Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunafanya biashara nzuri sanaView attachment 1519770
Mkuu Huyu Kai amecost bei gani?

Huezi sema biashara nzuri mpaka uliowasajiri waprove viwango vyao katika ligi walau msimu 1,

Hiyo ni sawa na ulivyouza Cortous na kumnunua Kepa kisha useme ni biashara nzuri,kisha mnakuja kulalamika mmepigwa.

Binafsi mimi ni mshabiki mkubwa wa Hakim, hivyo kushine kwake ni furaha yangu
 
KAMA VAR ISINGEONEA EPL EPL TABLE INGEKUWA HIVI

1595979006933.png
 
KAMA VAR ISINGEONEA EPL EPL TABLE INGEKUWA HIVI

View attachment 1520072
Mbona hiyo VAR ni kama imei favour chelshit! Ina maana timu zingine hazionewi, chelshit ndiyo inaonewa? Mashabiki wa hili li timu mnaugua, man utd kuchukua nafasi ya 3, wakati tulishawatahadharisha mapema kuwa tunawatoa hapo. Je! Tungechukua ubingwa ingekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi ni mfanyabiashara, kila maamuzi au deal nalofanya kwenye biashara zangu lina faida na hasara.

Sasa hapo inategemea faida ina ukubwa gani kuliko hasara au faida na hasara ni 50/50 lakini huwezi kufanya deal la 50/50 ni wastage of time angalau faida iwe 51/49.

Kwenye biashara risk zipo tuu, lakini huwezi kuogopa kufanya biashara kwa sababu ya risk, ila tunazipunguza kwa kuongeza umakini.

Hivyo hivyo kwenye kununua wachezaji, mpaka club inafikia maamuzi ya kununua mchezaji imeona kwamba faida ni kubwa kuliko hasara.

Other factors like ugumu wa ligi, maisha ya sehemu husika, hali ya hewa, etc remained constant. Huwezi kuniambia Kwamba club inafanya maamuzi ya kumnunua mchezaji ili ipate hasara NEVER.

Hakuna club duniani haipati hasara kwenye kununua wachezaji mfano Madrid inanunua wachezaji wengi sana kila msimu wengi wao wanaflop.

Huwezi kuziambia hizi club ziache kununua wachezaji kwa sababu ya kupata hasara kwa mchezaji mmoja au wawili , wanapata faida kubwa sana kuliko hasara.

Na hata mchezaji akiflop huwezi kumuuza bei sifuri, atatolewa mkopo na baadae anaweza kununuliwa permanent au akauzwa kwa nusu bei. Nyie wenyewe ni wanufaika wa ceballos kutoka Madrid.
Hujanielewa, maana yangu ilikuwa hivi, Ni mapema sana kusema kwamba biashara iliyofanyika ni nzuri/yenye faida au mbaya/yenye hasara,
Nikatoa mfano kwa Kepa, lakini pia wapo wengi mf. Bakayoko, Drinkwater, nk mwenyewe ulisema kuwa mashine imesaga kisado lakini hili uliligundua baada ya msimu kuisha, au katikati ya msimu,

Mfano Luca Jovic madrid wanahesabu hasara, maana 50m sio mchezo kuiweka bench
Coutinho, Dembele, Grizman barca wanasemaje now,

Biashara ni kutake risk+muda=matokeo

Hapo umetake risk then ukarukia results direct bila kuwa na subira{muda}


Usajili ni kamari, kama unavyobet vile matarajio yako ni kupiga pesa lakini kuna kipengele cha subira(muda) usikisahau

Tumesajili Nicolas lakini mpaka sasa bado tupo katika kipengele cha muda, hatujapata matokeo kama ni hasara/faida kutokana na mazingira yaliyopo kwasasa.
 
Mbona hiyo VAR ni kama imei favour chelshit! Ina maana timu zingine hazionewi, chelshit ndiyo inaonewa? Mashabiki wa hili li timu mnaugua, man utd kuchukua nafasi ya 3, wakati tulishawatahadharisha mapema kuwa tunawatoa hapo. Je! Tungechukua ubingwa ingekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe siku hizi umeanza tabia za ajabuajabu utadhani shabiki wa Asernal,mbona zamani hukuwa hivi.
 
Mbona hiyo VAR ni kama imei favour chelshit! Ina maana timu zingine hazionewi, chelshit ndiyo inaonewa? Mashabiki wa hili li timu mnaugua, man utd kuchukua nafasi ya 3, wakati tulishawatahadharisha mapema kuwa tunawatoa hapo. Je! Tungechukua ubingwa ingekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Man city +7
Westaham +6
Wolves +5
Chelsea +1
Man U -1

Nani hapo kapendelewa, au kwa sababu ninyi ndio mnapendelewa na penalti za kupewa
 
Jumamosi FA twende na ulinzi shirikishi 3-4-3

.........PULISIC...GIROUD...WILLAN...........


ALONSO....KOVACIC.....KANTE.....JAMES


.......RUDGER.... ZOUMA.....AZIPUCUETA...


.......................CABALLERO....................
Huwezi kutoka salama hapa mkuu,

Auba Laca Pepe



Tierney Xhaka Ceballos Niles



Holding Luiz Mustafi



Martinez






Katafute maturubai kabisa sina cha kupoteza.
 
Kumbuka mchezaji anapokuwa ananunuliwa anakuwa moto kwenye club anayotoka. Hao uliowataja bakayoko, jovic, contonho walikuwa moto sana, ilikuwa ni fursa kubwa kumsajili.

Halafu kwenye biashara kaka usiogope hasara, wewe unachotakiwa ukiangalie ni faida iwe kubwa kuliko hasara.

Wanasema kwamba bakressa group inapata hasara ya Tsh bilioni 3 kwa mwaka katika uendeshaji wake. Je wafunge biashara kwa hasara hiyo ilihali wanapata faida mara 100 zaidi ya hasara?

Bakayoko
Drinking water
Zappacosta

Hizi ni hasara ndogo sana kwenye manunuzi compaired na faida tuliyopata kimakombe na kuuza wachezaji.

Hazard + Morata = 150M
Courtous = 35M
Matic - 25M
Luiz = 8.7M

Tatizo lenu Arsenal wabahili sana nyie endeleeni na utaratibu wenu wa kukuza na kuuza. Mambo ya kufungua pochi nene tuachie matajiri wa London.
Ongeza na Palasic=18M
 
Pia pedro sio mbaya anayo energy ya kutosha amepumzika muda mrefu, yupo sharp, ana njaa ya magoli, halitakuwa chaguo baya
Unaangaliaga mazoezi ya Chelsea? Jamaa anaperform vizuri sijui kwanini Lampard ampangagi? nashangaa kwanini anamuamini odoi kuliko Pedro.Pedro Ni best finisher mzuri lakini pia ana Kasi na energy ya mchezo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom