Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Frank Lampard finished fourth in his first season as a manager with Chelsea, the highest finish by a debuting English manager since Frank Clark with Nottingham Forest in 1994-95.
 
Afu we dada acha mihemko, huo ni msimamo wa nyumbani kwenu au? Chama kubwa Gunners aliwezi maliza nafasi za kidem hizo ht tuwe vibaya vipi.

The Red flag London
Utaongea Sana Ila mentally hauko vizuri tena sana, hauna hata aibu upo nafasi ya kumi 😆, halafu London is red, 25years hauna uefa no Europa halafu unaongea, halafu unazidiwa na Nottingham forest mwenye uefa😄. Hauna lolote.
 
London is Red
The red flag Arsenal, tutadhihirisha hilo august1.
Msimu mbovu huu kwa miaka 25 still wanyama tupo ndani ya kumi,sasa ukitrack record kwa nyie Cheltako within 25yrs inaweza kuwa aibu hapa

#Coyg
Dishi limeyumba wewe ngoja nikupige nyingi FA. Ndo ujione we choko kabisa na ulistahili kushuka daraja.
 
London is Red
The red flag Arsenal, tutadhihirisha hilo august1.
Msimu mbovu huu kwa miaka 25 still wanyama tupo ndani ya kumi,sasa ukitrack record kwa nyie Cheltako within 25yrs inaweza kuwa aibu hapa

#Coyg

Hapa ndiyo sehemu pekee ya kujifariji. Usiwe na shaka karibu sana. Nafasi ya kumi na kutocheza UEFA isikupe stress karibu ujifanye hata shabiki wa chelsea kwa leo tu
 
Aya nyie CHELTAKO hongereni kwa kuingia top 4 japokuwa basha wenu tumewatetea hata kama mngepigwa
 
Hili goli la pili ingekuwa ile takataka inayojiita Abraham isingeweza kufanya hayo maajabu ya kumzunguka kipa kisha kufunga. Wala isingekuwa na hiyo akili, ingesimama na kukata tamaa.

Hapa umeongea kisoka
 
, hivi kweli we jamaa una akili kweli unajisifu kumaliza ndani ya kumi. Maanake wewe mwenyewe unajua haukustahili kuwepo top 10. Halafu unasema London is red, mkuu Nina mashaka na wewe siyo bure
Dogo simply hujielewi na haunielewi ht nachosema, sio kosa lako najua mpira umeujua 2013 hiyo ndio sifa yenu kubwa hii timu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom