Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kipa Kepa ghali benchini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huyu mzee mkimpanga tar1 baada ya kujiita cheltako mtafute mapema jina lingine wenyewe
 
Rasmi sasa hili jina limepitishwa maana kama nyinyi wenyewe washabiki wa Cheltako mnajiita hivyo sisi tufanyaje sasa..
JamiiForums1267671455.jpg
 
Nafikiri sasa hili jina la CHELTAKO lipitishwe rasmi kutumika maana kumbe wenyewe mnalipenda kama yule mzee wa utopolo alivyoipa jina timu yake,

AHSANTE MKUU lembu na tunaomba moderator wasaidie kufanya marekebisho.
Kachanganyikiwa

Unajua mkuu dullayo ukishikilia bango ni mpk mtu aimbe halleluja
 
Eti chelwowo bila Abramovich isingekuwa EPL [emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji837][emoji837]
Wivu kwa sababu tajiri wenu maskini, kila timu EPL ina tajiri nyuma yake na uache utoto na uvivu wa kuchamb ua mambo
 
Nilijua tu kuwa ile mechi na Liverpool ndio mechi ya mwisho Kepa kucheza na Chelsea, Ligi ikianza Chelsea itakuwa na Kipa mwingine kwa sasa Cabalerro atashikilia kwa muda
 
Kachanganyikiwa

Unajua mkuu dullayo ukishikilia bango ni mpk mtu aimbe halleluja
Unajua "CHELTAKO" in lembu 's voice toka wagongwe[emoji1616] akili zao bado hazijakaa sawa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cheltako kama CHELTAKO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom