Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23]

1595495032534.jpg
 
Gunners chama la wanaume Kamili hawana aibu za kike km wewe chelwowo

#Coyg[emoji837]
Hahahaa.. haya yanakuja baada ya kumfunga Liver tu. Nyie jamaa ni vituko sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkiwa na akili mtakuja fanya mambo ya maana siyo huu upuuzi
 
Hahahaa.. haya yanakuja baada ya kumfunga Liver tu. Nyie jamaa ni vituko sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkiwa na akili mtakuja fanya mambo ya maana siyo huu upuuzi
Tumeuona
Mkono wako Bwana [emoji1616]
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono [emoji1616]
Mahali uliona pekee hatuwezi
(Chini, chini, chini) [emoji3596][emoji3596]
Chini hata juu
Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele [emoji239] (Natutakusifu)
Twasifu jina lako,LFC
1595495032534.jpg
 
Mbwa mwitu na Mbweha jamii moja ile mkuu [emoji23][emoji23]
Wako tofauti hata kama ni jamii moja, Wolves ni Mbwa Mwitu wana maumbile makubwa na mbweha ni Foxes na wana miili midogo na ni waoga tofgauti na Wolves
 
Tumeuona
Mkono wako Bwana [emoji1616]
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono [emoji1616]
Mahali uliona pekee hatuwezi
(Chini, chini, chini) [emoji3596][emoji3596]
Chini hata juu
Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele [emoji239] (Natutakusifu)
Twasifu jina lako,LFCView attachment 1516945
Yaani hiyo arsenal ni gundu kabisa unakosa kushiri uefa na europa na bado tu unapiga kelele zako
 
Game ya leo Lampard anatakiwa aje na mfumo wa 3-4-3 front attacks iwe Pulisic Giroud odoi kwanini odoi aanze instead of Willian, Wolves watadefend Sana so unahitaji mtu ambaye ataiunlock defense ambaye kwangu odoi Ni better kwenye hii aspect.Lampard kwa akili zake ndogo unaweza kushangaa akamuanzisha Abraham badala ya Giroud kwa sababu tu Abraham alifunga game iliyopita bila kuangalia Aina ya opponent anayokutana nae.Kwa Aina ya opponent anatakiwa amuanzishe Giroud physically yupo fit ataendana na defense ya wolves.
Southern Highland
Cash Money Forever
Papaa Gx
lembu
Ppmosile
Ollachuga Oc
 
Hapa ni kuombea Man u ashinde tumalize TOP 4.

Tukiombea Leicester city ashinde tunaweza maliza nafasi ya 5, naifahamu timu yangu haitabiriki tunaweza tusitoboe kwa Wolves.

Madhaifu tuliyonayo ni mengi kuliko ya wolves:-

1. Tuna kipa shati
2. Beki mbovu
3. Viungo disorganized
4. Washambuliaji butu
5. Upangaji wa kikosi kutotabirika kocha
anaweza kumpanga Abraham ikawa kituko.

Pia tukiambulia Draw tutamaliza TOP 4 bila kujali man u au Leicester city ameshinda
Kati ya timu ambayo sipendi ashinde ni manure ila hatuna la kufanya ni kumuombea kafiri mema leo jioni
 
Game ya leo Lampard anatakiwa aje na mfumo wa 3-4-3 front attacks iwe Pulisic Giroud odoi kwanini odoi aanze instead of Willian, Wolves watadefend Sana so unahitaji mtu ambaye ataiunlock defense ambaye kwangu odoi Ni better kwenye hii aspect.Lampard kwa akili zake ndogo unaweza kushangaa akamuanzisha Abraham badala ya Giroud kwa sababu tu Abraham alifunga game iliyopita bila kuangalia Aina ya opponent anayokutana nae.Kwa Aina ya opponent anatakiwa amuanzishe Giroud physically yupo fit ataendana na defense ya wolves.
Southern Highland
Cash Money Forever
Papaa Gx
lembu
Ppmosile
Ollachuga Oc
Lazima amuanzishe Giroud. Halafu speaking of Odoi naona sasa ivi akili imeanza kumkaa sawa anajituma sana. Juzi kati Lampard alitoa mapumziko ya siku moja kwa wachezaji lakini dogo aligoma kupumzika akaenda mazoezini.
 
Lampard namfahamu vizuri utakuja kushangaa kampanga Abraham si tupo hapa utajionea mwenyewe.
 
Wako tofauti hata kama ni jamii moja, Wolves ni Mbwa Mwitu wana maumbile makubwa na mbweha ni Foxes na wana miili midogo na ni waoga tofgauti na Wolves
Asante mkuu kwa kunielewesha, ila pamoja na yote jiandae kwa lolote usije ukajipiga BAN ya wiki kama sir Ollarchuga OC maana unakibarua kizito kama changu tu kwa LCFC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom