Way Of Perpetuating Itself" mkuu Lamps anajua kabisa Pedro hatakua sehemu ya kikosi msimu ujao anajua watu atakao kuwa nao ndio hao kina Odoi na the likes!! Kwa vyovyote vile lazima awape game time ya kutosha kuwaandaa physically na mentally. Pia hiyo siyo kwa Chelsea pekee imetokea kwa mchezaji wetu aliye kwa mkopo RB Leipzig ndugu Ethan Ampadu hajapata game time ya kutosha kwa sababu yule kocha wao keshajipambanua anajenga timu ya ku compete na timu itakayo kaa na wachezaji wake kwa muda mrefu. Hawezi mpa nafasi mchezaji wa mkopo ambaye anajua kabisa yupo hapo kwa mwaka mmoja tu.Makocha wana vigezo vyao vya kuchagua wachezaji kulingana na mfumo/mbinu zake.
Natanguliza samahani kwa kusema maneno haya Pulisic sio mchezaji wa Lampard. Lampard imemlazimu au inamlazimu kupanga Pulisic kwa sababu Pulisic ana uwezo binafsi mkubwa sana kiuchezaji nje ya mbinu za Lampard.
Pale mbinu za Lampard zinapoishia ndio uwezo wa Pulisic unaanza kuonekana.
Pedro sio mchezaji wa kukosa namba au sub kabisa kwa Chelsea hii. Lampard ana machaguo yake, Lampard anataka kujenga ufalme wake kupitia wachezaji flani flani.
Safi Sana umeaandika points .njoo nikupakateKuna msemo huwa unasema "Every Ruling Power Have Its Own Way Of Perpetuating Itself" mkuu Lamps anajua kabisa Pedro hatakua sehemu ya kikosi msimu ujao anajua watu atakao kuwa nao ndio hao kina Odoi na the likes!! Kwa vyovyote vile lazima awape game time ya kutosha kuwaandaa physically na mentally. Pia hiyo siyo kwa Chelsea pekee imetokea kwa mchezaji wetu aliye kwa mkopo RB Leipzig ndugu Ethan Ampadu hajapata game time ya kutosha kwa sababu yule kocha wao keshajipambanua anajenga timu ya ku compete na timu itakayo kaa na wachezaji wake kwa muda mrefu. Hawezi mpa nafasi mchezaji wa mkopo ambaye anajua kabisa yupo hapo kwa mwaka mmoja tu.
Sishangai na wala sioni ajabu Pedro kutokucheza kabisa.


Point njoo nikupakateTunaelewa adui hawezi kuombewa shibe hata siku moja....mtaelewa tu nyie nyumbu na bado wengine wanatua

Apa mwenyewe nkupinga pedro wa sikuhiz tayari alikua kachoka Pedro kaanza kuchk mech za mwisho za sarri na mwshon mara nying Alkuw hachezi dkika tisini either sabu or atatok mpemaMakocha wana vigezo vyao vya kuchagua wachezaji kulingana na mfumo/mbinu zake.
Natanguliza samahani kwa kusema maneno haya Pulisic sio mchezaji wa Lampard. Lampard imemlazimu au inamlazimu kupanga Pulisic kwa sababu Pulisic ana uwezo binafsi mkubwa sana kiuchezaji nje ya mbinu za Lampard.
Pale mbinu za Lampard zinapoishia ndio uwezo wa Pulisic unaanza kuonekana.
Pedro sio mchezaji wa kukosa namba au sub kabisa kwa Chelsea hii. Lampard ana machaguo yake, Lampard anataka kujenga ufalme wake kupitia wachezaji flani flani.
Kwa kufanya hivyo anamkosea heshima Pedro kwani huyo odoi yupo Chelsea Huu msimu wa ngapi? Je unaamini kuja kwa Ziyech na kubaki kwa Willian ndio kutamfanya odoi apate time playing? Pedro ameperform vizuri Sana tangu aje Chelsea na kashinda makombe na still yupo vizuri mpaka leo Kuna aja gani kumpiga benchi mpaka game za mwisho?Kuna msemo huwa unasema "Every Ruling Power Have Its Own Way Of Perpetuating Itself" mkuu Lamps anajua kabisa Pedro hatakua sehemu ya kikosi msimu ujao anajua watu atakao kuwa nao ndio hao kina Odoi na the likes!! Kwa vyovyote vile lazima awape game time ya kutosha kuwaandaa physically na mentally. Pia hiyo siyo kwa Chelsea pekee imetokea kwa mchezaji wetu aliye kwa mkopo RB Leipzig ndugu Ethan Ampadu hajapata game time ya kutosha kwa sababu yule kocha wao keshajipambanua anajenga timu ya ku compete na timu itakayo kaa na wachezaji wake kwa muda mrefu. Hawezi mpa nafasi mchezaji wa mkopo ambaye anajua kabisa yupo hapo kwa mwaka mmoja tu.
