zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,069
Wewe lazima utakuwa unasoma pre-unit. Hiyo nafasi itakuongezea nini? Bora sisi tunacheza UEFA na bado tutabeba ndoo ndogo ya FA
Huyu Giroud ni mnyama sana,2nd goal. GiroudView attachment 1517697
Sure mkuu, pale mtu legelege hafungiGiroud ni mpambanaji sana.
London Arsenal nafasi ya kumi😆😆😆Punguza unazi, utakuja kuumbuka
#Arsenal London![]()
Sio kama LuizHuyu Giroud ni mnyama sana,
Timu kubwa London haiwezi maliza nafasi ya 10, hizo ni zenu nyie CheltakoLondon Arsenal nafasi ya kumi![]()






Tunatambua uwepo wa wajumbe ndugu Evans na mjumbe ndugu Kasper.. hakika mmefanya kazi yenu..





Wewe hiyo nafasi itakusaidia nini? Kuna mtoto wa London ameililia nafasi hata ya kucheza playoff ya Europa kashindwa amebaki kutukana na kukejeli wakubwa wake!
Obkak bila 120m hampati kituNiseme neno mojana wote tuseme ukweli Lampard ni BONGE la kocha
Halafu timu inapata mafanikio makubwa kama haya
- Mwaka wake wa kwanza EPL,
- kakuta timu mbovu,
- kipa mbovu,
- defence inayoshake,
- hakuna starting 11,
- hakuna striker wa uhakika
Je sasa tukikamilisha huu usajili unaondelea tuwe na
Nani atakatiza hapo mwakani?
- Kipa world class kama Oblak
- CB world class kama akina Koulibally,
- LB world class,
- attacking dossier wazuri kama akina Havertz, Ziyech, Pulisic, Timo halafu
- Kante na Kovacic wakiwa fit kwenye form,
Ona aibu hauna hata aibu 😅😅, kweli mashabiki wa arsenal hampo good upstairs. Upo nafasi ya kumi hauchezi uefa, hauchezi europa. Hauna uefa, hauna europa, wachezaji wako wa nyanya.Timu kubwa London haiwezi maliza nafasi ya 10, hizo ni zenu nyie Cheltako
#Arsenal london![]()
London is RedOna aibu hauna hata aibu, kweli mashabiki wa arsenal hampo good upstairs. Upo nafasi ya kumi hauchezi uefa, hauchezi europa. Hauna uefa, hauna europa, wachezaji wako wa nyanya.
Halafu unajiita London is red...lol.
Shame on you.damn.







Nimetum ia neno "kama", hudhuria darasa la lugha ili uimarishe kiwango ndgObkak bila 120m hampati kitu
Afu we dada acha mihemko, huo ni msimamo wa nyumbani kwenu au? Chama kubwa Gunners aliwezi maliza nafasi za kidem hizo ht tuwe vibaya vipi.Ona aibu hauna hata aibu, kweli mashabiki wa arsenal hampo good upstairs. Upo nafasi ya kumi hauchezi uefa, hauchezi europa. Hauna uefa, hauna europa, wachezaji wako wa nyanya.
Halafu unajiita London is red...lol.
Shame on you.damn.





Kwa hiyo nyie mmebakiwa na somo la historia tu?London is Red
The red flag Arsenal, tutadhihirisha hilo august1.
Msimu mbovu huu kwa miaka 25 still wanyama tupo ndani ya kumi,sasa ukitrack record kwa nyie Cheltako within 25yrs inaweza kuwa aibu hapa
#Coyg![]()
mashabiki wa arsenal wabishi wiily Jr na mwenzie durry nyie nahici ni wahaAfu we dada acha mihemko, huo ni msimamo wa nyumbani kwenu au? Chama kubwa Gunners aliwezi maliza nafasi za kidem hizo ht tuwe vibaya vipi.
The Red flag London![]()
😂😂😂, hivi kweli we jamaa una akili kweli unajisifu kumaliza ndani ya kumi.😀 Maanake wewe mwenyewe unajua haukustahili kuwepo top 10. Halafu unasema London is red, mkuu Nina mashaka na wewe siyo bureLondon is Red
The red flag Arsenal, tutadhihirisha hilo august1.
Msimu mbovu huu kwa miaka 25 still wanyama tupo ndani ya kumi,sasa ukitrack record kwa nyie Cheltako within 25yrs inaweza kuwa aibu hapa
#Coyg![]()