Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unasherehekea nini sasa?
Namba 4?
Tukisema nyinyi ni timu ndogo muelewage, sheffield, wolvers n. K ndio wakusherehekea namba 4,

Top team inasherehekea ubingwa
Sasa wewe funza unalipi la kusheherekea wakati upo nafasi ya 10, achatusherekee mlitutabilia mabaya nafasi mliokua mnatutabilia kuwa tutamaliza nayo mmemaliza nyinyi, MUNGU fundi anatakiwa aheshimiwe sana.
 
Hakuna maumivu makubwa ya kuondokewa na wachezaji Chelsea yatakayozidi yale ya kuondokewa na Hazard.

Willan ni nadra sana kukupa magoli 10+ na 5+ assists kwa msimu EPL.

Willan hana budi aondoke tuu apishe tujenge kikosi kipya. Hiyo nafasi ya RW wacheze Ziyech na Odoi.

Lazima tukubali changamoto mpya za kujenga kikosi kipya. Tuache kuishi zama za stone age.
Cash Money Forever Unakuaga unaangalia kazi yake uwanjani au unaangalia stats tu? Hiv unajua mpaka Leo Willian ni regular first eleven ya team ya Brazil unajua Ni kwanini?Leo muweke sokoni uone vilabu vingi vikubwa vingependa kuwa nae kumbuka mwaka Jana hata mwaka huu alikuwa anatakiwa na Barca kwa udi na uvuma,man u,inter Milani,Spurs na Arsenal.Hiv unazani uongozi wa Chelsea Ni wajinga kutaka kumuongezea mkataba Willian? Ziyech awezi kupandisha kiwango chake au kuongeza juhudi ikiwa anagombea number na mtu Kama odoi.Odoi alipata chance kubwa Sana baada ya kuondoka Eden Hazard lakini kaichezea wenzake Kama mount na James wametumia nafasi zao vizuri sasa hiv wanapata number Kama kashindwa kuchukua number kwa Pedro na mount ndio achue kwa Ziyech?

Tatizo la odoi hakuofi vitu vingi kama Willian na Ziyech sio finisher mzuri,hawezi kuingia ndani ya box kiufupi Ni natural winger wa kizamani.Willian ukiachana na winger lakini anadominate game akitokea katikati anaweza ku act as winger as the same time Ni no 10, ana work rate kubwa uwanjani nae Ziyech Ni hivyo hivyo kingine anacho add Ziyech Ni shooting ability.
 
Kitakachomgharimu Odoi, kwa mtazamo wabgu mimi, ni attitude yake. Kipaji anacho sana tu kama ataiachilia nafsi yake na kuacha kujilisha upepo na kukubali kuwa anao udhaifu. Atakuwa mchezaji mkubwa sana.
 
Cash Money Forever Unakuaga unaangalia kazi yake uwanjani au unaangalia stats tu? Hiv unajua mpaka Leo Willian ni regular first eleven ya team ya Brazil unajua Ni kwanini?Leo muweke sokoni uone vilabu vingi vikubwa vingependa kuwa nae kumbuka mwaka Jana hata mwaka huu alikuwa anatakiwa na Barca kwa udi na uvuma,man u,inter Milani,Spurs na Arsenal.Hiv unazani uongozi wa Chelsea Ni wajinga kutaka kumuongezea mkataba Willian? Ziyech awezi kupandisha kiwango chake au kuongeza juhudi ikiwa anagombea number na mtu Kama odoi.Odoi alipata chance kubwa Sana baada ya kuondoka Eden Hazard lakini kaichezea wenzake Kama mount na James wametumia nafasi zao vizuri sasa hiv wanapata number Kama kashindwa kuchukua number kwa Pedro na mount ndio achue kwa Ziyech?

Tatizo la odoi hakuofi vitu vingi kama Willian na Ziyech sio finisher mzuri,hawezi kuingia ndani ya box kiufupi Ni natural winger wa kizamani.Willian ukiachana na winger lakini anadominate game akitokea katikati anaweza ku act as winger as the same time Ni no 10, ana work rate kubwa uwanjani nae Ziyech Ni hivyo hivyo kingine anacho add Ziyech Ni shooting ability.
Mkuu Willian siyo regular starter timu ya taifa. Last time alipigwa chini lakini alikuja kuitwa baadae napo ni baada ya Neymar kupata majeraha.
 
Pulisic
Ziyech
Werner

Hawa jamaa ni very talented players. Wasiwasi wetu unabaki kwenye kiungo, mabeki na kipa.

Kwenye kiungo anahitajika kiungo mmoja mbunifu, mastermind. Pale katikati timu inatakiwa iwe na ubora consistent.

Mabeki na kipa ni wimbo wa Chelsea mbovu.
Kushine ligi ya uingeleza cio rahici unawz kuwa na kipaji ukashndwa kushine, mimi ntasubiri Kwanzaa wacheze mechi chache ndo nitoe credit
Werner ni striker anaependa kukimbia sana so itamsumbua sana kuadapt
 
Sasa wewe funza unalipi la kusheherekea wakati upo nafasi ya 10, achatusherekee mlitutabilia mabaya nafasi mliokua mnatutabilia kuwa tutamaliza nayo mmemaliza nyinyi, MUNGU fundi anatakiwa aheshimiwe sana.
Cheltako kama cheltakomabingwa wa top4
 
Hakuna maumivu makubwa ya kuondokewa na wachezaji Chelsea yatakayozidi yale ya kuondokewa na Hazard.

Willan ni nadra sana kukupa magoli 10+ na 5+ assists kwa msimu EPL.

Willan hana budi aondoke tuu apishe tujenge kikosi kipya. Hiyo nafasi ya RW wacheze Ziyech na Odoi.

Lazima tukubali changamoto mpya za kujenga kikosi kipya. Tuache kuishi zama za stone age.
Ziyech anacheza vizri CAM, hii nafasi CAM kwa sasa wanacheza Mount na Barkley na RLC ambao hawatoshi kwa maoni yangu. Kama tukitaka kujenga wide scope team basi tuwe na wachezaji wengi wenye kutumainiwa kama mwingine hayupo kwa sababu ya majeruhi au kuchoka mwingine aweze kucheza mfano Pulisic sio wa kumtegemea sana kwa sababu anaumia mara kwa mara, Odoi pia, Kante pia nk. Kumbuka ukweli ni kwamba timu haitaweza kunuanua wachezaji wote wazuri wanaotakiwa kwa msimu mmoja, Taarifa za ndani ya Chelsea zinadai kuwa Willian bado ni winga mzuri kwa suluhisho la muda mfupi. Odoi bado anapanda mlima na mpaka afikie kiwango cha kumtumainia Willian hatutakuwa nae tena
Sababu kuu ya Willian abaki anaendana na Lampard ambacho ni kitu cha msingi kwenye kujenga timu. We angalia Conte na Diego costa, pamoja na uzuri wa Costa lakini chemistry ilikataa kama ambavyo Willian chemistry ilikataa kwa Conte na Sarri. Kwa uchezaji wa Willian, Timo atafaidika sana. Mimi naamini bado Willian atatufaa sana kwa mkataba wa miaka miwili wakati tunatumia nguvu kujenga namba zingine zinazopwaya kama GK, LB, CB
Inavyoelekea Lampard atakuwa akitumia zaidi Back five ambayo inaonyesha vipawa viko vingi hasa za Alonso na Reece James wakicheza kama Wing-backs

Kwa formation ya 3-4-3

Pulisic/Kai Havertz/Mount - Timo/Giroud/Tammy - Ziyech/Odoi/Willian

Bill Gilmour/Jorginho ----------------------------- - Kovacic/Kante

Alonso/LB mpya -----------------------------------------------------------------------------------James

Zouma/CB mpya ----- Rudiger/Christensen ------- Azpilicueta

GK Mpya/ Cabalerro

Kwa formation ya 4-3-3 (4-1-2-3) CAM wawili na CM mmoja

Pulisic/Mount - Timo/Giroud/Tammy - Odoi/Willian

Kai Havertz/RLC ------------------------------------------------------------------- Ziyech/ Kovacic

Bill Gilmour/Kante/Jorginho/

Alonso/LB mpya ---------- Zouma/CB mpya --------Rudiger/Christensen ------ Azpilicueta /James

GK Mpya/ Cabalerro

Kwa formation ya 4-3-3 (4-2-1-3) CAM mmoja na CM wawili

Pulisic/Kai Havertz - Timo/Giroud/Tammy - Odoi/Willian

Ziyech/Mount

Kante/Jorginho ---------------------------------------------------------- Bill Gilmour/Kovacic

Alonso/LB mpya - Zouma/CB mpya - Rudiger/Christensen - Azpilicueta /James

GK Mpya/ Cabalerro

Akina Ziyech, Kai, Mount, RLC, Willian wanaweza kucheza namba nyingi kwa hiyo hiyo niliyotoa ni sample lineup tu
Kumbuka pia namba muhimu inatakiwa kuwa na wachezaji watatu au kama kuna wa kusiwtch kama nilivyosema, striker kwa mfano ni lazima wawe watatu, mmoja akiumia wa wepo wawili mmoja wa kucheza na mwingine wa sub
 
Chelsea wanaweza kumsajili Emiliano Martinez kama Arsenal wakishindwa kumfanya GK no. 1
 
Nikajua Havertz anacheza nyuma ya striker,
 
Kushine ligi ya uingeleza cio rahici unawz kuwa na kipaji ukashndwa kushine, mimi ntasubiri Kwanzaa wacheze mechi chache ndo nitoe credit
Werner ni striker anaependa kukimbia sana so itamsumbua sana kuadapt
Kukimbia huko huko ndo kumempa kiatu vardy
 
Cash Money Forever Unakuaga unaangalia kazi yake uwanjani au unaangalia stats tu? Hiv unajua mpaka Leo Willian ni regular first eleven ya team ya Brazil unajua Ni kwanini?Leo muweke sokoni uone vilabu vingi vikubwa vingependa kuwa nae kumbuka mwaka Jana hata mwaka huu alikuwa anatakiwa na Barca kwa udi na uvuma,man u,inter Milani,Spurs na Arsenal.Hiv unazani uongozi wa Chelsea Ni wajinga kutaka kumuongezea mkataba Willian? Ziyech awezi kupandisha kiwango chake au kuongeza juhudi ikiwa anagombea number na mtu Kama odoi.Odoi alipata chance kubwa Sana baada ya kuondoka Eden Hazard lakini kaichezea wenzake Kama mount na James wametumia nafasi zao vizuri sasa hiv wanapata number Kama kashindwa kuchukua number kwa Pedro na mount ndio achue kwa Ziyech?

Tatizo la odoi hakuofi vitu vingi kama Willian na Ziyech sio finisher mzuri,hawezi kuingia ndani ya box kiufupi Ni natural winger wa kizamani.Willian ukiachana na winger lakini anadominate game akitokea katikati anaweza ku act as winger as the same time Ni no 10, ana work rate kubwa uwanjani nae Ziyech Ni hivyo hivyo kingine anacho add Ziyech Ni shooting ability.
Odoi naweza kuwa na matatizo mengi ila sababu kuu ya kushuka kiwango chake ni injury aliyopata
Hawa watoto huwa wakipata injury za mda mrefu haya mambo huwa yanaweza tokea

Itamchukua mda mpka arudi kwenye hali yake ya zamani
 
Kukimbia huko huko ndo kumempa kiatu vardy
vardy mzoefu tayr so anjua acheze vip pia ni central forward tofaut na Werner yye anchez vzr kma striker wapmbeni league pia ngeni so it's not easy to adopt for first games
 
Cheltako kama cheltakomabingwa wa top4
Wakati msimu unaanza katika tabiri zenu za top four hamkuiweka Chelsea kwenye nqfasi ya kumaliza hata top 6. Nyie mmefanya usajili sisi hatujafanya usajili pia aliondoka mchezaji muhimu. Mliosajili na mliotabiriwa kumaliza nafasi nzuri ndio kwanza hata EL mmeshindwa kuingia.

Mkuu huoni kama hayo ni mafanikio ambayo sisi tunastahili kupewa pongezi. Najua unajua ila unavunga kwamba ni mambo ya kawaida au labda ushaanza kuzoea kuwa mid table team ndio maana kwako kutofuzu kucheza European Competitions siyo jambo la huzuni.

Kuwa Arsenal fan yataka moyo.
 
Kushine ligi ya uingeleza cio rahici unawz kuwa na kipaji ukashndwa kushine, mimi ntasubiri Kwanzaa wacheze mechi chache ndo nitoe credit
Werner ni striker anaependa kukimbia sana so itamsumbua sana kuadapt
Kuwafunga spurs (team ya england tena yenye kucheza typical England football) nje ndani ni dalili nzuri kwamba ata adapt mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom