Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Basha wenu hawezi kubakwa hata siku mojaKuan watakaobakwa leo kule King Power Estadio
Basha wenu hawezi kubakwa hata siku mojaKuan watakaobakwa leo kule King Power Estadio
Hata ivyo siyo mbaya naye ni mchezaji. Ila najua tu lazima Giroud aanze leoLampard namfahamu vizuri utakuja kushangaa kampanga Abraham si tupo hapa utajionea mwenyewe.
Kocha wako anavyompenda Abraham unadhani Giroud ataanza Leo? Na kashaona mtoto wake kafunga mechi iliyopitaPREDICTED LINEUP CHELSEA VS WOLVES
View attachment 1517431
Mkuu unachosema ni kweli muda siyo mrefu ataanza kuwa regular starter. Naona ujio wa Ziyech umemuamsha sasa ivi utoto unaanza kumtoka.Kitu nampendea Odoi akiacha ubishoo na makosa ya kijingajinga kwanza ana speed pili ana nguvu. Mfano mzuri assist aliyompa Pulisic kwenye goli la 3 ilikuwa ya haraka sana ambayo kwa wachezaji wengine angemlokiwa kabla ya kutoa pasi, metality yake ikiwa positivve, professional atakuja kuwa mchezaji wa kutumainiwa sana na hana haja ya kuhama, hapo hapo Chelsea atapata namba
MarekebishoMatokeo ya leo ni kama ifuatavyo
MAN UTD 2-0 LEICESTER
CHELTAKO 0-2 WOLVES
Mna bahati basha wenu kawatetea
Frank Lampard says he would have had a beer with Jurgen Klopp 🍻
But it may not have been the friendliest beer 😬 pic.twitter.com/fAYtMLg3KP
— Goal (@goal) July 25, 2020
Ushabiki wa kufata mkumbo hujui hata km upo ugenini leoMatokeo ya leo ni kama ifuatavyo
MAN UTD 2-0 LEICESTER
CHELTAKO 0-2 WOLVES
Mna bahati basha wenu kawatetea



Kuna baadhi ya mashabiki wakishashiba njugu mawe huko Tanangozi wanakuja hapa kumtukana.'Lampard is the brightest English coach in a generation' - Chelsea boss' fiery altercation with Klopp shows his promise, says Collymore
“What happened at Anfield in midweek has convinced me more than ever that he is the brightest English coach to emerge for a generation.
“Going head-to-head with Jurgen Klopp isn’t for the faint-hearted, but when the sparks flew and Chelsea’s boss let rip with his four-letter rant a smile crossed my face.
“He was annoyed. Everyone had turned up to celebrate a title party. He hadn’t.
“His body language screamed: ‘I’m p*ssed off, I don’t want to be among this. It’s rubbing our noses in it. I’ve told my players to remember this and take it back the next time we face this lot at Stamford Bridge.’
“That is why Lampard will be a success.
Kama umemuelwa vizuri anamsifia Lampard kuwa ameahidi atalipiza kisasi Liverpool watakapokuja Darajani next time. Liverpool waliifanyia Chelsea fujo pale Anfield, wakati wa mechi na baada ya mechi na hata ushangiliaji ukiwemo wa kocha Klopp haukuwa wa kitaaluma, ndo kilichomkasirisha LampardKuna baadhi ya mashabiki wakishashiba njugu mawe huko Tanangozi wanakuja haoa kumtukana.
SMH!!
Nimeelewa vizuri na hapo nilizungumzia reaction yake katika matukio hayo. Angekua kocha mwingine kwa matukio kama yale angetia neno la kukashifu au kutukana kwenye press.Kama umemuelwa vizuri anamsifia Lampard kuwa ameahidi atalipiza kisasi Liverpool watakapokuja Darajani next time. Liverpool waliifanyia Chelsea fujo pale Anfield, wakati wa mechi na baada ya mechi na hata ushangiliaji ukiwemo wa kocha Klopp haukuwa wa kitaaluma, ndo kilichomkasirisha Lampard
".... I’ve told my players to remember this and take it back the next time we face this lot at Stamford Bridge.’
Nafikiri sasa hili jina la CHELTAKO lipitishwe rasmi kutumika maana kumbe wenyewe mnalipenda kama yule mzee wa utopolo alivyoipa jina timu yake,Marekebisho
Matokeo ya leo ni kama ifuatavyo
MAN UTD 1-1 LEICESTER
CHELTAKO 2-1 WOLVES
Mna bahati ..... wenu kawalinda
Abramovich aliinunua timu ikiwa Championship? Ni sawa na leo kusema bila Auba mngekua mnaelekea kwenye danger zone ya kushuka daraja.Eti chelwowo bila Abramovich isingekuwa EPL
![]()
Viceversa is true, man yupo away kwa LeicesterMatokeo ya leo ni kama ifuatavyo
MAN UTD 2-0 LEICESTER
CHELTAKO 0-2 WOLVES
Mna bahati basha wenu kawatetea