Mkuu wewe umeona mbali sana, kiuhakika kabisa bila kujali matokeo yako yeyote omba Man united ashinde, otherwise wale Mbwa mwitu hawafai.Hapa ni kuombea Man u ashinde tumalize TOP 4.
Tukiombea Leicester city ashinde tunaweza maliza nafasi ya 5, naifahamu timu yangu haitabiriki tunaweza tusitoboe kwa Wolves.
Madhaifu tuliyonayo ni mengi kuliko ya wolves:-
1. Tuna kipa shati
2. Beki mbovu
3. Viungo disorganized
4. Washambuliaji butu
5. Upangaji wa kikosi kutotabirika kocha
anaweza kumpanga Abraham ikawa kituko.
Pia tukiambulia Draw tutamaliza TOP 4 bila kujali man u au Leicester city ameshinda
Hahahaha, huwa inauma sana, kama sisi tusivyoipenda Liverpool ila ilibidi tuwaombee heri mkapigwa mkono.Kati ya timu ambayo sipendi ashinde ni manure ila hatuna la kufanya ni kumuombea kafiri mema leo jioni
Hao ambao uko nao wanataka moja kati ya hizo takataka ashinde. Umepoteza uelekeo brotherLeo nipo pamoja na nyinyi & Leicester kuhakikisha zile taka taka haziendi UEFA msimu ujao
Nani arsenalBora sisi tukifungwa tunaenda kucheza Uropa vip wwe wa arsenal unacheza kamari ama![]()
Kuwaga na akili basi kwa timu ganiLeo piga ua Chelsea inabidi tumpasue Wolves!
Huna uwezo wa kuomba ivo wewe chelwowoKatika timu naichukia hapa dunia basi ni Nyumbu FC hawa takataka siwapendi kivyovyote vile.
Ata kama tutakosa kucheza uefa mi naomba Leicester ashinde.
Kitu nampendea Odoi akiacha ubishoo na makosa ya kijingajinga kwanza ana speed pili ana nguvu. Mfano mzuri assist aliyompa Pulisic kwenye goli la 3 ilikuwa ya haraka sana ambayo kwa wachezaji wengine angemlokiwa kabla ya kutoa pasi, metality yake ikiwa positivve, professional atakuja kuwa mchezaji wa kutumainiwa sana na hana haja ya kuhama, hapo hapo Chelsea atapata nambaLazima amuanzishe Giroud. Halafu speaking of Odoi naona sasa ivi akili imeanza kumkaa sawa anajituma sana. Juzi kati Lampard alitoa mapumziko ya siku moja kwa wachezaji lakini dogo aligoma kupumzika akaenda mazoezini.
Utampiga mawe ukiwa wapi, Goba au Cheka ung'atweLampard ni bonge la kocha ila Uingereza ndio unamuhalibia, tunamvumilia tu kwakuwa kwakipindi hichi hatuna wachezaji wa maana. Ngoja Ziyech, Werner, Havertz na wengineo watue alafu atuletee ujinga ujinga tutampiga mawe kabisa.
Sawa cheltakoWe takataka aka bichwa maji achana na mm
Yaani hata matokeo yeyote ya leo ya LCFC na Manure yatanifurahishaKatika timu naichukia hapa dunia basi ni Nyumbu FC hawa takataka siwapendi kivyovyote vile.
Ata kama tutakosa kucheza uefa mi naomba Leicester ashinde.
Wewe ndie uliepoteza uelekeo.Hao ambao uko nao wanataka moja kati ya hizo takataka ashinde. Umepoteza uelekeo brother
jifunze kuwa na lugha za kikpira KULA KULALA BURECheltako leo mnaolewa goli mbili wakati basha wenu man u wakienda zao UCL mapema
Chelwowo kuolewa leo lazima mtake msitakejifunze kuwa na lugha za kikpira KULA KULALA BURE
Kuna watakaobakwa leo kule King PowerChelwowo kuolewa leo lazima mtake msitake
Cheltako mnajifariji sanaFormer Liverpool FC striker Michael Owen is backing Chelsea FC to secure a 2-1 victory over Wolves at Stamford Bridge on Sunday afternoon