Sishangai na wala sioni ajabu Pedro kutokucheza kabisa.
mart66 Pedro amechokaje wakati game yake ya mwisho kucheza Ni dhidi ya Everton na aliperform vizuri ikiwemo kufuga goal na kutoa assist tokea hapo ajapangwa kabisa na Lampard, uko kuisha kwake umepimaje?hiv unaamini odoi Ni better than Pedro? Issue ya Pedro the Same to GiroudApa mwenyewe nkupinga pedro wa sikuhiz tayari alikua kachoka Pedro kaanza kuchk mech za mwisho za sarri na mwshon mara nying Alkuw hachezi dkika tisini either sabu or atatok mpema
Kingine una squard ambayo ina develop huwez tumia mchezaji ambae tayari makali hayapo
Ishu ya pulisic yeye mwnyw lampard alisem dogo mwanzo Alkuw hana game fitness lazima apewe program za kumjenga physical yake pia na uchezaji so you can't blame coach for that
Michezo yako kafanyie unyumbuni huko.....Point njoo nikupakate![]()
mart66 Pedro amechokaje wakati game yake ya mwisho kucheza Ni dhidi ya Everton na aliperform vizuri ikiwemo kufuga goal na kutoa assist tokea hapo ajapangwa kabisa na Lampard, uko kuisha kwake umepimaje?hiv unaamini odoi Ni better than Pedro? Issue ya Pedro the Same to Giroud
Cash Money Forever
Ampadu hakunyimwa nafasi mkuu kwa sababu ya mkopo, totally hakufit in kwenye timu kocha anataka kuijenga. Masharti ya mkopo huwa inaendana na kununua kabisa kama mchezaji anafaa, ukiona timu inamkataa mchezaji wa mkopo ni kwa sababu hatafit kama wao wanavyotakaKuna msemo huwa unasema "Every Ruling Power Have Its Own Way Of Perpetuating Itself" mkuu Lamps anajua kabisa Pedro hatakua sehemu ya kikosi msimu ujao anajua watu atakao kuwa nao ndio hao kina Odoi na the likes!! Kwa vyovyote vile lazima awape game time ya kutosha kuwaandaa physically na mentally. Pia hiyo siyo kwa Chelsea pekee imetokea kwa mchezaji wetu aliye kwa mkopo RB Leipzig ndugu Ethan Ampadu hajapata game time ya kutosha kwa sababu yule kocha wao keshajipambanua anajenga timu ya ku compete na timu itakayo kaa na wachezaji wake kwa muda mrefu. Hawezi mpa nafasi mchezaji wa mkopo ambaye anajua kabisa yupo hapo kwa mwaka mmoja tu.
Sishangai na wala sioni ajabu Pedro kutokucheza kabisa.
mart66 Pedro anacheza upande wa kushoto sio upande wa kulia wa Pulisic nikusahihisheChoose umuanzishe captain America or Pedro nan aanze
Pedro ni mzuri ila amekuwa na inconsistency sana na sio wa kuaminika tena. Kuna game nyingi akiwa uwanjani utadhani hayupo, ila siku akiamka vizuri utampenda bure. Lampard kampenda Willian kwa sababu ya consistency toka ligi ianze tofauti na PedroKwa kufanya hivyo anamkosea heshima Pedro kwani huyo odoi yupo Chelsea Huu msimu wa ngapi? Je unaamini kuja kwa Ziyech na kubaki kwa Willian ndio kutamfanya odoi apate time playing? Pedro ameperform vizuri Sana tangu aje Chelsea na kashinda makombe na still yupo vizuri mpaka leo Kuna aja gani kumpiga benchi mpaka game za mwisho?
lembu Kwa hiyo kwako wewe odoi Ni better than Pedro?Pedro ajafika stage kutomweka kabisa hata kwenye sub Kama issue ni consistence Abraham game ngapi kaboronga mbona still akawa first eleven baadae kidogo Tena mwishoni ndio Lampard akamgeukia Giroud hata mount mwenyewe game nyingi tu kachemka na still akawa anamuamini kwa Nini isiwe kwa Pedro?Pedro ni mzuri ila amekuwa na inconsistency sana na sio wa kuaminika tena. Kuna game nyingi akiwa uwanjani utadhani hayupo, ila siku akiamka vizuri utampenda bure. Lampard kampenda Willian kwa sababu ya consistency toka ligi ianze tofauti na Pedro
Akina Ziyech wakija na Havertz hawatakuwa na guarantee ya kucheza, mtindo ni ule ule lazima mchezaji apambanie namba. Kama Odoi atacheza vizuri ya Ziyech Ziyech atakaa bench, that is guaranteed
Una maana gani?Zama za Lampard, anaandika historia yake