juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Hapo hakuna hasiraWillian alitoa goli la bure lililoiangusha timu sana, Lampard akichukia huwa hasira yake inaonekana kwenye line up inayofuata
Hapo hakuna hasiraWillian alitoa goli la bure lililoiangusha timu sana, Lampard akichukia huwa hasira yake inaonekana kwenye line up inayofuata
Kuwaga na akili basi kwa timu gani
Hapo hakuna hasira
Kapata majeruhi katika mguu wake wa kushoto
Daah kama Lampard vile1st goal. MountView attachment 1517696
Pole sana mkuu.Safi sana nafuatilia mechi livescore naona mambo mazuri. Nilitamani niangalie hii mechi ila nipo mkoani msibani.
My condolencesSafi sana nafuatilia mechi livescore naona mambo mazuri. Nilitamani niangalie hii mechi ila nipo mkoani msibani.
Apigwe na nani?? Jiandaeni na play off UEFASo far so good. Nyumbu apigwe tu
Mtu alikuwa anaenda kufunga akachezewa foul, ulitaka iwekwe kona?? Mbona mnakuwa na roho kama za Wajumbe??Yani nyumbu bila penati maisha hayaendi kabsa![]()