Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpangeni mchovu Kepa hiyo mechi,kocha wenu alivyo hajui mpira atapanga lile boya kabaroo na itakuwa mvua zaidi Ya juzi

#Coyg
 
Mpangeni mchovu Kepa hiyo mechi,kocha wenu alivyo hajui mpira atapanga lile boya kabaroo na itakuwa mvua zaidi Ya juzi

#Coyg
Kocha ssiye jua mpira kamzidi karibia kilakitu kocha wako. Jumlisha makombe akiwa mchezaji na akiwa kocha hamfiikii hata Lamps.

Muwe mnafikiri hata kidogo jamani.? Mlienda shule kusomea ujinga!!
 
Man U atarudi nafasi ya 5 kwa sababu Chelsea na LFC watashinda nyumbani - HOME ADVANTAGE
Kuna umuhimu mkubwa mashabiki wa hii team wapimwe akili ..kuna chembe za utahira baadhi yao
 
Viwango vya wachezaji wa Chelsea vs Liverpool tarehe 22 Julai 2020 saa 4.15 usiku saa za Afrika ya Mashariki pale uwanja wa Anfield, Liverpool
  1. Christian Pulisic (Left winger): 9 - Kacheza vizuri sana japo kwa dakika 40 tu. Captain America sasa ni dhahiri ni zaidi ya replacement ya Hazard kwa dribling aliyofanya na kuwatoka Takriban mabeki world class wa Liverpool wanne sio mchezo na kutoa assist kwa Tamy, Assist ambayo angeikosa angehukumiwa hukuma labda kubwa kuliko zote alizowahi kuhukumiwa Tammy
  2. Mateo Kovacic (Central midfielder): 8 Kajitahidi kucheza vizuri - superb midfielder
  3. Callum Hudson-Odoi (Right winger): 8 Kaleta uhamsho kwa dakika 40 alizocheza, laiti yeye na Pulisic wangekuwepo tangu mwanzo matokeo yangekuwa mengine
  4. Tammy Abraham (Striker): 7.5 - Kufunga goli kumempa point zaidi
  5. Kurt Zouma (Centerback): 7 - Kajitahidi ila wenzake huko nyuma walimuangusha- Ndie CB pekee aliyeonyesha consistence kwenye klabu ya Chelsea tofauti na Rudiger, na Christensen
  6. Olivier Giroud (Striker): 6.5 - Kacheza vizuri na goli la kwanza la Chelsea ni ukweli mtupu kuwa kafanya timing ya haraka kabla mpira ule haujaokolewa akausindikiza wavuni. Pamoaj na hayo Giroud alithibitiwa kisawasawa na VVD
  7. Mason Mount (Left winger): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi japo alicheza kawaida, tatizo la Mount tangu ligi ianze ni kwenye eneo la ukakamavu
  8. Cesar Azpilicueta (Right centerback): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi hasa kwenye kudefend
  9. Reece James (Right wing-back): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi, bado bwana mdogo hakai kwenye consistent form, bado mechi ya Unietd alicheza vizuri hii alipwaya kidogo kwenye ukabaji
  10. Antonio Rudiger (Left centerback): 5 Kacheza vibaya - Rudiger hayuko kwenye form yake ya mwanzoni mwa ligi japo hii ni kawaida kwa baadhi ya wachezaji kupanda na kushuka kiwango
  11. Marcos Alonso (Left wing-back): 5 - Poor defending, alishindwa kabisa kumfanyia marking na kumkaba Chamerlain kwenye goli la tano la Liverpool
  12. Willian (Right winger): 5 - Kacheza chini ya kiwangi juzi - tuseme ukweli kwenye ile mechi Willian alicheza chini ya kiwango. Alitoa mpira kizembe kwa Nabi Keita na kusababisha goli la kwanza lifungwe
  13. Kepa Arrizabalaga (Goalkeeper): 4 - Worst form ever - Muda wake darajani hauna ubishi umefikia kikomo
  14. Jorginho (Central midfielder): 3 - Worst form - JO alishindwa kufanya clearance kama ambavyo alitakiwa kufanya. Kawekwa mfukoni na Nabi Keita na kubakia akirukaruka uwanjani tu. Laiti Kante angekuweko kwenye hiyo nafasi, leo hii wana Chelsea ingekuwa ni furaha tu. Chanzo cha mabeki kufanya vibaya ni uwezo mdogo aliouonyesha Jo katika kukaba. Pia kule mble hakupeleka mipira yeyote ya maana
We kiazi huna unachojua kaa kimya
 
Sasa kama wewe umetinduliwa 5/tano/mkono/5g juzi tu na umesahau/unajisahaulisha leo sembuse mimi niliyefungwa mwaka jana
Hata 5G hujui maana yake wewe empty kabisa
Tunaposema 5G tuna maana 5-0
Ngoja nikupe shule

1-0 = 1G
2-0 = 2G
3-0 = 3G
4-0 = 4G
5-0 = 5G
Sasa ile 5-3 kweli ni 5G, ndio maana ni hatari sana kuwaruhusu Ma-penguin nafasi ya kuingia kwenye mijadala ya Maths
 
Kocha ssiye jua mpira kamzidi karibia kilakitu kocha wako. Jumlisha makombe akiwa mchezaji na akiwa kocha hamfiikii hata Lamps.

Muwe mnafikiri hata kidogo jamani.? Mlienda shule kusomea ujinga!!
Hapa umetema shudu la Covid19
Ukiwa huna la kuongea basi linalokuja mbele lolote lile sasa Lamps ana makombe mangapi kama kocha???
 
Hata 5G hujui maana yake wewe empty kabisa
Tunaposema 5G tuna maana 5-0
Ngoja nikupe shule

1-0 = 1G
2-0 = 2G
3-0 = 3G
4-0 = 4G
5-0 = 5G
Sasa ile 5-3 kweli ni 5G, ndio maana ni hatari sana kuwaruhusu Ma-penguin nafasi ya kuingia kwenye mijadala ya Maths










Aiseh Liver walaaniwe.
Maana watu wanadhalilika huku,unajielewa kweli wewe?
5g
5g
5g
 
Binadamu tumeumbwa kusahau tutawakumbusha siku ya August 1. Wanafanya ivyo kwa sababu msimu huu wameshindwa kutufunga kabisa kwa iyo ni kama releaf kwao.

Hopeless anapokosa cha kufanya ndio matokeo yake hayo
Kwahiyo ushasahau
 
Hapa umetema shudu la Covid19
Ukiwa huna la kuongea basi linalokuja mbele lolote lile sasa Lamps ana makombe mangapi kama kocha???
Najua unaelewa vizuri ila unaendelea kujichekesha tu. Nitakukumbusha tar 1 kwamba kaka mkubwa huwa hafanyiwi mzaha.
 
Hata 5G hujui maana yake wewe empty kabisa
Tunaposema 5G tuna maana 5-0
Ngoja nikupe shule

1-0 = 1G
2-0 = 2G
3-0 = 3G
4-0 = 4G
5-0 = 5G
Sasa ile 5-3 kweli ni 5G, ndio maana ni hatari sana kuwaruhusu Ma-penguin nafasi ya kuingia kwenye mijadala ya Maths
Ifike kipindi hawa watoto tuanze kuwapuuza tu. Mambo wanayofanya tena kwa kujirudia rudia ni aidha hopeless kimaisha au bado ni mtoto yuko shule. Wao kila kitu tu ni kufata mkumbo hawaelewi hata mambo yanaendaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom