Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapo mwisho umesema bora tumsajili hala tumuuze kama hatuna kazi naye. Unafikiri ni timu gani inaweza kumnunua ka sasa? Timu pekee iliyokuwa na uhitaji kwa sasa haamuhitaji.

Willian tayari jua linaelekea kuzama na anataka afanye bet ya mwisho ya maisha yakeya soka. Anataka kuiingiza timu mkenge
Barcelona, Manchester United and David Beckham's Inter Miami have asked to be kept informed of Willian's availability
Source: SkySports
 
Sheria ya Chelsea inasama mchezaji zaidi miaka 30 atapewa mkataba wa mwaka mmoja. Lakini kwa upekee board ikasahau utumbo wake huko nyuma kwa upendeleo na mapenzi makubwa kwa mchezaji ikampa miaka miwili bado amegoma ku sign! Hapo birthday board nahisi itakua imefika mwisho wa mahaba yake kwa Willian. Muache akastaafie Arsenal

Ziyech asipo deliver yupo Odoi anacheza vizuri tu.
Mbona kama kinyonge sana mkuu?
 
Samahani mkuu mm kuna jambo huwa linanichanganya sana. Inakuwa vipi mchezaji anasajiliwa mpaka anajiunga na club pia anashiriki mazoezi kabla ya dirisha la usajili halijafunguliwa mfano mzuri ni kwa Werner na Ziyech. Msaada tafadhali lembu
Siyo mbaya. Bado ni potential anaweza kuwa backup nzuri ya Ziyech.
 
Samahani mkuu mm kuna jambo huwa linanichanganya sana. Inakuwa vipi mchezaji anasajiliwa mpaka anajiunga na club pia anashiriki mazoezi kabla ya dirisha la usajili halijafunguliwa mfano mzuri ni kwa Werner na Ziyech. Msaada tafadhali lembu
Sio ajabu,,hii ni kama pre-season kwao kwa sababu corona imevuruga ratiba .
 
Bado hujanijibu vile inatakiwa, kwahiyo sababu ni Corona.??
Deal can be agreed by the Clubs involved in the transfer and the player anytime. Paperwork will be finalised by the governing body in the stipulated period. That is when the transfer window opens.
 
Umetaja kipindi cha Mourinho pekee. Umesahau madudu yake na Conte mpaka ana post picha halafu kwa Conte anaweka kikatuni? Vip kwa Sarri kum disrespect?

Pengine hujanielewa vizuri. Willian ana msaada mkubwa sana kwenye timu lakini ni mchezaji wa kawaida kwa umri wake hastahili kupata mkataba mrefu hivyo. Yan Willian anang'aa kwenye Chelsea ya kawaida. Umetaja hizo timu nyingine zina Salah, Mahrez/Silva na the expected Sancho! Unadhani Willian akiwekwa nao hao anaweza muweka nani benchi kati ya uliowataja? Lazima tukubali hawa wachezaji muda wao umefika kupisha damu changa sasa tunaingia kwenye mabadiliko na ndio maana wanasajiliwa vijana. Tusipomuamini Odoi sasa ivi tutamuamini lini?
Pamoja na mount kuwa kijana mdogo na ameaminiwa we jiulize kwanini isiwe odoi?Ili Ziyech ajitume Zaid na asilizike inabidi awe competitor wa Willian uwezi ukajituma zaidi ukiwa competitor wako Ni odoi
 
Mkuu Andika Kiswahili nikuelewe si wote tunajua hiyo lugha, ndio maana ata mm nimeuliza kwa Kiswahili.
Deal can be agreed by the Clubs involved in the transfer and the player anytime. Paperwork will be finalised by the governing body in the stipulated period. That is when the transfer window opens.
 
Samahani mkuu mm kuna jambo huwa linanichanganya sana. Inakuwa vipi mchezaji anasajiliwa mpaka anajiunga na club pia anashiriki mazoezi kabla ya dirisha la usajili halijafunguliwa mfano mzuri ni kwa Werner na Ziyech. Msaada tafadhali lembu
Hajasajiliwa,
Ila wameelewana(timu zote mbili na mchezaji)kumsajili dirisha litakapo funguliwa.

Usajili unafanyika kwenye Associations, FA, UEFA na FIFA.
Hapo ndipo mchezaji anatambulika kahama timu, na anaruhusiwa kuichezea hiyo timu aliyohamia.

Kufanya mazoezi, hayo ni maelewano.

Kwamba "kwa kuwa tumeshakubaliana mtatuuzia huyu bwana. Basi tunaomba tuanze kufanya nae mazoezi."

"Kwa kuwa mko tayari kulipa hicho kiasi mchukueni"

Mi naelewa hivi, wajuuvi watanirekebisha au kuongezea
 
Shukrani kwa uelewa wako.

Mikataba ya wachezaji na timu zao za zamani zinaisha tarehe 30 Mwezi wa sita. Kama hajaongeza extension maana yake anakuwa huru na anaruhusiwa kufanya mazoezi na timu yeyote alimradi asishiriki kucheza kwenye mashindano ambayo hakusajiliwa kucheza. Ziyech na Timo mikataba yao iliisha Tarehe 30 June 2020 na timu zao za zamani au wameingia mkataba wa kukatisha mikataba yao kwa ajili ya kuwaruhusu kujiunga na timu zao mpya kwa tarehe hizo
 
Nyie wachimba chumvi mmepigwa pale kwa Werner Yule ni next Morata save my words
 
Willian set for Stamford Bridge stay
Willian has reportedly performed a U-turn on his decision to leave Chelsea on a free transfer this summer and has instead opted to sign a new deal at Stamford Bridge.

The 31-year-old initially demanded a three-year extension and refused Chelsea’s offer of two years added onto his current deal.

However, Sky Sports are now reporting that Chelsea and the player’s representatives appear to have struck a deal which will keep him at the club beyond the end of this season.
 
Hii habari ndio bora kabisa kwangu
 
Unasherehekea nini sasa?
Namba 4?
Tukisema nyinyi ni timu ndogo muelewage, sheffield, wolvers n. K ndio wakusherehekea namba 4,

Top team inasherehekea ubingwa
Matumizi mazuri ya akili ni kutambua ya kwamba mwakani tutaanza kuitambua arsenal kama midtable team ikigombana kutoshuka daraja na ikiwapa changamoto saint ,Brighton ,Sheffield maana ndio level zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom